Kama tulivyowahi kuzungumza hapo awali, wanajeshi wanatakiwa warudi kwenye makambi/ofisi zao wakafanye shughuli zao za kijeshi na sio kwenda kufanya kazi za kiraia. Raia weng wapo na wana uwezo mkubwa sana kuliko hawa wanajeshi.
Tumeshuhudia matatizo makubwa sana kwenye taasisi za kiraia zinazoongozwa na wanajeshi. Chondechonde hawa wanajeshi warudi wakawaongoze wanajeshi wenzao. After all, Militaly management/administration ni tofauti kabisa na civil service management/administration.
Mambo ya kuvaa combat za kijeshi kwenye shughuli za kiraia ni ushamba mkubwa sana, hii sio nchi ya kijeshi!!