Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

Kwa mujibu wa utekelezaji wa ilani, nasikia na sie tunakiwanda pale morogoro..
Hongera kwa sa100
 
Nadhani ndugu ward41 umeshajifunza kitu hapa kutokana na mada yako. Ushauri wa bure: Jitahidi sana kufanya utafiti kabla hujaleta mada hapa jukwaani- hasa mada za kitaalamu kama hii yako. Tena sasa hivi ni rahisi sana. Vitu vingi taarifa zake zinapatikana kwenye mitandao.
 
Ndugu mimi najuwa Russia, Japan, China wanatengeneza Vijindege. Point yangu ilikuwa kwanini anga la dunia limetawaliwa na Airbus, Boeing, embrear. Kwanini wa Brazil Wamefanikiwa kutengeneza na kuwin soko la dunia. Kwanini Russia, Japan, Korea Wameshindwa???
 
Soko kutawaliwa na airbus, boeing nk hayo ni mambo ya biashara sio uwezo wa teknolojia.
 
Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege.

Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi

Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch

View attachment 3156150
Urusi anatengeneza ndege za abiria soma Kwanza ndio u post
 
Screenshot_20241123-170024.png
Tanzania tu inazalisha ndege sembuse hao uliowataja!
 
Back
Top Bottom