Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Kwa nilivyoelewa hata Marekani kuwa nchi tajiri it means yeye mwenyewe ana akiba kubwa ya pesa za kigeni(foreign currency)kwasababu anaexport Sana kuliko kuimport
 
Ninavyoandika uzalishaji unaelewa namaanisha uzalishaji wa nini?

What do you understand by production?

Nimekuuliza, ukikopa bila kuongeza uzalishaji utaletaje maendeleo ya kiuchumi?

Hujajibu.

Do you understand that money is subject to price per the laws of demand and supply?

Ceteris paribus, the more money is supplied in the system, the more its value goes down per unit. The more inflation rises.

Therefore, printing more money does not help the economy. It merely causes inflation.

What helos the economy is increasing productionnof goods and services that are on par with demand.

Do you understand that?
 
Siyo sahihi kufanya hivyo...
Pesa inapoteza thamani, Mfumuko wa bei unakua juu...



Cc: mahondaw
 

we bado kachalii sana na hio elimu yako. kwa kifupi u have alot to learn, alafu soma statement yangu nmesema kukopa ndo best option , uzalishaji ni uuaji wa pesa in a slow pace, ndo maaana nmekupa mfano wa $1 ya 90's na $1 ya 2020 ujue naongelea nn, unfortunately huezi elewa maaana elimu ulionayo bado you have alot to learn
 
Wewe jifunze kuandika "halafu" si alafu.

Kiswahili tu kinakushinda kuandika, ndiyo unataka kujifaragua kubishana uchumi?

Halafu ujue kuchora graph ya demand and supply, ujue scarcity ni nini. Ujue inflation ni nini.

Ndiyo uje kujadiliana nami.

Nimekuuliza uzalishaji wa nini, hujajibu.

Hujui hata kujibu maswali unayoulizwa, nitajadiliana nawe vipi?

Yani unakataa kwamba kuongeza kuchapisha hela ceteris paribus, bila kuongeza uzalishaji wa bidhaa na huduma, kunaleta inflation?
 

🤦‍♂️, Wacha nkupe elimu!
Demands and supply ni maelezo ya wanyonge, ndo kama wewe sasa! printing is done everyday, Here is some small info for you


-> Pesa in simple terms tunasema ni imani ya mtumiaji, hkunaga sheria ya pesa! unfortunately watu kama nyie ndo wale hamchambui vitu vizuri mnarukia tu, if printing kills your money, then us dollar ingekua ya kwanza kufa kwa sababu inatumika dunia nzima (240 countries), kuanzia serikali mpaka wananchi wa kawaida thats including the government of the united states itself, so zpo za excess


Also kila sku mmoja The federal reserve wanachapisha noti mpya 24.8million dunia nzima, then why has the us dollar never lost is value? si ndio ipo foreign reserve BOT na dunia nzima?

-> wacha nkuulize swali lingine la ziada, ukichukua mkopo mpesa! unadhan vodacom wanatoa wap hio pesa kukupa?
-> Tafuta elimu usome zaidi achana na elimu za maji taka, ona sasa umebaki na graphs zako
 
Idd Amin & Hitler walijaribu kufanya hivyo na matokeo yanafahamika dunia nzima

mtu pekee mwenye uwezo wa kufanya hivyo ni US labda na EU maana pesa zao zinatumika dunia nzima kama reserve currencies
 
Itatokeabonge la inflation kiasi kwamba tutaanza kununua mkate hata kwa laki. Pesa haiprintiwi hivi hivi inakuwa backed na shughuli za kiuchumi na demand.
hata ukinunua mkate laki si hela ipo nyingi...naona .wataalam bado hawajaweza kueleza inavyokuwa
 
Uchumi unajengwa na msmbo mawili. Moja ni uzalishaji au ujambazi wa kijeshi

Mmeelewa au niongeze sauti?
 
Kiongozi umezungumza jambo kubwa sana lenye tija kwa wengi. Nakuomba uliweke kwenye lugha nyepesi
 
hata ukinunua mkate laki si hela ipo nyingi...naona .wataalam bado hawajaweza kueleza inavyokuwa
Kiuchumi kutumia pesa nyingi kununua kitu kidogo ina adhari kwa uchumi. Ikiwa ina maana ukitaka kununua kitu kutoka nje mfano gari inabidi ulipe kwa dollar, sasa kama mkate uliokuwa unauzwa buku unaununua laki na buku ni 0.6 USD, je ili upate 1000 USD itabidi uwe na shilingi ngapi? Hata ukiwa nazo zitakuwaa hazina maana. Pesa ina maana pale inapokuwa na nguvu. Kama mkate ulikuwa waununua buku, halafu pesa ikawa nyingi ukaununua laki itakuwa haijakusaidia maana kwa muda huo laki inakuwa na thamani ya buku. Laki haikuongezea uwezo wa kununua zaidi bado uko pale pale.
Refer kilichotokea Zimbabwe, mpaka ikabidi serikali ianze tumia dollar, na pesa ya South Africa na nchi za jirani maana pesa yao haikuwa na thamani. Unaenda sokoni na fuko zima la ela.
 
Kwa nilivyoelewa hata Marekani kuwa nchi tajiri it means yeye mwenyewe ana akiba kubwa ya pesa za kigeni(foreign currency)kwasababu anaexport Sana kuliko kuimport
Yes Marekani ana export sana. Kuanzia Technology, mpaka military hardware. Japo na yeye ana import lakini sio sana
 
Umeona thamani ya hizo note lakini? Yani kwa mwaka mzima wamechapisha note zenye utajili sawa na Bakhresa. Ndiyo ujue hawachapishi chapishi tu. 560$ nipesa ndogo sana hata Jay Z ana pesa nyingi kuliko hiyo.
 
Kiongozi umezungumza jambo kubwa sana lenye tija kwa wengi. Nakuomba uliweke kwenye lugha nyepesi

ok kwa lugha nyepesi ni hivi:

Tuseme unataka kununua mchele kenya, ili kuweza kununua mchele huo ni lazima uwe na pesa inayozunguka kenya na wanayoitambua, kwa maneno marahisi lazima uwe na ksh au USD

- sasa utafanya nn na unatumia tsh? na unautaka huo mchele na hauwezi kupeleka tsh kwa sababu sio pesa yao, unafanya ivi, unatafuta mtu ambae hana kazi na USD kwa huo mda then unamwandikia receipt inayoitwa IOU: kwa kiswahili sjui inaitwaje ila hizi karatasi hua znatolewa na wasimamizi wa pesa katika nchi: Kwa Tanzania ni BOT (pia ukumbuke hizi IOU znatolewa kwa biashara zinazozungusha pesa kubwa zinazohusiana na mikataba ya nchi sio mtu mmoja mmoja)


- So hio receipt utaenda nayo kenya then watakupa KSH au USD ile receipt watabaki nayo kwenye documents zao anytime watataka pesa wataitumia, na hatimae unafanya manunuzi kenya ila ukiwa una deni la kulipa mbelen, naomba pia utambue uchumi wote wa dunia unaendeshwa kwa ulaghai wa kuwakandamiza nchi ndogo ndogo zote nkimaanisha nchi ambazo hazina uchumi mkubwa

- Huu ulaghai wote unaendeshwa na shirika moja linaitwa THE FEDERAL RESERVE, na mbaya zaidi hili sio shirika la serikali bali la watu binafsi na wao ndo wenye kibali cha kuchapisha noti za USD duniani kote, katiba ya marekani haitoi ruhusu kwa serikali ama shirika lolote kufanya uchunguzi katika FEDERAL RESERVE

- Kwa mfano, ukichapisha pesa nyingi mfano noti za tanzania, uchumi wako utakufa lakini wao wanaweza kuchapisha noti nyingi na za kutosha na zinazotumika dunia nzima sio marekani tu, serikali zote duniani kasoro CHINA, RUSSIA, AFGANISTAN na CUBA hawatumii mfumo huu

THE FEDERAL RESERVE wanachapisha zaidi ya tsh $600M kila sku bila kuathiri uchumi wa marekani, lakini hairuhusiwi kwa nchi zingine zozote znazofanya biashara kwa kutumia USD kuchapisha pesa zao wenyewe kwa kiasi kikubwa hiki, huu ni utapeli na unatakiwa ufike mwisho
 
Thamani ya pesa inapatikanaje?

Benki ya Tanzania ikichapisha noti na kumpa kila Mtanzania shilingi bilioni mia moja, uchumi wa Tanzania utapanda kwa sababu kila Mtanzania atakuwa na shilingi bilioni mia moja za kupewa na Benki Kuu?
 
Umeona thamani ya hizo note lakini? Yani kwa mwaka mzima wamechapisha note zenye utajili sawa na Bakhresa. Ndiyo ujue hawachapishi chapishi tu. 560$ nipesa ndogo sana hata Jay Z ana pesa nyingi kuliko hiyo.

kusoma pia hujui, sio $560 BALI ni $560M kwa pesa za tanzania ni zaidi ya trillion 2.5 kwa sku
 
Thamani ya pesa inapatikanaje?

Benki ya Tanzania ikichapisha noti na kumpa kila Mtanzania shilingi bilioni mia moja, uchumi wa Tanzania utapanda kwa sababu kila Mtanzania atakuwa na shilingi bilioni mia moja za kupewa na Benki Kuu?

Money has no value, Uchumi na dunia nzima unaendeshwa kwa imani na utapeli, sasa wewe endelea na supply and demand yako, na kwa taarifa zaidi wanaochapisha hizo pesa sio serikali bali ni shirika binafsi, sasa wewe endelea na supply and demand mpaka unaondoka duniani
 
kusoma pia hujui, sio $560 BALI ni $560M kwa pesa za tanzania ni zaidi ya trillion 2.5 kwa sku
Ndiyo najua ni 560 otherwise nisinge mtaja bakhresa au Jay Z. Bado kwa Uchumi wa Marekani, na jinsi dollar inavyotumiaka dunia nzima ni kiasi kidogo sana. Na huenda kiliprintiwa kureplace dollar zilizotolewa kwenye mzunguko. Jibu tunarudi pale pale kuwa hawa print print tu. Halafu hizo siyo tilion 2.5 za Kitanzania bali ni kama 1.3 tilion za Kitanzania
 
Utakuwa umesoma habar sana za wale Rocker Feller kumiliki Dollar!
 
Unaelewa kwamba una ji contradict sasa?

Sasa kama money has no value, na wewe umesema uchumi unapanda kwa kukopa hela, uchumi unapandaje kwa kukopa kitu kisicho na value?

Unaelewa hata maana ya value ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…