APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Circulation of money in an economy must equate the volume of goods and services in an economy....so printing of notes and minting of coins while the volume of goods and services is constant may lead to inflation...hivyo kwa mujibu wa hiyo sentensi hapo juu huwezi kuchapa noti na tutengeneze sarafu ikiwa bidhaa na huduma kwenye uchumi hazijaongezeka utasababisha mfumuko wa bei (kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma) ...na kwa kauli ya kuchapa hela ili tulipe madeni ya nje nakununua bidhaa kwenye masoko ya kimataifa hiyo haiwezekani...haiwezekani kwa sababu madeni ya nje na biashara za kimataifa hufanywa kwa fedha za kigeni(USD,GBP,EURO,YEN etc)...hizi za kuprintiwa humu ni pesa za kutumika humu humu nchini ndo mana hata wengine huziita pesa za madafu....na ili tupate fedha nyingi za kigeni ni lazima tuongeze uzalishaji wa bidhaa na huduma ili tupeleke nje kwa wingi na tuagize kiasi kidogo kutoka nje(Exports must exceed imports) ili sasa tuwe na favourable balance of trade and payments as well...Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.
Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.
Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka serikali inaprintiwa pesa?
Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje, tukakamilisha miradi mikubwa ya maendeleo, tukanunua madawa ya hospital na vyote ambavyo tunapungukiwa kama nchi?
Wanauchumi karibuni mtupe a,b,c za hili jambo ili tupate kujifunza.