TOR, mkuu unaongelea mambo ambayo nayajua toka 2012. Dark web, yani hakuna unaloongea ambalo sijawahi cheza nalo ndiyo maana unisikitisha. Na siyo lazima kutumia TOR kuingia dark web.your fooled and you will always be fooled!! have you ever heard of TOR?
Tukinunua sana kutoka nje hiyo si ndo importation? Na umesema ili uchumi upae ni lazma export iwe kubwa kuliko import.Wakikileta huku, yes tutakuwa na reserve kubwa ya dollar tunaweza kununua sana tu kutoka nje.
Export ikiwa kubwa kuliko importation ina maana tunapata pesa nyingi ya kingeni, tukiwa na pesa nyingi ya kigeni ina maana tunaweza nunua vitu vingi ambavyo hatuzalishi, kama technology, bidhaa kama machine kubwa, hatutahitaji mikopo kufanya hivyo. Na tukiwa na pesa ya kigeni nyingi shilling ina stabilize maana tuna reserve nyingi inatosheleza demand so lazima exchange ishuke shillingi ikae poa.Tukinunua sana kutoka nje hiyo si ndo importation? Na umesema ili uchumi upae ni lazma export iwe kubwa kuliko import.
Bangi haijawahi kumuacha mtu salamaNamimi naongezea swali, kuhusu foreign currency reserve, je ikitokea Tanzania imetuma majambazi sugu US, wakaenda kuiba dollar za kutosha kwa ajili ya reserve ya TZ.
Uchumi utaimarika assuming other factors remain constant, nikimaanisha hizo dollar hazijawa blacklisted maana inawezekana kuzitangaza ni batili kwa taifa la us, tufanye haya yote hayapo ila mzigo wa dollar za kimarekani umejazwa kwenye makontena ya kutosha yakaja tupwa BOT, wajuvi je tanzania itakua vizuri kwa kipindi hicho?
The internet is full of things, ni akili yako kuchambua kipi kweli kipi uongo. Unaweza mezeshwa mashudu na ukayaamini kabisa kuwa ni sawa. Kuna mambo mengi hasa kwenye vitabu Author anakuaminisha kitu. Same kama watu walivyoamini story ya Da Vinci Code
That is to tell you kwamba siyo kila kitabu kinabeba ukweli wala kinaweza kuwa reliable. Conspiracy inauza sana na Authors wanapenda kuandika conspiracy.Man you always sound childish sjui kwann! so where did davinci story come from?
TOR, mkuu unaongelea mambo ambayo nayajua toka 2012. Dark web, yani hakuna unaloongea ambalo sijawahi cheza nalo ndiyo maana unisikitisha. Na siyo lazima kutumia TOR kuingia dark web.
That is to tell you kwamba siyo kila kitabu kinabeba ukweli wala kinaweza kuwa reliable. Conspiracy inauza sana na Authors wanapenda kuandika conspiracy.
Uwa unashiriki mijadala ya Quora? Kama ndiyo ebu pitia hii link maana ni kitu ambacho kinajadiliwa sana labda utapata moja mbili tatu. Why do people think that the Federal Reserve was created by the Rothschilds and the Rockefellers? - Quora hata hiyo reference ya kitabu chako kuna mtu kaitaja.i just asked sio maelezo, so according to there page here is what they say about the fed
View attachment 1622978
of which sio kweli because the founders of the fed sio serikali:
View attachment 1622980
Wengine siwakumbuki mpaka niptie kile kitbu tena! Hili ni tatizo la kutoshirikisha ubungo unachosoma hufanyi reserch vizuri, una swali mpaka apo?
I guess it is!Thats your problem!
Uwa unashiriki mijadala ya Quora? Kama ndiyo ebu pitia hii link maana ni kitu ambacho kinajadiliwa sana labda utapata moja mbili tatu. Why do people think that the Federal Reserve was created by the Rothschilds and the Rockefellers? - Quora hata hiyo reference ya kitabu chako kuna mtu kaitaja.
Mkuu kasome link niliyokupa utaelewa hii conspiracy imetoka wapi. Kila kitu kina founder, hata USA ina founding fathers, usije sema nao ndiyo wamiliki wa nchi ya USA kama kwako neno founders lina maana hiyo tu kwako.i just asked sio maelezo, so according to there page here is what they say about the fed
View attachment 1622978
of which sio kweli because the founders of the fed sio serikali:
View attachment 1622980
Siyo kucomment angalia mtu alivyo elaborate ilikuaje mpaka hiyo bill ikawa pushed. Conspiracy ilitoka wapi watu wamekupa mtililiko. Ila najua ni ngumu mtu aliyekalili conspiracy kumbadilisha mawazo yake. Tuishie hapa.i can also comment on quora so whats the big deal?
Uwa unashiriki mijadala ya Quora? Kama ndiyo ebu pitia hii link maana ni kitu ambacho kinajadiliwa sana labda utapata moja mbili tatu. Why do people think that the Federal Reserve was created by the Rothschilds and the Rockefellers? - Quora hata hiyo reference ya kitabu chako kuna mtu kaitaja.
Mkuu kasome link niliyokupa utaelewa hii conspiracy imetoka wapi. Kila kitu kina founder, hata USA ina founding fathers, usije sema nao ndiyo wamiliki wa nchi ya USA kama kwako neno founders lina maana hiyo tu kwako.
Siyo kucomment angalia mtu alivyo elaborate ilikuaje mpaka hiyo bill ikawa pushed. Conspiracy ilitoka wapi watu wamekupa mtililiko. Ila najua ni ngumu mtu aliyekalili conspiracy kumbadilisha mawazo yake. Tuishie hapa.
Founders wa wazo la kuanzisha federal reserve ni Rothschild grandfather, na alilitoa Germany jinsi mfumo wao wa kibank ulivyokuwa unafanya kazi, akalipeleka Marekani bado wakalikataa, akaona labda amfuate Rockfeller ambaye kwa kipindi hicho alikuwa tajiri sana atumie influence yake kuishawishi serikali ipitishe bill, bado ikagongwa mwamba mpaka walipoingia Democratics, wakapitisha bill ya kuanzisha federal reserve kama central bank ya America na siyo kampuni binafsi kama unavyotaka kuamini wewe.cha muhimu ni founders, wengine siwakumbuki but the big point ni kwamba its privately owned
Basi wewe uko kwenye field ya conspiracy economics.sasa dogo, mm sina itikadi za kuanza kubishana i know what i am talking and my point was disapprove your ideas! my field ni economics, kama unataka kubishana nenda kabishane nao!
wewe si ulisema uliacha shule form3 baada ya kusoma hizo conspiracies??sasa field ya uchumi umeingiaje tenaaisee dogo mm sio mtu wa articles, economics ndo my field karibia 8 years saaahv, i know what i am talking about!
najua scams za hii dunia za kutosha tu, mambo yako wide open kwenye maisha ya kawaida mtu yoyote anaejua uchumi vizuri na anasoma vitabu vingi its easy to spot the lie, hutaki ilo ni juu yako sasa, thats a real word example nmekupa! and yes federal reserve is private owned, do you even know who are the founders?
Jinsi hela inavyozidi kuongezeka bila uzalishaji kuongezeka, ndivyo mfumuko wa bei nao unavyozidi.Mkuu vitu vikipanda bei si bado hela nayo itakuwa nyingi mtaani kwahiyo suala la mfumuko linakuwa halina mashiko tena.
Mfumuko wa bei nijuavyo ni pale bidhaa zinakuwa bei juu halafu mzunguko wa hela mdogo.
Mfano mfuko wa cement 35,000 lakini mzunguko wa hela mdogo.
Sasa hela ikiwa nyingi mtaani hata huo mfuko wa cement ukiuzwa 50,000 si bado watu watakuwa na uwezo wakununua!!!
Unaweka mechanism ya kuzitoa katika mzunguko pindi kazi inapoishaUkiprint hela nyingi:
1. Utasababisha mfumuko wa bei.
2. Pesa yako itapungua thamani.
3. Dunia itapoteza imani na pesa yako.
4. Utakuwa umefanikiwa kuua uchumi wa nchi yako.
Zimbabwe walijaribu hii kitu.
View attachment 1622051