Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Bro.... IFM ni chuo.....
 
Uchumi watanzania unauliwa na jambo moja kuu, ukitoa vyakula, soko la mahitaji yetu mengine makubwa especially utaalamu wa bidhaa za viwandani tuna import kutoka mataifa nje.

Hii inaturudisha nyuma kila uchao. The day tukireplace namna ya kupata mahitaji yetu kwa kutegemea viwanda na soko la ndani then tutakuwa vema na hela itapanda thamani.
 
Uchumi sifa yake kuu ni healthy exchanges. Kama taifa halina watu productive then hata uwape makontena ya dollars baada ya muda zitaisha tutarudi back at square one......

Siri ya kuwa na uchumi wenye nguvu kwanza ni uchapa kazi na uzalishaji mali na huduma bora....
 
Mbona nimemjibu, kuwa madeni ya nje ya nalipwa na foreign currency siyo pesa ya madafu. Sasa tutawezaje print pesa ya kigeni kwa ajili ya kulipa madeni ya nje.
Amesema tuprint hela za kitanzania kisha tuwape wao watajua watakapopeleka kubadili wajilipe..... Sijui umempata mdau?!
 
Amesema tuprint hela za kitanzania kisha tuwape wao watajua watakapopeleka kubadili wajilipe..... Sijui umempata mdau?!
Hawawezi kuipokea, kwasababu madeni yanalipwa kwa foreign currency.
 
Achana na sifa na siri za uchumi, chukulia alieiba ni mjanja wa akili.
 
Na Vipi kuhusu kuexport bidhaa kwenye nchi zenye uchumi wa kawaida selikali inawezaje kusema inakuza uchumi wake kwa kuexport bidhaa kwenye mataifa ambayo uchumi wake ni mdogo
 
Maelezo mazuri yaliyoshiba....
 
Rejea swali mzee, ni vigezo gani huwa vinaangaliwa vinavyopelekea serikali iprint pesa?
Tunashukuru umetupa athari za kuprint pesa bila kufuata utaratibu.
hakuna vigezo uchumi unareact wenyewe! the more you have the more you loose, then hukumu itakua kwenye exchange rates
 
kwani pesa hizo zikilipwa nje kwenye madeni bila ya kuacha hata senti hapa nchini inflation itakujaje

now naelewa wapi unakwama, iko ivi! pesa zote za tsh hazitoki nje ya boda, tsh mwisho wake ni tanzania kwa sababu marekani ndo walivofanya system iwe, means ukitaka kutrade na nchi ingine lazima utumie kitu kinaitwa IOU, in simple terms it means deni

- Uchumi wa dunia nzima unaendeshwa kwa madeni + imani, thats all! mm naweza nkakuuzia shati 10,000 kwa kukuangalia na mwingine anaweza kukuuzia shati ilo ilo 15,000 kwa kukuangalia tu, ndo uchumi wa dunia ulivo kila sehem, its a bit a long story kuelezea lakini kwa kifupi ni kwamba tsh znaishia hapa hapa tanzania, ukitaka kutrade kwa usd lazima utengeneze kitu kinaitwa IOU means deni ambalo litakuja kulipwa mbelen, hio IOU inanunuliwa na mtu yoyote mwenye uwezo then yeye anakupa cash usd yeye anabaki na hio karatasi, then mtakua mnamlipa whatever way + interest mpaka deni liishe
 
Ili kukuza uchumi, unatakiwa kuzidisha uzalishaji.

Ukizidisha kuchapisha pesa tu, kitakachotokea ni kwamba ,hela zitakuwa nyingi, lakini vitu vitapanda bei sana (inflation).

pole sana, ukitaka kukuza uchumi lazima ukope kwa kiasi kikubwa! sio kwa sifa ila ndo uchumi unavoenda, you cant create new money, the only way to create new money ni kwa kukopa, uchumi wa dunia nzima ni madeni + imani basi, hata wewe ukiweka ela mpesa haimaanishi kwamba mpesa wana hela yako ila wana imani yupo wakala anaweza kukuhudumia, wao wanakujazia tu namba kwenye account,

same same to bank, and other institutions, dunia nzima pesa zko typed sio cash, 80% is typed and the rest is notes and coins
 
Haujamuelewa, amesema tuprint nyingi halafu wapewe mataifa ya nje wanaotudai...... Hilo ndilo swali lake!

Ana assume kuwa ukiprint pesa na kuzipeleka nje then uchumi wa ndani hautaathirika na mfumuko wa bei sababu pesa zitakwenda nje!

hakuna pesa inayoenda nje, kinachoenda nje ni deni sio cash
 
Kwani wapi nimeandika ukitaka kukuza uchumi u create new money?

Na ukikopa bila kukuza uzalishaji utakuzaje uchumi?
 
bro mm nmejibu hoja yako ya kukuza uchumi,
Hujajibu hoja.

You are all over the place kuongelea kukopa and what not, in an unfocused way.

Nimekueleza hivi, kukuza uchumi, inabidi uongeze uzalishaji.

Ukichapisha noti tu, utasababisha mfumuko wa bei .

Unabisha?
 
Hujajibu hoja.

You are all over the place kuongelea kukopa and what not, in an unfocused way.

Nimekueleza hivi, kukuza uchumi, inabidi uongeze uzalishaji.

Ukichapisha noti tu, utasababisha mfumuko wa bei .

Unabisha?

it seens you have very little knowledge on this topic, kwanza lazima ujue money ni scam, ukiongeza uzalishaji ni sawa sawa unaprint pesa mpya tu the only difference ni, hii itachukua mda kupata mzunguko wa pesa mwingi while kuprint ni instant but the worst way, ukiprint pesa mpya, you kill the economy completly, ukifanya uzalishaji your killing the economy but in a very slow pace, either way lazima pesa iharibike thaman, hata $1 ya 90 na hii ya leo ni tafaut kabisa, in either way lazima your killing the economy!

- So the best way ni kukopa spend it then return it, Its not perfect lakini its the best
 
Daaah kumbe Nchi ikiwa na madola mengi ya marekani ndio Nchi inakua tajiri ,daah basi acha marekani waendelee kua matajiri maana wenyewe madola yao wanayo mengi, vipi kuhusu China na wenyewe wana madola mengi ya marekani ?
Kwel hili suala LA pesa bado ni kizungumkuti
 
Kiuhaalisia sisi bado Sana Ku export bidhaa ambazo tutatengeneza wenyewe kwenye viwanda vyetu , chamsingi hapa ili tuweze kutoka , ilitakiwa kuwekeza kwenye kilimo tu, tuwe na mazao mengi ambayo tutaweza kuuza mpaka Nje ya Nchi kwa wingi nahisi ndio njia pekee itakayoliwezesha taifa kupata pesa nyingi za kigeni kwa urahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…