GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We ndo umeongea
 
Kwl nchi hii ina vilaza mpk wanatisha
 
Issue ni mishahara, kumbuke mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya million 14.

Ccm hawajawahi kuwa serious na maisha ya Watanzania.

Anayefikiri hapo kuna issue ya reform wala siyo maana yake, haya majitu ni malafi hayana huruma na hatuwezi kuyaondowa kwa hiyari.
 
Kwani mkuu,Kwa miaka yote hali ipoje!!?

Linavunjwa siku kama hii ya leo au kulikoni!!?

Hebu funguka!!
  • Mwaka 2020 Bunge Lilivunjwa Tarehe 16-19/06/2020 na Uchaguzi Ukafanyika Mwaka 28/10/2020 (Magufuli alihutubia Tarehe 16 Na spika akawaaga wabunge tarehe 19)
  • Mwaka 2015 Bunge Lilivunjwa Tarehe 20/06/2015 (Kikwete Alihutubia Bunge na Kuvunja) Uchaguzi ukafanyika 25/10/2015)
  • Mwaka 2010, Bunge lilivunjwa 1 Agosti 2010, kwa Amri ya Rais (Presidential Order No. 272), ili kujiandaa na Uchaguzi wa Oktoba 31, 2010 .
Kwa Mujibu wa Katiba Bunge Linapovunjwa Ndo Hudetermine Tarehe ya Uchaguzi..

Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba:

"Rais atavunja Bunge ikiwa uchaguzi wa Rais au wa wabunge utafanywa ndani ya siku tisini baada ya kuvunjwa kwa Bunge..."
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
What leads you to this conclusion?
 
Kwahiyo ukihesabu siku 90 baada ya agosti tatu!means ni mwezi wa 11 ndio uchaguzi utafanyika au sio!!?

Ngoja tuone!!
 
NRNE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…