RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Ana chuki binafsi!!What leads you to this conclusion?
Marekebisho kidogo;Kwa Mujibu wa Katiba Bunge Linapovunjwa Ndo Hudetermine Tarehe ya Uchaguzi..
- Mwaka 2020 Bunge Lilivunjwa Tarehe 16-19/06/2020 na Uchaguzi Ukafanyika Mwaka 28/10/2020 (Magufuli alihutubia Tarehe 16 Na spika akawaaga wabunge tarehe 19)
- Mwaka 2015 Bunge Lilivunjwa Tarehe 20/06/2015 (Kikwete Alihutubia Bunge na Kuvunja) Uchaguzi ukafanyika 25/10/2015)
- Mwaka 2010, Bunge lilivunjwa 1 Agosti 2010, kwa Amri ya Rais (Presidential Order No. 272), ili kujiandaa na Uchaguzi wa Oktoba 31, 2010 .
Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba:
"Rais atavunja Bunge ikiwa uchaguzi wa Rais au wa wabunge utafanywa ndani ya siku tisini baada ya kuvunjwa kwa Bunge..."
Uingereza alisoma nini?Elimu ya katibu muhtasi nayo ni elimu na akaenda kusoma pale open yunivasiti kwa kutumi infuensi? hakuna elimu pale mjomba
TrueSamia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Mama yako amepata cheo gani ?Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Wacha na wao wale Mshahara wa July wenye nyongezaWanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Mfumo mbovu unaundwa na katiba. Kuondoa yote haya ni lazima katiba ifanyiwe marekebisho.Ana chuki binafsi!!
Tatizo sio samiah Wala ccm!mfumo lege lege kama huu uliopo una expose mind ya kiongozi Hadi inakua very low coz hawezi umiza kichwa na kuwa smart!yaani kiongozi anaweza Fanya lolote na asifanywe lolote!!
Tatizo ni hilo Wala sio ccm wala mtu!!Cha kusikitisha Kuna vyombo vimeulinda huo mfumo mbovu Kwa zaidi ya miaka 50!!hicho ndicho Mimi nasikitika ni kana kwamba wenye mfumo no maiti zisizowaza chochote kijacho bila kuona hatari yoyote!!
We akili yako imejaa kinyesi, Samia siyo km mamako aliyekunya siyo kuzaa
Inasemekana 2015 bunge lilisitishwa hadi September,hebu jiridhishe na hizo taarifa, halafu tupe sababuNanavyoelewa ni kwamba Leo ndio mwisho wa bunge la kawaida la 12. Rais anaona Kuna haja ya kuita ya bunge la dharura katika kipindi hicho hivyo. Kwa Sasa halipo kazini mpaka hapo watakapoitwa.
Mashauriano hayajafikia mwafaka kutamka rasmi watabaki kufanya nini
Hii inaweza kuwa ni dhana na hisia tu. Hawa jamaa wana malengo ya kuwaweka karibu wapinzani wao akina lukuvi, Mwigulu, Majaliwa, na wengine. Samia ana hofu ya kupokwa tiketi ya uraisNanavyoelewa ni kwamba Leo ndio mwisho wa bunge la kawaida la 12. Rais anaona Kuna haja ya kuita ya bunge la dharura katika kipindi hicho hivyo. Kwa Sasa halipo kazini mpaka hapo watakapoitwa.
Mashauriano hayajafikia mwafaka kutamka rasmi watabaki kufanya nini
Nikurekebishe Japo Sijaangalia Video Uliyotuma..Marekebisho kidogo;
Mwaka 2015 bunge lilivunjwa 9 july 2015, lakini lilibaki hai hadi 20 September 2015.
View: https://youtu.be/dkW6FslMJ2A?si=J_Q_S7Hc8LDidv8L
Angalia kuanzia Saa 2:34:55
Je mwaka huo uchaguzi ulisogezwa mbele??
Sio KweliInasemekana 2015 bunge lilisitishwa hadi September,hebu jiridhishe na hizo taarifa, halafu tupe sababu
Mambo ya UKAWA ni wakati wa bunge la katiba siyo bunge la bajetiHiyo Tarehe 09/7/2015 ndo siku UKAWA waliosusia Kuingia Bungeni na Kikwete Akaamua Kutoa Presidential Decree ya Kuvunja Bunge..
NimekuelewaNikurekebishe Japo Sijaangalia Video Uliyotuma..
Rais Alipohutubia Bunge alitangaza Presidential Decree ya Kuvunja Bunge Tarehe 20/08/2015 na Sio tarehe 20/09/2015..
Hiyo Tarehe 09/7/2015 ndo siku UKAWA waliosusia Kuingia Bungeni na Kikwete Akaamua Kutoa Presidential Decree ya Kuvunja Bunge..
Nimekwisha Kusema Kwa Kutoa Hoja Ya Kikatiba na Si Maneno TupuIbara ya 90(2) inasema:
"Baada ya kuvunjwa kwa Bunge, uchaguzi wa Rais na wabunge utafanyika ndani ya muda usiozidi siku tisini kutoka siku ya kuvunjwa kwa Bunge."
Tupe shule yake tafadhariUnamfikia kwa shule,au kwenye ukoo wenu kuna mtu anamfikia achilia mbali kumzidi?
Mzumbe university (IDM), manchester university,open universityTupe shule yake tafadhari
Ninapendekeza uiangalie kwanza video mkuu with due respect; baada ya kuona mchango wako kuwa Bunge lilikoma tarehe uliyoitaja niliamua kwenda kujiridhisha - records zinaonesha otherwise: no hard feelingsNikurekebishe Japo Sijaangalia Video Uliyotuma..
Rais Alipohutubia Bunge alitangaza Presidential Decree ya Kuvunja Bunge Tarehe 20/08/2015 na Sio tarehe 20/09/2015..
Hiyo Tarehe 09/7/2015 ndo siku UKAWA waliosusia Kuingia Bungeni na Kikwete Akaamua Kutoa Presidential Decree ya Kuvunja Bunge..
Nimekwisha Kusema Kwa Kutoa Hoja Ya Kikatiba na Si Maneno TupuIbara ya 90(2) inasema:
"Baada ya kuvunjwa kwa Bunge, uchaguzi wa Rais na wabunge utafanyika ndani ya muda usiozidi siku tisini kutoka siku ya kuvunjwa kwa Bunge."