Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Labda nikupe mfano... mfano mimi kazi ninazozifanya nalipwa kwa dollar. Ina mana nimefanya kazi, mzungu ananilipa assume dollar 500 ambayo kwa tshs ni kama 1.2 mils, anafanya wire transfer inafika bank local bank wanapokea dollar ila mimi kwenye my account wanaweka tshs: ambayo 1.2 mls. wao dollar wanabaki nazo na mwisho zitaenda BOT maana wana kiasi cha pesa ya kigeni wanachoruhusiwa kuwa nacho kikizidi wanapeleka BOT.

Hay assume umeuza kitu nje viatu vya kimasai, umeuza mzigo wa dollar 1000, mnunuzi kalipa, lakini wewe kwenye account utawekewa Tshs. Hapo unaona kupitia shughuli zetu za kiuchumi serikali inapata pesa pia. Kuna kuuza madini pia yanauzwa kwa foeign currency. Hata Kahawa na kadhalika.

Siyo kila anayeuza bidhaa nje akilipwa ananunua kitu analeta huku. Na ndiyo maana uchumi illi ufanye vizuri export inabidi iwe kubwa kuliko import, ikiwa na maana tunaingiza pesa ya kigeni nyingi kuliko tunayotoa.
Unadhani huyo anayeng'ang'ana na kuprint hela ataelewa unachomwelezea? Yeye anataka hela iprintiwe kama mitihani.

Watanzania bwana haya ngoja Jamal printers waje wakuelekeze
 
Unachekesha wewe jamaa. Kwanza unajua kwa nini ile algorithm ya Google Search inaitwa PageRank? Na ina husiana vipi na Larry Page?
Umemeza sana conspiracy theories. Kukuelewesha ni kazi. Baki na conspiracy theories zako.

so all unachojua ni conspiracy theories au sio?
 
Unadhani huyo anayeng'ang'ana na kuprint hela ataelewa unachomwelezea? Yeye anataka hela iprintiwe kama mitihani.

Watanzania bwana haya ngoja Jamal printers waje wakuelekeze

Kwan unadhan nakulazimisha uamini, thats all upon you!
 
Hongera wewe unayejua chochote! Hivyo nenda China ukawasaidie UTAPELI na IMANI ili muifanye YUAN iwe na DEMAND kubwa Duniani katika nchi zote na muitoe USD, ili USD isiwe on Demand.
America ni Superpower na itabaki kuwa hivyo kwa miongo kadhaa. Na huo u-Superpower wake kwa Teknolojia na ukimjulisha na Uchumi Mkubwa na Imara, na Sera za Fedha na Sera za Mambo ya Nje ndiyo vimefanya USD iwe hapo ilipo leo na kuwa ndiyo the global currency na hivyo kuifanya USD imekuwa on Demand sana duniani kuliko YUAN.
Hivyo basi kwa sababu Demand ya USD ni kubwa dunia nzima America imewalazimu kuisambaza (kui-supply) Currency yao dunia nzima ili kwenda sawa na Demand ili wazidi kui-control dunia ki-Uchumi na ki-Teknolojia ili USA ibaki na kuzidi kuendelea to be on pole position as the Superpower.

Mchezo unarudi pale pale Demand na Supply. Hata hizo Export na Import zinategemea humo humo pia kwa Demand & Supply.
Currency nayo ni humo humo, America imefanikiwa kucreate demand kama nikivyoainisha happ juu katika u-Superpower, Teknolojia, Sera za Fedha, Sera za Mambo ya Nje na Usalama. Yooote hayo yanabebwa na Teknolojia.
Kama ambavyo ROMANS used to rule the world due to superiority of their technology and foreign policies. Na pesa ya Romans ndo ilikuwa juu "ya kaisari mpe kaisari" Caesar of Romans.

Kati ya China na us nan anaexport nje zaidi ya mwenzake?
 
what else are you waiting to hear si tushamaliza mada, au bado unataka kubiasha tena? umeshakamilisha jibu na umeshakubali tunaedeshwa kwa imani, you have anything new?
Nahisi unanichanganya na watu wengine uliokuwa unabishana nao.

Nimekuuliza swali gani? Hujui em lala kidogo uchaji ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani huyo anayeng'ang'ana na kuprint hela ataelewa unachomwelezea? Yeye anataka hela iprintiwe kama mitihani.

Watanzania bwana haya ngoja Jamal printers waje wakuelekeze

Wbongo bana! shida kwel kweli
 
Mi nataka nijue hao wanaotu-printia hizo pesa, sisi tunawalipa nini kwa kazi hiyo?

Majibu mengi kwenye swali hili huwa hayaridhishi
Wanalipwa pesa pia lkn ni dollar au vitu venyr thaman km dhahabu etc BOT wanazo dhahabu na dollar
 
Hilo linategemea sana na wanavyocontrol inflation rate kwenye mzunguko

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app

1605099329278.png
 
Yap, kushuka ama kupanda kwa thamani ya Dollar kuna consequences kwa nchi nyingi hasa nchi tegemezi, kuhusu suala la imani linatokana na sheria kulazimisha kwamba utumie kipande cha karatasi kilichoandikwa namba na kusainiwa kwamba kimekubalika kufanyia exchange ya products na service ukikataa kutoa ama kupokea na kuikubali kama medium of exchange unapewa adhabu kali
 
Atleast you got it right! most people dont know what we are forced to do
 
Yap, kushuka ama kupanda kwa thamani ya Dollar kuna consequences kwa nchi nyingi hasa nchi tegemezi, kuhusu suala la imani linatokana na sheria kulazimisha kwamba utumie kipande cha karatasi kilichoandikwa namba na kusainiwa kwamba kimekubalika kufanyia exchange ya products na service ukikataa kutoa ama kupokea na kuikubali kama medium of exchange unapewa adhabu kali

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app

- Your one among the few people who understand whats going on kwenye hii dunia, lakini sishangai kila mtu anavuna kwake
 
mkuu weka ushahidi wanaprint trilion 1.3 kila siku....nimechoka kukulazia damu sasa
Mkuu huyo jamaa vitu vingi anameza kama alivyosoma haangaiki kujua ni kwanini kimetokea, ni kweli thamani ya pesa hiyo inaprintiwa per day ni kwa Sababu wanareplace notes zilizochakaa, yeye anachojua ni notes million 38 zinaprintiwa everyday lkn hajui kuwa about million 35 notes kila siku zinaondolewa ktk mzunguko worldwide!
 
PPP means purchasing power! china ndo inaongoza kwa purchasing power dunia nzima, china vs us bado china pia ndo inaongoza kwa exports kama nlivokuonyesha kwenye zile charts, sasa huezi kua heavy economy kama hauna exports kubwa na watu hawana utegemezi kwako ambao ni mkubwa, easy as that! kigezo kikubwa cha kua economy kubwa kinabase 90% na PPP, so china ndo the heaviest economy duniani saaahv kama nlivokuonyesha pia, una lingine?
We jamaa unalisha watu humu mashudu uchumi kuwa mkubwa 90% una base na GDP per capita sio hayo ma PPP yako kuna nchi Africa zina PPP kubwa kuliko nchi za ulaya usinambie nazo zina economy kubwa
 
Mkuu huyo jamaa vitu vingi anameza kama alivyosoma haangaiki kujua ni kwanini kimetokea, ni kweli thamani ya pesa hiyo inaprintiwa per day ni kwa Sababu wanareplace notes zilizochakaa, yeye anachojua ni notes million 38 zinaprintiwa everyday lkn hajui kuwa about million 35 notes kila siku zinaondolewa ktk mzunguko worldwide!

1) hahaha sasa nyie mbna hamuelewani, mmoja hataki kuamini mwingine anaamini tuaelewe vp. anyway nyie bado machalii sana kwenye hizi trade deals u wont understand it hata nkiwaelezea mara 100 though natumia very ground and simple explanations, kuna mengi sana nkianza kuelezea apa utaanza kua mbishi,

2) Kwa akili ya kawaida hakuna noti inaprintiwa leo kesho imechakaa huo ni uongo, ebu fikiria vizuri gdp ya marekani hii apa
1605255768051.png

====== 20.8trillion LOW!

- now think alittle, if your printing $600M per day , then hat means ndan ya mwezi mmoja tayar umeshaprint GDP nzima. Got the point? and on the same time Tanzania should also print its notes atleast kila sku sio kwa msimu kwa sababu kuna noti znachakaa na zingine natural disasters? isnt it right?

- Kingine ambacho hujui, the USD especially kwa afrika ukiachana na ubabe unaofanyika haina umuhimu kama inavokua potrayed, kwa report ambazo ni latest, china has dumped pesa yake afrika more then the IMF and WORLD BANK combined. Here are some of the most known countries holding china's money

1605256020763.png

- What even is shocking is this report here below
1605256367898.png

- Na ukiangalia EXPORTS za china its true china anaexport zaidi ya the US, so that means more people need china, of which it includes china's yuan is the most needed on earth,
1605256497179.png

hizi ni exports za USA

1605256579548.png

hizi ni exports za china, although ni za 2019 ila . exports za china ni double ya zile za USA, think 2020 itakuaje maaana hio ni 2019

-- haya sasa from all these details, which country do you think needs to print more than the other? nan pesa yake inahitajika zaidi ya mwenzake?

--> alafu niwape ushauri mkiwa mnabishana na watu make sure mnakua na attachement za reports kuonyesha you know what your talking, mtu anaebishana na wewe awe on track, muache story za vijiwe

---So from this all documents you can conclude that, pesa china anaotoa kama mkopo ni zaidi ya exports za USA zote, kwa china anatoa tu kama mkopo leave the rest, now conclude yourself, bring documents bring facts! and tell me, kwa kelele zenu za supply za demand nan pesa yake ipo in demand zaidi ya mwenzake? and if so where does the US gets the right to print that much each new day?
 
1) hahaha sasa nyie mbna hamuelewani, mmoja hataki kuamini mwingine anaamini tuaelewe vp. anyway nyie bado machalii sana kwenye hizi trade deals u wont understand it hata nkiwaelezea mara 100 though natumia very ground and simple explanations, kuna mengi sana nkianza kuelezea apa utaanza kua mbishi,

2) Kwa akili ya kawaida hakuna noti inaprintiwa leo kesho imechakaa huo ni uongo, ebu fikiria vizuri gdp ya marekani hii apa
View attachment 1625457
====== 20.8trillion LOW!

- now think alittle, if your printing $600M per day , then hat means ndan ya mwezi mmoja tayar umeshaprint GDP nzima. Got the point? and on the same time Tanzania should also print its notes atleast kila sku sio kwa msimu kwa sababu kuna noti znachakaa na zingine natural disasters? isnt it right?

- Kingine ambacho hujui, the USD especially kwa afrika ukiachana na ubabe unaofanyika haina umuhimu kama inavokua potrayed, kwa report ambazo ni latest, china has dumped pesa yake afrika more then the IMF and WORLD BANK combined. Here are some of the most known countries holding china's money

View attachment 1625465

- What even is shocking is this report here below
View attachment 1625467

- Na ukiangalia EXPORTS za china its true china anaexport zaidi ya the US, so that means more people need china, of which it includes china's yuan is the most needed on earth,
View attachment 1625470
hizi ni exports za USA

View attachment 1625471
hizi ni exports za china, although ni za 2019 ila . exports za china ni double ya zile za USA, think 2020 itakuaje maaana hio ni 2019

-- haya sasa from all these details, which country do you think needs to print more than the other? nan pesa yake inahitajika zaidi ya mwenzake?

--> alafu niwape ushauri mkiwa mnabishana na watu make sure mnakua na attachement za reports kuonyesha you know what your talking, mtu anaebishana na wewe awe on track, muache story za vijiwe

---So from this all documents you can conclude that, pesa china anaotoa kama mkopo ni zaidi ya exports za USA zote, kwa china anatoa tu kama mkopo leave the rest, now conclude yourself, bring documents bring facts! and tell me, kwa kelele zenu za supply za demand nan pesa yake ipo in demand zaidi ya mwenzake? and if so where does the US gets the right to print that much each new day?
1.kutoelewana mie na jamaa wala sio tatizo, nipo hapa kukuweka Sawa make ktk comments zako nyingi uchumi umeubaka baka, ingawaje unajitapa unaufahamu itoshe tu kusema jinsi unavyojifunza uchumi akili yako inaulewa jinsi unavyotaka wewe sio inavyotakiwa. 2 note ya dola inaweza kuondolewa hata ndani ya lisaa moja baada ya kuprintiwa kwa uchafu tu wa nukta ya kalamu, unalinganisha notes za us dola na shillings za tz? Notes za bongo hata ikifutika maandishi yote, au ikichanika robo bado itaendelea kuwa ktk mzunguko ndomana haziprintiwa kila siku, lkn notes za USD vumbi tu lile la kigoma au uchore tu nukta kwa pen siku hiyo hiyo ikikanyanga bank inaondolewa kwenye mzunguko. 3 naona umekuja na data nyingi za export ili uhalalishe kuwa yuan ina demand kubwa kuliko USD, hahahaha jamaa unachekesha kweli, we don't have international currency, but kuna hard currencies ambazo tayari zishajijengea jina na zinakubalika worldwide Kama international currencies nazo ni USD, Euro, Pound na yen, sikatai kuwa yuani itakuja kuwa among hard currencies respected worldwide, ila bado anasafari ndefu ya kumtoa yen achana na babalao USD hapo asahau kabisa.
 
1) the comments natoa sio economical ni zile minimum knowledge, mtu anaelewa economics vizuri huu sio mjadala, so i am using the most minimum way kuelezea. Njia nnayotumia ukiona huelewi basi means uchumi hujui

2) ukiwa unatoa maelezo kama msomi lazima uwe unaambatanisha na documents ili mtu awe anafuatilia vizuri, hii inaonyesha umefanya research nzuri kabla ya kuongea, (very important)

3) Wacha uswahili, hakunaga note inabadilishwa kisa ina nukta ya kalamu, wala imekua chafu ila kuchakaa ndio, lakini haimaanishi kila sku trillion 1.3 znachakaa kwa sababu utegemezi wa physical cash ni kama umeisha, i think hujawahi kuja marekani, we use credit cards, ni nadra sana kutumia physical cash! na kama hujui ni kwamba 98% pesa sio karatasi ni zile namba za computer! karatasi ni 2% tu dunia nzima, so your point is really valueless, nakuona kama unafanya mada za vijiweni kwa comment zako

4) (naona umekuja na data nyingi za export ili uhalalishe kuwa yuan ina demand kubwa kuliko USD)
ofcourse china has more exports than usa that means china is more needed than us? mpaka hili unataka nkuelezeee? au hujui maaana ya exports? maaana yake bidhaa znazouzwa nje, inamaanisha nchi zingine znapokea kutoka china so wanawategemea! so they need yuan to trade with china, china ip kwenye mission ya kufuta reserve zake kwa gold na nmeshaelezea zaidi kwenye post za juu.

5) Huu mfano ni umelenga sana point zenu za supply and demand, na hua nmewaambia mara kibao supply and demand ni uongo mkubwa! so believe the rest,
 
Mchumi Kama wewe, wahitimu wa chuo ambao bado hawajaajiriwa unawainclude Kama products to be counted in GDP kwa kweli itanichukua miaka mia kukuelimisha ili uelewe ngoja nikabidhi kijiti kwa mwingine uendelee kupewa shule, Mimi nimetosha!
 
Back
Top Bottom