Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

Hili halina muda... Kuna mabadiliko mengi makubwa yanakuja... Jeshi litatengwa na shughuli na siasa na utawala libaki na dhima yake ya ulinzi na usalama
90% of Tanzanians they really doesnt know the rule of law!
So sad!
 
Hakuna ubaya wanajeshi kua viongozi kama wana uwezo. Na nikutoe hofu mkuu mwendo ni ule ule. Kwanza unajua dhima ya jeshi ?

Dhima ya jeshi ni utiifu na uadilifu. Most civilian officers wanakosa hivyo vitu hasa kwenye implementations ya project na plans mbalimbali, matumizi rafiki ya rasilimali, ubora na ukamilifu wake. That’s why Jeshi is the best.

Afu unaposema as if ni udikteta au uongozi wa nguvu are you sure mkuu? Unajua uongozi wa mabavu au udikteta mkuu? Mshukuru Mungu kwa Amani. Tusidhihaki upendo wa Mungu juu yetu.

Think beyond boundaries
 
Kifupi kila mtu akale alikopeleka Mboga
Wanajeshi wakafanye kazi zao utawala wa kutishana umepita
 
Nilishangazwa na Kuchukizwa MWANAJESHI JWTZ kuteuliwa kuwa Mkuu wa Magereza

Hii ni dharau kubwa sana kwa jeshi la Magereza na walilalamika ila Jiwe alifunga masikio
Kwa taharifa yako hakuna mtu wanaomkubali kama huyo alieteuliwa (m JWTZ) kua mkuu wa magereza amewarekibishia mambo yao mengi tu,in fact wanajeshi wakipewa sehemu kusimamia hua hawapindishi japo katiba ya nchi hairuhusu hilo.
 
Kutoa huduma za kijamii
Jamii ni kinanani na huduma hizo ni zipi?
 
Ni muendelezo wa kutisha raia - Marehemu alikuwa na utawala wa kutisha tisha wananchi jambo ambalo Mwalimu alilichukia saana saana!!
 
Huyo Kikwete, pamoja na kuwa alikuwa Amiri jeshi, ulishawahi kumuona amevaa hayo magwanda? Kinana naye ulishaona kuvaa hayo mavazi? Hapa hoja sio kwa nini hizo nafasi, pamoja na za wakuu wawilaya na mikoa wanapewa Wanajeshi, hoja vipi waendelee kuvaa hayo mavazi wakiwa wapo kwenye utumishi usio wa kijeshi?
Kwanza bado wapo in service,kikwete na kinana walikua washastaafu ulitaka wavae magwanda kwend wapi ?
 
Je, kulikuwa na sababu gani kuanza kuwatumia wanajeshi katika kazi za kiraia? Kwamba Jeshi ndio lina uzalendo? Au wasio wanajeshi sio Wazalendo ? Nahitaji kufahamu tija hasa ni ipi?
Kwani wewe ulikuwa unawaonaje kipindi kile cha mtawala vasco da gama?
 
Yule Kamishna General wa Megereza hivi hiwa anavaa nguo za JW?
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye hivi huwa anavaa sare za Polisi?
Mkurugenzi wa Usalama wa taifa hivi bado anavaa sare za Polisi?
Usilinganishe JWTZ na sub jeshi
 
Wanataka tuondoe mwanajesh ambae ndio muwajibikaji tuweke raia ili watumia rushwa kwnye mambo yao
 
Jeshi ni letu na linafanya majukumu kulingana na maagizo ya amir jeshi mkuu na wanafanya vyema kuna shida gani!
Mbona waTZ wajuaji sana.
 
Back
Top Bottom