Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

Kwa mujibu wa utekelezaji wa ilani, nasikia na sie tunakiwanda pale morogoro..
Hongera kwa sa100
 
Nadhani ndugu ward41 umeshajifunza kitu hapa kutokana na mada yako. Ushauri wa bure: Jitahidi sana kufanya utafiti kabla hujaleta mada hapa jukwaani- hasa mada za kitaalamu kama hii yako. Tena sasa hivi ni rahisi sana. Vitu vingi taarifa zake zinapatikana kwenye mitandao.
 
Ndugu mimi najuwa Russia, Japan, China wanatengeneza Vijindege. Point yangu ilikuwa kwanini anga la dunia limetawaliwa na Airbus, Boeing, embrear. Kwanini wa Brazil Wamefanikiwa kutengeneza na kuwin soko la dunia. Kwanini Russia, Japan, Korea Wameshindwa???
 
Soko kutawaliwa na airbus, boeing nk hayo ni mambo ya biashara sio uwezo wa teknolojia.
 
Urusi anatengeneza ndege za abiria soma Kwanza ndio u post
 
Tanzania tu inazalisha ndege sembuse hao uliowataja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…