Usidhani exports za china ni zao zote, makampuni makubwa duniani kwa mfano Apple ,dell na mengine mengi ya nchi ya marekani yanazalisha bidhaa zao china na zinakua exported kutokea China.kati ya china na us nan anaexport nje zaidi ya mwenzake?
Mchumi Kama wewe, wahitimu wa chuo ambao bado hawajaajiriwa unawainclude Kama products to be counted in GDP kwa kweli itanichukua miaka mia kukuelimisha ili uelewe ngoja nikabidhi kijiti kwa mwingine uendelee kupewa shule, Mimi nimetosha!
Usidhani exports za china ni zao zote, makampuni makubwa duniani kwa mfano Apple ,dell na mengine mengi ya nchi ya marekani yanazalisha bidhaa zao china na zinakua exported kutokea China.
Hivyo china ni chanzo cha cheap labour kwa makampuni ya marekani hivyo exports ya china kuwa kubwa isikuchanganye,
Kwahiyo exports ya china ina %kubwa ya marekani ndani yake.
Kumbuka kwamba watu wamepewa hela kwa mkupuo nchi nzima, hicho kiwanda uzalishaji wake haukuwa na uwezo wa kulisha nchi nzima,kiwanda kitazidiwa hivyo bei itapanda kwakua soda ni chacheKwanini ninunue soda kwa laki moja wakati uzalishaji utabaki constant?
Hata ikitokea soda ikauzwa kwa laki moja shida itakuwa nini kwakuwa wananchi wana pesa ya kutosha kwa maana haitaathiri chochote.
Kumbuka tumesema hela iprintiwe yakutosha mtaani.
Iphone iliyotengenezwa china ikiuzwa faida inaenda china au marekani?- Hilo sio tatizo na wala sjabisha about that na ni kitu cha kawaida kuhusu makampuni kuwekeza nchi zingine! But so unachotaka kuniaminisha kuniambia kwamba iphone ikitengenezwa china na kua exported tanzania, USA will be credited that iphone ya china ipo included kwenye exports za USA kwenye financial year yao au sio? nadhan sjawahi kufika this level of dumb!
Nitajie kampuni ya kichina yenye thamani sawa na Apple inayozalisha bidhaa zake marekani?- Hilo sio tatizo na wala sjabisha about that na ni kitu cha kawaida kuhusu makampuni kuwekeza nchi zingine! But so unachotaka kuniaminisha kuniambia kwamba iphone ikitengenezwa china na kua exported tanzania, USA will be credited that iphone ya china ipo included kwenye exports za USA kwenye financial year yao au sio? nadhan sjawahi kufika this level of dumb!
Nitajie kampuni ya kichina yenye thamani sawa na Apple inayozalisha bidhaa zake marekani?
Iphone iliyotengenezwa china ikiuzwa faida inaenda china au marekani?
Jua kwamba wachina wanauza bidhaa za wamarekani kwa kiasi kikubwa hivyo hawapati faida kubwa kama marekani inayotokana na (exports).umeelewa nlichoongea lakini?
Jibu swali.vodacom ikiuza vocha tanzania faida inaingia tanzania ama south afrika?
Bado hamjamjibu tu, ukisema pesa za kigeni ndio tunalipia bado concept hatoipata.Suppose akisema tuprint za kiasi hicho cha madeni na miradi kisha tukanunue dollar(tuka convert )kisha tuwalipe itakuwaje?Hawawezi kuipokea, kwasababu madeni yanalipwa kwa foreign currency.
Boss nimepitia replies kibao, ila jibu liko hapa, ingawa Kiranga kakujibu kwa kifupi.Ili kukuza uchumi, unatakiwa kuzidisha uzalishaji.
Ukizidisha kuchapisha pesa tu, kitakachotokea ni kwamba ,hela zitakuwa nyingi, lakini vitu vitapanda bei sana (inflation).
Dollar tukazinunue wapi? Ulishwahi sikia ela yetu imesafirishwa kwenda kununua dollar nje? Hatuwezi kununua dollar kuzidi kiasi tulichoanacho ndani. Dollar tunanunua humu humu ndani kiasi kilichopatikana kwa shughuli za kiuchumi.Bado hamjamjibu tu, ukisema pesa za kigeni ndio tunalipia bado concept hatoipata.Suppose akisema tuprint za kiasi hicho cha madeni na miradi kisha tukanunue dollar(tuka convert )kisha tuwalipe itakuwaje?
Mafunzo ya msingi kabisa katika somo la Uchumi.Boss nimepitia replies kibao, ila jibu liko hapa, ingawa Kiranga kakujibu kwa kifupi.
Nitajaribu kujazia kwa kifupi na kwa mifano ya "kibishi". Kiranga kakutajia aspects mbili za haraka ambazo ni PRODUCTION na INFLATION, hapa katika inflation weka kichwani aspect ya bei(PRICE).
Huu imagine ni kama mzani PRODUCTION(uzalishaji) ya nchi na PRICE huwa vinatakiwa kuwa katika uwiano fulani, kumbuka ukizalisha kidogo na pesa zikiwa nyingi baada ya kuziprint unapata mfumuko wa bei(INFLATION) na ukizalisha sana na ukawa na pesa kidogo, unakuwa na bidhaa nyingi zinakimbizwa na pesa kidogo hapo unapata anguko la bei(deflation).
***Turudi katika issue yako,kwanza utakapo print pesa na kuwalipa wadau kudai na kufanyia miradi,pesa hiyo tayari imeshaingia katika mzunguko wako hata kama umewalipa wajerumani baada ya ku convert kuwa dollar,kwa sababu iwe umewapa pesa ya kigeni au ya kwako wakaikubali basi hawaendi kuikalia kama friji ndani,itatumika tu katika mzunguko duniani.
****Sasa baada ya ku print na kuwalipa na wenyewe kuingiza pesa hiyo katika mzunguko, kumbuka kule juu katika mfano wa mahusiano ya uzalishaji na bei,yani unatakiwa uwe katika uwiano fulani, kwa kesi hii hali itakuwa hivi umezalisha pesa nyingi(print) ili ukanunue dollar(bidhaa) ili ukawalipe wanaokudai bidhaa yao na bidhaa nyingine utumie kwa miradi yako,matokeo yake yatakuwa pesa nyingi inakimbiza bidhaa kidogo(dollar), matokeo yake utatoa pesa nyingi-shilingi kupata dollar moja,na hapo utakuwa umepata anguko la thamani ya pesa yako.
***Matokeo yake kwa kuwa hauna uzalishaji wa kutosha utakosa uwiano mzuri wa malipo(Balance Of Payment) na biashara (Balance Of Trade). Na hii ni kitu inatesa nchi nyingi za kiafrica unauza malighafi mfano pamba halafu unanunua nguo hapa lazima wafaidike wale wa kule wanaotengeneza nguo(finished goods).
***Mkuu nimejaribu kugusia fasta hii ni topic nzito,kuna mambo kama High Power Money Supply n.k ambazo decision zake hufanywa na benki kuu.
Mwisho,pole yetu kwa sera mbovu za kijani zinazofanya mpaka sasa tuulizane maswali yanayoonyesha tumechoshwa na "umasikini wa makusudi" unaotokana na ukosefu wa ubunifu wa viongozi wetu.
Unafikiri haikubaliki na haiwezekani serikali kununua dollar hata kwa kwenda ku exchange hizo pesa walizoprint katika commercial banks na bureau de change, na hata kwa other international banks?Dollar tukazinunue wapi? Ulishwahi sikia ela yetu imesafirishwa kwenda kununua dollar nje? Hatuwezi kununua dollar kuzidi kiasi tulichoanacho ndani. Dollar tunanunua humu humu ndani kiasi kilichopatikana kwa shughuli za kiuchumi.
Naona uvivu hata kuanza kukueleza ila ngoja tu nikuelekeze kamaifuatavyo.Unafikiri haikubaliki na haiwezekani serikali kununua dollar hata kwa kwenda ku exchange hizo pesa walizoprint katika commercial banks na bureau de change, na hata kwa other international banks?
Niliposema kununua namaanisha, hata ukitumia njia ya mzunguko, yani mfano Kenya anatudai dollar 4, sisi tuna dollar 1, tukaamua sasa hizi dollar tatu hatuna, twende tukaprint shilingi 100 ambayo thamani yake ni dollar 3 tunazodaiwa,kisha hii shilingi 100 tukai convert kuwa dollar at our own commercial banks ili tuwalipe wakenya.
Impact yake ni kuwa tayari volume of shiling imeongezeka, keep mind Volume not Value, mwisho ndio possibility kubwa ya kuanguka kwa thamani ya pesa yani shilingi.
Ndugu yetu pale juu alisahau kuwa uki print pesa tayari umeongeza volume, hizi huwa ni njia za mwisha za kufurukuta wakati uchumi unakata roho.
Boss nimepitia replies kibao, ila jibu liko hapa, ingawa Kiranga kakujibu kwa kifupi.