GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nafikiri leo huna maswali tena.
 
Ok. Samia alifeli, ana vyeti fake, ana PhD za kichawa nk. Lakini haiondoi ukweli Dr. Samia Suluhu Hassan ndoye Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Hata umchukie vipi kamwe wewe, ukoo wenu na kijiji chenu kizima hamtokuja kufikia hata level ya Wanu au Abdul sikwambii Samia mwenyewe
 
hata tukifika then what?
 
Unateseka nini sasa kwa watu ambao sio level yako wala ukoo wenu mzima! Fanya yako, pambania familia yako itakuwa bora sana
kama hutaki akosolewe mwambie aachie nafasi ya uongozi wa umma, arudi kulima zabibu
 
kama hutaki akosolewe mwambie aachie nafasi ya uongozi wa umma, arudi kulima zabibu
Wewe ushamwambia sana, kakudharau na ndokwaaaanza anatanua wigo kwa kuingiza ndugu zake. Nishakushauri fanya yako, Samia sio level yako wala ukoo wenu au kijiji chenu nyoote na kamwe hamtokuja kumfikia. Eti aachie ngazi. We kama nani mpk akusikize zaidi ya kukupuuza tu
 
Kama hataki kuachia ngazi, ndo utuache sasa tumkosoe. Kama hanisikilizi mbona twitter kaniblock?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…