Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Zimbabwe nahisi walifanyaga kitu kinachoendana na hiki, uliza nini kilifata.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwanini ninunue soda kwa laki moja wakati uzalishaji utabaki constant?

Hata ikitokea soda ikauzwa kwa laki moja shida itakuwa nini kwakuwa wananchi wana pesa ya kutosha kwa maana haitaathiri chochote.

Kumbuka tumesema hela iprintiwe yakutosha mtaani.
 
Kwanini hela iwe nyingi kuliko uzalishaji maana leo hii uzalishaji unakuwa mdogo kwasababu watu hawana capital yakuzalishia bidhaa.

Hizo hizo pesa nyingi kwanini wasianzishe viwanda na kuzalisha mashambani?
 
Umeona thamani ya hizo note lakini? Yani kwa mwaka mzima wamechapisha note zenye utajili sawa na Bakhresa. Ndiyo ujue hawachapishi chapishi tu. 560$ nipesa ndogo sana hata Jay Z ana pesa nyingi kuliko hiyo.
Ingekuwa hivyo, mbona USA ana deni China mbona hajaprint tu kulilipa hilo deni? Mbona kuna projects alizi damp kwa kukosa funding na nyingine ziko grounded bila kuendelea kwasababu ya funds, kwanini asiprint akazifanya
Bado ninakuuliza tena kama wanaweza kuprint pesa kama wanavyotaka kwanini wana military project nyingi ziko grounded kwa kukosa funding? Kwanini wasiprint tu kuzifanya?
sas bro unavoniuliza mm izo project mm nahusika vp uko, mm nakuelezea uchumi as uchumi swala la project kua grounded its beyond my explanations, stick to the topic
We si umesema wanaprint tu. hizo grounded projects tena military projects ni proof kuwa pesa haiprintiwi ovyo bila kuwa backed na na uzalishaji na demand and supply.
china hawachukui USD wanachukua GOLDS only
View attachment 1622920
Na hiyo ni nini? Hao nazo ni gold?
naoba utambue kwamba china walikua watumiaji wa USD before na hii movement haina mda mrefu sana toka uanze but hio reform ikikamilika you will never hear USD in china,
View attachment 1622924
 
kwa hiyo Mkuu wewe huitaki na hukubaliani na hii kanuni ya SUPPLY na DEMAND.??
Maana hapo juu unasema haina logic (kwamba logic siyo ya supply & demand)
Duuh!! Nauliza, Je hivi kuna biashara (mabadilishano ya vitu kwa thamani) bila kuwapo kwa Demand na Supply??
Demand na Supply ndiyo msingi Mkuu wa biashara, ni wazi kuwa mtu huwezi kuuza kitu ambacho hakihitajiki (hakuna demand).
Pesa ni njia tu ya mabadilishano iliyowekwa na wenye nguvu (wenye madaraka) ili isaidie katika mabadilishano ya vitu,bidhaa au huduma kwa thamani husika na bei huratibiwa kufuatana na Demand na Supply ya huduma au bidhaa husika.
 
We si umesema wanaprint tu. hizo grounded projects tena military projects ni proof kuwa pesa haiprintiwi ovyo bila kuwa backed na na uzalishaji na demand and supply.
Kwanza unajua nan anaprint pesa ya marekani?
Mkuu unasoma consipiracy theory federal reserve haiprint pesa ya marekani na siyo shirika binafsi ila central bank ya USA. Unasoma sana conspiracy theories.
Naam msikilizaji, soka linaendelea.. Dakika ni ya 83. Na Nafaka anaongoza kwa magoli 2-1 dhidi ya stakehigh
 
karibu sna, ingawa nmeelezea kw kifupi ila jaribu kusoma zaidi na zaidi, itakusaidia katika kufanya maamuzi, hizi taarifa nlizosoma mara ya kwanza nkiwa form 3 na nkaacha shule apo apo
Nashukuru nakuomba kila upatapo nafasi uzidi kuelimisha mkuu.
 
Anaandika supply and demand haina logic?

Waingwrwza wana msemo.

A little knowledge is dangerous indeed.

Ukimsikia mtu anaongea hivyo, halafu ukaendelea kubishana naye, sitamshangaa yeye, nitakushangaa wewe.

Tatizo hawa watoto wengine wanaangalia video za Youtube za conspiracy theory kabla ya kujua Kiingereza!

Sasa hata kama mtu anaelezea paper money is a "manufactured reality" (Professor Harari talks about this a lot, I totally understand that, refer to "Sapiens: A Brief History of Mankind"), lakini, kama hujui muktadha na kuelewa kwamba money is a commodity with a price that is aet by the market powers of demand and supply, utakuwa unachanganya mambo.

After all, is there any value that is not a product of imagination?

Is there any value that is not based on projection on the future?

Is there any projection on the future that is not based on imagination?

Nilichogundua ni kwamba, hapa JF tunakutana watu tofauti sana.

Sasa mtu niliyemsoma John Maynard Keynes, Adam Smith, Ricardo etc mwaka 1995, leo niende kubishana na mtu asiyejua hata spelling za Kiswahili?

Mtu niliyemsoma Harari 2012 kuhusu manufactured reality nibishane na mtu anayeonekana kushabikia conspiracy theory videos za Youtube bila kujua hata Kiswahili, achilia mbali Kiingereza?

Ndiyo maana wengine nawaweka kapuni tu kwamba hawajafikia kiwango cha kubishana nami.

Hata kwenye boxing kuna kuwatenganisha wapambanaji kwa uzito, mtu wa heavyweight hatakiwi kupigana na featherweight.

Sasa mtu kama haelewi demand and supply unaanza vipi kubishana naye?

Unataka kubishana habari za kurusha ndege na mtu ambaye hana uwezo wa kujua juu ni wapi na chini niwapi?
 
Heavyweight vs Featherweight πŸ˜€
Kwa kweli hapo jamaa ameyumba sana aliposema kanuni ya "supply & demand " haina logic.
 


Ebu tuambie supply and demand inahusiana VP na kuchapisha pesa
 

OK tell us supply and
 
Wakiweza hilo inabidi waanze na kutulipa sisi watanzania yaan wachapishe nyingi ili watugawie na sisi wananchi
 
Huu uzi uishie hapa.!! Mkuu umemaliza karibu kila kitu ikiwa tu kama mtu ataelewa kilichoandikwa hapo. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Well,

We're almost 60 millions Tanzanians. And lets follow for a moment our statisticians data as 70-80% of us makes life by agricultural practices.

As you have said, assuming no export, how will an economy grow?

Imagine all those 80% people have flooded the agricultural harvests in a year. Internal markets will be weighed down, since 80% of people have full stocks. Will internal bussinessmen rescue the internal markets for that whole stocks? Lets see.

The burden will be on the farmers. There will be food and crop producst everywhere. Farmers will need to lower prices so that they can sell stocks faster and get money, as there will be competition. Internal industries will benefit from low price agricultural raw materials. At this point the gain is very minimum as no body is hungry.

... assuming no export.

The government or/and individuals (businessmen) will seek investors. And of course most of them will be coming from abroad.
Investors will be attracted by huge stocks of agricultural raw materials. And of course they will come with $$$$$ you know.

Coming with $$$$ they will need to exchange money in banks, western union, and the co. Here the government gets some interests. And of course I can see some raise here even if it's infinitesimal but in the long run will be huge.
With the coming of investors I now see the relief of our farmers here.

... assuming no export.

Investors will start investing in industries to process those raw materials and make products like mtindi, flour, cooking oil, bags, etc.

... assuming no export.

The cycle of internally made products will depend with the internal demands. The most demanded product will win the market.

From the scenario above, assuming every sector floods it's production and no exportation, the internal markets will sustain and grow very slowly compared to when there is exports of products and raw materials.

Waiting for investors to come with $ is a good start for a country to grow its internal markets. As you know something should done to attract investors i.e government policies.

Gaining excess money with no exportation is a sacrifice. That means you need investors with their moneys to come invest in your ground. Long way to go.

But the combination of exportation and importation is much more faster for economy to grow than either one.

Regardless of individual benefits from internal business, something will eat on the national economy. Will see very slow growth.
 
Thanks very much for your excellent explanation at least I have now reduced my laymanship in economy.
I wish you were my economy tutor.
Be blessed.
 
Heavyweight vs Featherweight πŸ˜€
Kwa kweli hapo jamaa ameyumba sana aliposema kanuni ya "supply & demand " haina logic.

wewe ukisoma economics alevel ndo unaona umefika mwisho, haya na wewe tuambie supply and demand inahusiana vp na kuchapisha pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…