Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

Is it? But kipindi hiko Ukraine ikiwa under USSR. Baada ya muungano kuvunjika 1991 mradi ulirudi Russia.
Kutengeneza ndege sio rahisi kama kutengeneza kachori kwamba kila nchi inaweza. Vilaza wengine kama wachina na watz mtabaki kuwa wanunuzi tu.
 
Kutengeneza ndege sio rahisi kama kutengeneza kachori kwamba kila nchi inaweza. Vilaza wengine kama wachina na watz mtabaki kuwa wanunuzi tu.
Sijakuelewa! Kwamba Russia ni vilaza kutengeneza ndege kwao ni mtihani?
 
Enzi hizo tunaambiana kuwa Concord haitui nchini kwani Sauti yake nyumba zitabomoka nyingi sana.. Lile Dude lilikuwa na Sauti kubwa hatari japo lipo hewani mbali tena juu mno
 
Kwamba russia hana hiyo tech? Utakuwa umejiridhisha kweli kabla ya kufungua uzi??
 
Ilyushin Il-96 ni ndege ya mwisho ya Soviet Union.

Russia tangu kuvunjika kwa Soviet Union ndege waliyounda ni Sukhoi Superjet 100 ambayo ni level ya hizi Dreamliner zetu. Kwenye soko la kimataifa hakuna mwendawazimu anaweza nunua Sukhoi Superjet 100 labda kama anataka kufirisi kampuni na kuikosesha wateja.

Ndio maaba Superjet 100 inatumika Urusi tu wengine waliojichanganya kuzinunua waliziground bila kutimiza hata miaka miwili. Kampuni moja ya Mexico ilinunua SSJ 100 kama 20 ikafirisika.

Russia walikuwa washirikiane na China kutengeneza hii COMAC ila China iliona Russia haina cha kuchangia. Wakatafutwa Wafaransa na Wamarekani.

Canada ililazimika kuuza Bombardier. Ni gharama kubwa sana kuunda ndege alafu sasa ni biashara ambayo wateja hawakurupuki hata siku moja na wana mahesabu makali, yani hata uuze ndege nusu ya bei unaweza kosa mteja.
 
Ni ya UKRAINE πŸ‡ΊπŸ‡¦ MKUU
Antonov ni ya Russia sio Ukraine. Kiwanda kilihamishiwa Ukraine toka Russia wakati wa Soviet. Na Antonov alikuwa russian kama ilivyo kwa Sukhoi(Su) na Mikoyan(Mig) wote ni warusi.
 
Huu utoto huu, hivi shule zimefungwa basi tabu imeanza hapa JF.

Mtoto anaanzusha tu uzi akijiskia bila kufanya tafiti yeyote.

Analeta story za vijiweni.

Hizo nchi za China, Urusi anazijua vizuri au anazisikia tu?
 
Wewe ni mjuaji umeandika pumba jikite kny uzi
 
Zwazwa huyo atajulia wapi!?
Nimemshangaa sana kuandika kitu ambacho hana taarifa za kutosha.
UK, Russia wanatengeneza ndege, kwa sasa wameacha kutengeneza baadhi za abiria wengi.
China wamezindua juzi juzi tu ndege kubwa za abiria.
Hao wote bado wanatengeneza private jets na ndege za kivita na/au za mizigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…