Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?


- Good boy! Mwanzoni nlisema pesa ya usd inatumika kwa sababu ya (imani na utapeli)
(ishu ya USD ni kwasababu ya stability ya uchumi wa marekani..leo tukitrade kwa Ksh. na Tsh halafu ghafla uchumi wa Kenya ukashuka itakuwaje?)

-
Ingawa nakuchukulia kama bado lena ila sipendi kumdharau mtu! so tumekubaliana kwamba pesa ya marekani inatumika tu kwa sababu ya imani? according from your point nliohiglight apo? tupo pamoja mpaka apo?
 


 
na sio kwamba nachukia wasomi ila wapuuzi wamesoma supply and demand basi wamemaliza, Pesa znaendeshwa kitapeli hii dunia
Haya nenda China kawasaidie UTAPELI na IMANI ili muiweke YUAN iwe na DEMAND kubwa duniani, na kisha mui-Supply YUAN dunia nzima.

Tengeneza Demand (uhitaji) halafu muiweke Yuan iwe ndiyo de facto global currency.
Kama ni rahisi hivyo.
 
haya nenda China kawasaidie UTAPELI na IMANI ili muiweke YUAN iwe na DEMAND kubwa na mui-Supply YUAN dunia nzima.
Tengeneza Demand (uhitaji) halafu muiweke Yuan iwe ndiyo de facto global currency.
Kama ni rahisi hivyo.


Anyway wacha tuconclude hii mada yako maaana ni easy tu wala isiwe tab! Ingawa najua kabisa upo hewa ila kiungwana tu!
Haya tuanze,
View attachment 1624060
Huyu apa juu ni china, exports ni $2.5TRILLION

View attachment 1624061
huyu ni united states, exports ni $1.64 TRILLION


- Now tuconclude kikubw, kutokana na izo data we unadhan nan ela yake ndo inatakiwa kuzunguka dunia zaidi ya mwenzake na nan anahitajika zaidi? Sasa ukishatoa jibu then tuelezee USA wanatoa wap hio mandatory ya kuprint trillion 1.3 kila sku kitu ambacho hata china hawafanyi, nyoosha maelezo kwa kutumia facts tumalize huu utumbo wako maaana unaukazia sana kumbe hujui chochote!
 
Sasa hiyo 'imani' ndo inaongeza demand ya USD kwahyo hamna utapeli...maana sio lazima hakuna mkataba sehemu
Lakini mtu anaona nikichukua hizi USD hata nikizichimbia chini baada ya muda ntaendelea kutumia hazitashuka thamani sana kama hizi shillingi...au nkienda nazo hato Singapore au kule Thailand bado ntazitumia.

Kwahyo Euro na JPY au hata yuan wanaweza wakaprint kiasi hicho wakituongezea sisi watumiaji(demand) hiyo 'imani'

ishu yangu mi na wewe sio whether marekani anatapeli au vipi ishu yangu mimi ni kukua kwa uchumi wa nchi zetu..inabidi tuzalishe na tufanye export kuliko imports sio eti tukope madola.$$
 

Good boy! swali lingine does the US dollar loose its value?
 
Unachekesha wewe jamaa. Kwanza unajua kwa nini ile algorithm ya Google Search inaitwa PageRank? Na inahusiana vipi na Larry Page?
Umemeza sana conspiracy theories. Kukuelewesha ni kazi. Baki na conspiracy theories zako.

 
haya mambo nshakujibu ila bado unawakomalia wanyonge.

China ana mpango wake na yuan yake na hataki iwe na thamani kubwa sana au kutumika sana nje ya China
sasa hivi anakopesha sana Africa huku ili baadae tushindwe kulipa
Baadae akifanikisha mipango yake Yuan inaweza kuja kumzidi U$D
China hana plan za miaka mitano ijayo yule anaplan za miaka 200 ijayo
na inawezekana akaja kuwa superpower na itakuwa ngumu kumuangusha
 
Unajua Characteristics of Money? Ebu peruzi kwanza kidogo kisha uje kuuliza swali lako.
 
hela zote zinaloose Value...hata 1$ ya mwaka 93 sio sawa na 1$ ya mwaka huu

thats very good kijana, now your on the point na ndo nlikua nataka nkupeleke huku huku, so umeshajibu swali zima so jibu lishapatikana!
 
Hongera wewe unayejua chochote! Hivyo nenda China ukawasaidie UTAPELI na IMANI ili muifanye YUAN iwe na DEMAND kubwa Duniani katika nchi zote na muitoe USD, ili USD isiwe on Demand.
America ni Superpower na itabaki kuwa hivyo kwa miongo kadhaa. Na huo u-Superpower wake kwa Teknolojia na ukimjulisha na Uchumi Mkubwa na Imara, na Sera za Fedha na Sera za Mambo ya Nje ndiyo vimefanya USD iwe hapo ilipo leo na kuwa ndiyo the global currency na hivyo kuifanya USD imekuwa on Demand sana duniani kuliko YUAN.
Hivyo basi kwa sababu Demand ya USD ni kubwa dunia nzima America imewalazimu kuiPrint na kuisambaza (kui-supply) Currency yao dunia nzima ili kwenda sawa na Demand ili wazidi kui-control dunia ki-Uchumi na ki-Teknolojia ili USA ibaki na kuzidi kuendelea to be on pole position as the Superpower.

Mchezo unarudi pale pale DEMAND na SUPPLY. Hata hizo EXPORT na IMPORT zinategemea humo humo pia katika kanuni za DEMAND & SUPPLY.
Currency nayo ni humo humo pia, America imefanikiwa kucreate demand kama nikivyoainisha happ juu katika u-Superpower, Teknolojia, Sera za Fedha, Sera za Mambo ya Nje na Usalama. Yooote hayo yanabebwa na Teknolojia.
Kama ambavyo ROMANS used to rule the world due to their Superiority in Technology, Military and Foreign Policies.
Na pesa ya Romans ndiyo ilikuwa juu "ya kaisari mpe kaisari" Caesar of Romans.
Americans nao ni kama Romans wa kipindi hiki. Na pesa ya America pia ndiyo imeikamata dunia.
 
Tunalipa kwa kutumia foreging currency mkuu siyo kwa pesa yetu ya madafu
Uko sahihi kabisa mkuu...madeni yote yanalipwa kwa pesa za kigeni....na pesa hiyo ya kigeni itokane na mzunguko wa uchumi wa nchi husika.... sio kuchapisha..,..kuchapisha pesa ili ulipe madeni haiwezekani....Ni nani atakaekubali umpatie ma- local currency yako alafu akupe za kigeni ukalipe deni...kwa kifupi atayapeleka wapi hayo mamsimbazi tirioni kadhaa baada yeye kukupa fedha za kigeni....na ukiyaleta kwenye mzunguko wa ndani.,...yatazagaa...kila mtu atakuwa na pesa....bei za vitu itapanda....watu wataacha kufanya kazi.... vitu vitaadimika....itabidi tuagize nje.... pesa itashuka thamani.....na uchumi utaanguka
 
Kwanza kabisa kabla ya kuchapisha pesa ni lazima uzingatie idadi ya watu katika nchi husika.....pamoja na shughuli zao za kiuchumi.....hii inaangukia kwenye sifa mojawapo ya pesa....Money must be scarce but not too scarce" "pesa lazima iwe adimu....lakini isiwe adimu sana" mzunguko wa pesa inatakiwa iendane na uzalishaji na idadi ya watu pia....pesa inapokuwa ngumu kuipata unafanya watu waitafute kwa kufanya kazi kwa bidii....kwa njia hiyo uchumi unakuwa kupitia mzunguko..... Ukichapisha pesa nyingi bila kuzingatia kigezo hicho.... mzunguko utakuwa na pesa nyingi....watu wataacha kuzalisha.... hivyo kuua uchumi.....lakini vile pesa haipaswi kuwa ngumu sana kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…