Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?


- Non sense
 
Thanks very much for your excellent explanation at least I have now reduced my laymanship in economy.
I wish you were my economy tutor.
Be blessed.

hahaha daaah, watu bana!
let me disqualify his answer by this
 

1) acha kuchanganya kuprint pesa na huduma za biashara
2) supply and demand ni terms znazohusiana na biashara lakini sio pesa, huezi tumia supply and demand kuchapisha pesa wala kukuza uchumi, thats non sense

3) Pesa ni imani, pesa ni utapeli pia! nkupe mfano wewe unaweza kununua tuseme kiatu kwa 10K, lakini hicho kiatu icho icho ukienda sehem ingine anaweza kukuuzia mpaka 11K mpaka 12K ama 9K, hii ndo pesa ilivo, iwe we ni tajiri ama maskini wa kutupa bei ya vitu sku zote inategemeana na imani ya muuzaji kwako, uwe na trillions ama uwe kapuku ndo tunasema pesa ni imani, Hakuna namna unaweza kutumia kama ushahidi kuhusu bidhaa unaunua

4) Kibiashara supply and demand ni upuuzi wa mwisho, iphone x inauzwa mil 1.3 around apo, iphone kama iphone ndo the richest brand in the world,

5) Tecno inauzwa mpaka 300K, tecno haitambuliki as a company mpaka leo inaonekana kama ni project ya wanafunzi! Nyie mnakaa mnaambiwa supply and demand, The US wanalipa madeni yao yote kwa kuchapisha pesa mpya


- As the matter of fact , The federal reserve wanaprint around 1.3TRILLION tsh kila sku moja, wewe unabaki kupiga kelele supply and demand, aisee!
 
wewe ukisoma economics alevel ndo unaona umefika mwisho, haya na wewe tuambie supply and demand inahusiana vp na kuchapisha pesa
Kuchapisha pesa halali (yenye backing ya commodities zinayoendana na thamani yake) kuingiza kwenye circulation hii haiweziathiri soko ama uchumi wa nchi husika, isipikuwa pale ambapo kunakuwa na excess paper money isiyokuwa na reserve, hata kwa fraction, hapa lazima uchumi utayumba kwani money supply ikiwa kubwa kuliko demand pesa inakosa thamani kwenye soko la dunia

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app
 
Hayo maneno uliyoyaweka aliyasema nani?hayo ni maandishi tu na inategemea yalisemwa katika mazingira gani inaweza kuwa joking au comedy kisha wewe unakopi kama ilivyo.

I know so many tricks znazochezwa na wamarekani, there alot, haimaanishi najua zote or a certain fraction but najua what its doing to this continent, ubaya watu kama nyie mnakubali uongo huo na kuuhalalisha! sasa sio swala la mm kuanza kukupigia makelele eti follow this and that, do your research
 

- I get you and there is no any other way ntakuelezea kwa sababu ushalishwa propaganda, THE US wakiprint pesa kila sku its ok, Tz wakiongeza 10K kwenye mzunguko kuna inflation, thats nice!
 
- I get you and there is no any other way ntakuelezea kwa sababu ushalishwa propaganda, THE US wakiprint pesa kila sku its ok, Tz wakiongeza 10K kwenye mzunguko kuna inflation, thats nice!
Anaweza print, na ataprint ila anakuwa mskini supply anayoingiza kwenye circulation isipindukie, US wameshakosea mara kadhaa kwenye hili hivyo hawawez rudia makosa, ndio maana kuna wakati thamani ya Dollar huwa inapanda na kushuka

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app
 
Kajifunze kuhusu bulk money ama counterfeits money, kaangalie na namna inavyotafuna uchumi wa nchi. [emoji16]
Kale kamsemo, "bad money drives out good money" kama kipind kile watu walivyojua jero zetu zina silver, wakazieka ndani hawakuzispend hataa!

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app
 

hahaha unaona sasa, The federal reserve wanaprint $600M kila sku mmoja, thats almost 1.3TR kwa tsh ndan ya sku moja! whats even funny about that, they have assets, taarifa za ndan znasema wanaingiza mpaka $3.8 TRILLION annually, what type of lie is this, unaprint $600M per day na bado unaingiza almost $4 Trillion annually, hahaha wnders shall never end
 
Mi nataka nijue hao wanaotu-printia hizo pesa, sisi tunawalipa nini kwa kazi hiyo?

Majibu mengi kwenye swali hili hayaridhishi

unawalipa kama unvowalipa kawaida, kwa mfano ukiprint trilllion moja cash kwa bei ya 1M utabaki na billion 900
 
Sijajua kiundani inakuwaje $600 milions printed zinakuwa $1.3 trilions, ila kwenye upande wa returns inategemea na assets zao nyingi ni za uzalishaji wa muda mrefu hivyo matumizi yanafanyika, aidha kwa kukopesha serikali za nchi zinazoendelea na kurenew(roll over) mikopo yao, ama uendeshaji mwingine, na returns zinakuja kidogo kidogo, binafsi nadhani hivyo mkuu

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app
 
Kweli
 
kwa hiyo wataka kusema kuwa kuPrint Pesa hakuhusiani na UCHUMI, BIASHARA na Kanuni za DEMAND & SUPPLY ?
Kama ndivyo unavyoamini basi wacha niishie hapa hapa. Maana nitajipa kazi bure.
 
Jamaa unakariri sana, federal reserve kumint coins na notes za thamani ya tilioni 2 za madafu inaweza isiwe inshu sana coz kila siku kuna notes zinachakaa na zingine chache zinaexpire, pia kila kila siku demand ya dola inaongezeka kumbuka dola ndo scale ya currency na inatumika dunia nzima, so all in all hawaprintii kila siku dola tilioni 2 bila Sababu
 
Soma uzi
Soma uzi wote kwa umakini uelewe, usikurupuke.
 
Ukiwa na Uchumi mkubwa kama wa USA na una teknolojia kubwa kama USA... Nchi ikiwa kama ndiyo the de facto leader and a benchmark of SCIENCE, TECHNOLOGY na ECONOMY kwa Duniani nzima, Basiiii ni wazi kuwa wengine watapenda kufanya Biashara na wewe (hapo unakuwa umefanikiwa kutengeneza DEMAND maana nchi zingine zitataka kununua kwako na zitahitaji pesa yako ili zifanikishe hilo).
Hivyo basi kwa kuwa DEMAND ipo tayari, na SUPPLY (ya currency yako) unayo kwako basi ni rahisi kui-control Market ya Foreign Currency.
Germany, France, England, South Korea, Japan, China, Russia, India etc. Nchi zote zikishindwa jambo katika Teknolojia huwa zinaiangalia USA kwa msaada. Kwa kifupi nafasi ya US dollar ilipo hapo ni kwa sababu USA imefanikiwa ku-create DEMAND.
Supply & Demand ipo pale pale.. Whether you like it or not! Whether you SEE it or NOT.. Directly or Indirectly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…