Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

kati ya china na us nan anaexport nje zaidi ya mwenzake?
Usidhani exports za china ni zao zote, makampuni makubwa duniani kwa mfano Apple ,dell na mengine mengi ya nchi ya marekani yanazalisha bidhaa zao china na zinakua exported kutokea China.

Hivyo china ni chanzo cha cheap labour kwa makampuni ya marekani hivyo exports ya china kuwa kubwa isikuchanganye,
Kwahiyo exports ya china ina %kubwa ya marekani ndani yake.
 
Mchumi Kama wewe, wahitimu wa chuo ambao bado hawajaajiriwa unawainclude Kama products to be counted in GDP kwa kweli itanichukua miaka mia kukuelimisha ili uelewe ngoja nikabidhi kijiti kwa mwingine uendelee kupewa shule, Mimi nimetosha!

Doooh maskini! nenda tu mzee baba
 
Usidhani exports za china ni zao zote, makampuni makubwa duniani kwa mfano Apple ,dell na mengine mengi ya nchi ya marekani yanazalisha bidhaa zao china na zinakua exported kutokea China.

Hivyo china ni chanzo cha cheap labour kwa makampuni ya marekani hivyo exports ya china kuwa kubwa isikuchanganye,
Kwahiyo exports ya china ina %kubwa ya marekani ndani yake.

- Hilo sio tatizo na wala sjabisha about that na ni kitu cha kawaida kuhusu makampuni kuwekeza nchi zingine! But so unachotaka kuniaminisha kuniambia kwamba iphone ikitengenezwa china na kua exported tanzania, USA will be credited that iphone ya china ipo included kwenye exports za USA kwenye financial year yao au sio? nadhan sjawahi kufika this level of dumb!
 
Kwanini ninunue soda kwa laki moja wakati uzalishaji utabaki constant?

Hata ikitokea soda ikauzwa kwa laki moja shida itakuwa nini kwakuwa wananchi wana pesa ya kutosha kwa maana haitaathiri chochote.

Kumbuka tumesema hela iprintiwe yakutosha mtaani.
Kumbuka kwamba watu wamepewa hela kwa mkupuo nchi nzima, hicho kiwanda uzalishaji wake haukuwa na uwezo wa kulisha nchi nzima,kiwanda kitazidiwa hivyo bei itapanda kwakua soda ni chache
na watu wana hela

Kingine hio hela iliyogawiwa mtaani wapo pia wafanyakazi wa kiwanda,wengi wataacha kazi maana hela wanazo wafanye kazi kwa ajili gani,uzalishaji utashuka
 
- Hilo sio tatizo na wala sjabisha about that na ni kitu cha kawaida kuhusu makampuni kuwekeza nchi zingine! But so unachotaka kuniaminisha kuniambia kwamba iphone ikitengenezwa china na kua exported tanzania, USA will be credited that iphone ya china ipo included kwenye exports za USA kwenye financial year yao au sio? nadhan sjawahi kufika this level of dumb!
Iphone iliyotengenezwa china ikiuzwa faida inaenda china au marekani?
 
- Hilo sio tatizo na wala sjabisha about that na ni kitu cha kawaida kuhusu makampuni kuwekeza nchi zingine! But so unachotaka kuniaminisha kuniambia kwamba iphone ikitengenezwa china na kua exported tanzania, USA will be credited that iphone ya china ipo included kwenye exports za USA kwenye financial year yao au sio? nadhan sjawahi kufika this level of dumb!
Nitajie kampuni ya kichina yenye thamani sawa na Apple inayozalisha bidhaa zake marekani?
 
Hawawezi kuipokea, kwasababu madeni yanalipwa kwa foreign currency.
Bado hamjamjibu tu, ukisema pesa za kigeni ndio tunalipia bado concept hatoipata.Suppose akisema tuprint za kiasi hicho cha madeni na miradi kisha tukanunue dollar(tuka convert )kisha tuwalipe itakuwaje?
 
Ili kukuza uchumi, unatakiwa kuzidisha uzalishaji.

Ukizidisha kuchapisha pesa tu, kitakachotokea ni kwamba ,hela zitakuwa nyingi, lakini vitu vitapanda bei sana (inflation).
Boss nimepitia replies kibao, ila jibu liko hapa, ingawa Kiranga kakujibu kwa kifupi.
Nitajaribu kujazia kwa kifupi na kwa mifano ya "kibishi". Kiranga kakutajia aspects mbili za haraka ambazo ni PRODUCTION na INFLATION, hapa katika inflation weka kichwani aspect ya bei(PRICE).

Huu imagine ni kama mzani PRODUCTION(uzalishaji) ya nchi na PRICE huwa vinatakiwa kuwa katika uwiano fulani, kumbuka ukizalisha kidogo na pesa zikiwa nyingi baada ya kuziprint unapata mfumuko wa bei(INFLATION) na ukizalisha sana na ukawa na pesa kidogo, unakuwa na bidhaa nyingi zinakimbizwa na pesa kidogo hapo unapata anguko la bei(deflation).

***Turudi katika issue yako,kwanza utakapo print pesa na kuwalipa wadau kudai na kufanyia miradi,pesa hiyo tayari imeshaingia katika mzunguko wako hata kama umewalipa wajerumani baada ya ku convert kuwa dollar,kwa sababu iwe umewapa pesa ya kigeni au ya kwako wakaikubali basi hawaendi kuikalia kama friji ndani,itatumika tu katika mzunguko duniani.

****Sasa baada ya ku print na kuwalipa na wenyewe kuingiza pesa hiyo katika mzunguko, kumbuka kule juu katika mfano wa mahusiano ya uzalishaji na bei,yani unatakiwa uwe katika uwiano fulani, kwa kesi hii hali itakuwa hivi umezalisha pesa nyingi(print) ili ukanunue dollar(bidhaa) ili ukawalipe wanaokudai bidhaa yao na bidhaa nyingine utumie kwa miradi yako,matokeo yake yatakuwa pesa nyingi inakimbiza bidhaa kidogo(dollar), matokeo yake utatoa pesa nyingi-shilingi kupata dollar moja,na hapo utakuwa umepata anguko la thamani ya pesa yako.

***Matokeo yake kwa kuwa hauna uzalishaji wa kutosha utakosa uwiano mzuri wa malipo(Balance Of Payment) na biashara (Balance Of Trade). Na hii ni kitu inatesa nchi nyingi za kiafrica unauza malighafi mfano pamba halafu unanunua nguo hapa lazima wafaidike wale wa kule wanaotengeneza nguo(finished goods).

***Mkuu nimejaribu kugusia fasta hii ni topic nzito,kuna mambo kama High Power Money Supply n.k ambazo decision zake hufanywa na benki kuu.

Mwisho,pole yetu kwa sera mbovu za kijani zinazofanya mpaka sasa tuulizane maswali yanayoonyesha tumechoshwa na "umasikini wa makusudi" unaotokana na ukosefu wa ubunifu wa viongozi wetu.
 
Bado hamjamjibu tu, ukisema pesa za kigeni ndio tunalipia bado concept hatoipata.Suppose akisema tuprint za kiasi hicho cha madeni na miradi kisha tukanunue dollar(tuka convert )kisha tuwalipe itakuwaje?
Dollar tukazinunue wapi? Ulishwahi sikia ela yetu imesafirishwa kwenda kununua dollar nje? Hatuwezi kununua dollar kuzidi kiasi tulichoanacho ndani. Dollar tunanunua humu humu ndani kiasi kilichopatikana kwa shughuli za kiuchumi.
 
Mafunzo ya msingi kabisa katika somo la Uchumi.

Lakini kuna watu wanataka kuyafanya yawe magumu.
 
Dollar tukazinunue wapi? Ulishwahi sikia ela yetu imesafirishwa kwenda kununua dollar nje? Hatuwezi kununua dollar kuzidi kiasi tulichoanacho ndani. Dollar tunanunua humu humu ndani kiasi kilichopatikana kwa shughuli za kiuchumi.
Unafikiri haikubaliki na haiwezekani serikali kununua dollar hata kwa kwenda ku exchange hizo pesa walizoprint katika commercial banks na bureau de change, na hata kwa other international banks?

Niliposema kununua namaanisha, hata ukitumia njia ya mzunguko, yani mfano Kenya anatudai dollar 4, sisi tuna dollar 1, tukaamua sasa hizi dollar tatu hatuna, twende tukaprint shilingi 100 ambayo thamani yake ni dollar 3 tunazodaiwa,kisha hii shilingi 100 tukai convert kuwa dollar at our own commercial banks ili tuwalipe wakenya.

Impact yake ni kuwa tayari volume of shiling imeongezeka, keep mind Volume not Value, mwisho ndio possibility kubwa ya kuanguka kwa thamani ya pesa yani shilingi.
Ndugu yetu pale juu alisahau kuwa uki print pesa tayari umeongeza volume, hizi huwa ni njia za mwisha za kufurukuta wakati uchumi unakata roho.
 
Naona uvivu hata kuanza kukueleza ila ngoja tu nikuelekeze kamaifuatavyo.
Nimekuuliza hizo pesa utazibeba ukaziexchange wapi? Hilo ndilo swali nililokuuliza. Ukisema utaziexchange kwenye local banks sas huko ni kujidanganya maana hizo local banks wanatoa hiyo pesa BOT ni sawa na kujiibia tu, yani una print pesa ukaziexchange na foreign currency reserve yako mwenyewe hakuna ulichoongeza zaidi ya kuongeza pesa ya madafu kwenye mzunguko.

Ukisema ubebe pesa uliyoprint uipeleke kenya kuexchange ni jambo ambalo haliwezekani kwasababu huwezi beba bulk amounts of money to another country tena in local currency.
 
Boss nimepitia replies kibao, ila jibu liko hapa, ingawa Kiranga kakujibu kwa kifupi.
Nitajaribu kujazia kwa kifupi na kwa mifano ya "kibishi". Kiranga kakutajia aspects mbili za haraka ambazo ni PRODUCTION na INFLATION, hapa katika inflation weka kichwani aspect ya bei(PRICE).

Huu imagine ni kama mzani PRODUCTION(uzalishaji) ya nchi na PRICE huwa vinatakiwa kuwa katika uwiano fulani, kumbuka ukizalisha kidogo na pesa zikiwa nyingi baada ya kuziprint unapata mfumuko wa bei(INFLATION) na ukizalisha sana na ukawa na pesa kidogo, unakuwa na bidhaa nyingi zinakimbizwa na pesa kidogo hapo unapata anguko la bei(deflation).

***Turudi katika issue yako,kwanza utakapo print pesa na kuwalipa wadau kudai na kufanyia miradi,pesa hiyo tayari imeshaingia katika mzunguko wako hata kama umewalipa wajerumani baada ya ku convert kuwa dollar,kwa sababu iwe umewapa pesa ya kigeni au ya kwako wakaikubali basi hawaendi kuikalia kama friji ndani,itatumika tu katika mzunguko duniani.

****Sasa baada ya ku print na kuwalipa na wenyewe kuingiza pesa hiyo katika mzunguko, kumbuka kule juu katika mfano wa mahusiano ya uzalishaji na bei,yani unatakiwa uwe katika uwiano fulani, kwa kesi hii hali itakuwa hivi umezalisha pesa nyingi(print) ili ukanunue dollar(bidhaa) ili ukawalipe wanaokudai bidhaa yao na bidhaa nyingine utumie kwa miradi yako,matokeo yake yatakuwa pesa nyingi inakimbiza bidhaa kidogo(dollar), matokeo yake utatoa pesa nyingi-shilingi kupata dollar moja,na hapo utakuwa umepata anguko la thamani ya pesa yako.

***Matokeo yake kwa kuwa hauna uzalishaji wa kutosha utakosa uwiano mzuri wa malipo(Balance Of Payment) na biashara (Balance Of Trade). Na hii ni kitu inatesa nchi nyingi za kiafrica unauza malighafi mfano pamba halafu unanunua nguo hapa lazima wafaidike wale wa kule wanaotengeneza nguo(finished goods).

***Mkuu nimejaribu kugusia fasta hii ni topic nzito,kuna mambo kama High Power Money Supply n.k ambazo decision zake hufanywa na benki kuu.

Mwisho,pole yetu kwa sera mbovu za kijani zinazofanya mpaka sasa tuulizane maswali yanayoonyesha tumechoshwa na "umasikini wa makusudi" unaotokana na ukosefu wa ubunifu wa viongozi wetu.

1) How many ways of printing money do you know?
2) Je ni sahihi kuchapisha pesa mpya kulipa madeni ya nje?
3) Kuna tsh kiasi gan kwenye mzunguko compared to usd tanzania?
4) sera za kijani? ukitoa china, afganistan, usa, korea and sovient union , taja nchi ingine ambapo ccm wapo
 
Uzi huu mzuri naona miamba ya uchumi inatunishiana misuli, naomba mzidi kutunishiana ili wengine tuzidi kufaidi
 
Wapunguze basi haya masifuri--kwa mfano buku 10 ikawa ni shs 100-na ibaki na thamani ile ile-whats the impact?
 
Mnataka kuelewa jambo zito kwa comment moja,
Wakati kuna watu wameelewa hili swali kwa kukaa darasani zaidi ya miaka sita,

Ukitaka kulielewa hili swali ndugu mtoa mada nenda kachimbue pesa ilianzaje anzaje mpaka tumefika kwenye kizazi cha MPESA na TIGOPESA,

Nakuhakikishia utapata majibu mazuri,
hapa jukwaani hata mtu akueleze vipi hutaelewa, hata aje Prof Lipumba ajibu hili swali hutamuelewa. Inatakiwa uwe na ABC za uchumi kwanza.
 
Back
Top Bottom