masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahaaha magu akiweka visasi sio sawa lakn Mungu akiweka visasi sawa binadamu kweli wanakatabia kakuvutia upande waowatakwambia mungu ..hapangiwi...yaani trilion 1.5 aibe jiwe halafu hukumu apew jesca like serious "" Mungu huyu Mungu gani aliyejaa visasi kama mzee wa chatle ..na bado watu wana mnyenyekea tu ..lakini mzee wa chatle alipoleta visasi vyake watu wamepga makelele mpaka basi
Wakati Caanan akilaaniwa..Baba yake alikua hai bado?..Angalia katika koo ama soma bandiko la laana za kifamilia... Unakuta waliofanya kosa ni wengine kabisa lakini taabu wanaipata mpaka kizazi cha tatu... Connection ya damu
Inawezekana kabisa mtu/ mtoto kuchukua laana ya baba au babu zake.Mada nzuri sana ila kwenye suala la laana kuna mkanganyiko mkubwa nafikir ilikuwa na laana ya pili baada ya ile ya kwanza kula tunda ata huyu Nuhu alikuwa na laaana sasa anawezaje kutoa laana mwenye laana?
NB:Mods naomba msihamishe mada hii kwenda jukwaa la dini sababu licha ya kuwa nimequote baadhi ya mistari ya vitabu vya dini ila uzi huu ni mtiririko wa mada zilezile nilizoanza humu JF intelligence kuhusu wanefili na wanadamu wa kale so mkihamisha mtaharibu mtiririko wa mijadala yangu kwa wanaofuatilia.... Ntashkuru kwa ushirikiano wenu
Cc JamiiForums Innovator Invisible Reserved
Ana mapepo pia, kama anaadhbibu kwa jazba.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu lawama na laani ni vitu tofauti sana. Waziri hawezi kuua mtu huko Iringa then Magufuli ndo akamatwe Mmmh!! hapana.
Haya maandiko ya Bible me yananivuruga sana Ukisoma Mwanzo 3:17 Mungu anailaani ardhi sababu ya Adamu sasa ardhi ilifanya kosa gani pale Eden?
Yoshua 7:24+ Akani alifanya dhambi ya kuiba aliteketezwa yeye na uko wake mzima hadi ng'ombe, punda, na vitu vyake vyote. sasa wao viumbe wengine walikosa nini wahusike kwenye adhabu ya Akani?
Sikumbuki ni kitabu gani but utanisaidia kama unakijua. kuna mtumishi mmoja wa Elisha Nabii alifanya kosa kumuomba zawani Naamani alieponywa ukoma na Elisha nabii. Huyo mtumishi alipatwa na ukoma yeye na ukoo mzima. sasa wao ndugu zake wengine walifanya kosa gani mpk wahusishwe kwenye adhabu ya huyo mtumishi?
Najiuliza Mungu yukoje? na anatumia kanuni, sheria, utaratibu gani kuadhibu watu vitu ambavyo hata havijahusika kuadhibiwa pasipo kosa?
umeona "" mkuu ""!?? halafu Mungu huyo huyo ametutaka tuwe tuna samehe 7×70 ""wakati yeye hilo limemshinda"". ..hatari sana hii"" hivi vitabu kwakweli vitazamwe upya...""Ahahaaha magu akiweka visasi sio sawa lakn Mungu akiweka visasi sawa binadamu kweli wanakatabia kakuvutia upande wao
haha hahaa hapo sasa ""? Maana katika ulimwengu wa sasa ulevi ni sifa mbaya "" lakini maandiko yanatuambia mlevi ametoa laana kwa mtu ambaye hajalewa na laana hiyo Mungu akaipokea ...hahaaa ....""" INA maana huyo Mungu atakuwa nimjinga kiasi gani "" ?? kiasi kwamba ashindwe kutambuwa kuwa tatizo lipo kwa mlevi " maana kama asingelewa " asinge kaa uchi " na wala HAM asingepata nafasi ya kumchungulia au "" kulala na mama yake kama baadhi ya wachangiaji wasemavyo """,....yaani kweli mtume wa Mungu alishindwa kutambua madhara ya pombe ni yapi " pindi atapo inywa ""!? mtume wa Mungu hana hata elimu/hekima ya kutambua athari za unywaji pombe ""? " ikiwa hata mtoto mdogo leo hii anajua madhara ya unywaji pombe ni yapi "" huyu mtume aliyeshindwa kujua madhara ya unywaji pombe "" ana sababu zipi za kuitwa mtume """?Hamna laana yeyote kwanini ioo laana Mungu akuigeuza apewe mlevi
ha ha haaaAna mapepo pia, kama anaadhbibu kwa jazba.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Okay nimekuelewa ila unaweza kutusaidia KWANNI MUNGU hufanya hivyo Yaani kutoa adhabu kwa vizazi sio mtu?? Embu tusaidie hapo na swali jingine kwanini ile laana isiende kwa watoto wengine wa Ham kma cush na put ila ielekezwe kwa canaan kma canaan na tunaona mbeleni anakuja kufutwa kizazi chake na wana wa yakobo..... Je kwanini canaan na sio watoto wengineInawezekana kabisa mtu/ mtoto kuchukua laana ya baba au babu zake.
Hilo liko wazi. Mungu anasema katika Amri zake
"Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao" kibiblia kizazi cha 3 na cha 4 ni miaka mia 3 kwa miaka mia 4.
Mifano:-
Daudi pamoja na kuwa alikuwa karibu sana na Mungu na alikuwa Mteule pia, alirithi roho ya uzinzi iliyoanza kumpata bibi yake na kisha mama yake....naye alikuja kuzini na mke wa Uria
Vilivile Ibrahim (Baba wa Imani) aliwahi kusema "UONGO" kule Misri kuwa mkewe ni dada yake ili asije kuuwawa na kisha mkewe kuolewa na mtu mwingine. Wakati huo yeye hauona kuwa ni dhambi na wala Mungu hakumhukumu straight away...
Lakini tunakuja kuona kuwa mtoto wake yaani Isaka naye alikuja kupata shida kwaajili ya uongo wakati wa kumbariki Yakobo badala ya Esau
Baadae tunaona pia Yusuphu alipata shida kutokana na uongo wa ndugu zake kusema kuwa amekufa kumbe haikuwa hivyo.
Samahani kwa kwenda nje ya mada ila nilitaka kujustify jinsi laana inayosababishwa na dhambi inavyoweza kuspread kizazi hata kizazi.
Hapa pia sielewi sababu wakati wa laan Ham na canaan wote walikuwepo ila laana ilienda kwa CANAAN peke yake ila watoto wengine wote wa HAM hawakuguswa na laana hiyo ndio maana najiuliza kama ni laana ya vizazi kwanini isianzie kwa baba ila inaanza kwa mtoto mmoja tu na sio watoto wengine wote wa baba huyo aliyefanya dhambiWakati Caanan akilaaniwa..Baba yake alikua hai bado?..
Kama alikua hai, Kwanini Laana isianze kwake na iendelee kwa kizazi chake?..
Pia.Hapa pia sielewi sababu wakati wa laan Ham na canaan wote walikuwepo ila laana ilienda kwa CANAAN peke yake ila watoto wengine wote wa HAM hawakuguswa na laana hiyo ndio maana najiuliza kama ni laana ya vizazi kwanini isianzie kwa baba ila inaanza kwa mtoto mmoja tu na sio watoto wengine wote wa baba huyo aliyefanya dhambi
Hatar sana laana ya mlevi nayo Mungu anaisikiliza kwa kweli alipaswa awe segereaPia.
Kama Nuhu alimpenda sana Ham mpaka kufikia kushindwa kumlaani kwa mahaba yake kwake..Akaamua kumlaani mjukuu..
Iweje.
Mungu aikubali kuipitisha hiyo laana iliyobebwa na Mahaba/Chuki ya kibinadamu?
Huwezi jua..Hatar sana laana ya mlevi nayo Mungu anaisikiliza kwa kweli alipaswa awe segerea
Basi waliishi wakati mzuri ndugu kama pombe ilikuwa ruksaHuwezi jua..
Labda katika hizo zama, Ulevi haukua haramu.
Kwahiyo mkuu inawezekana watu wakaenda motoni kwa kosa la mababu zao?Angalia katika koo ama soma bandiko la laana za kifamilia... Unakuta waliofanya kosa ni wengine kabisa lakini taabu wanaipata mpaka kizazi cha tatu... Connection ya damu
It make senseMkuu ambacho nataka kieleweke ni kwamba Nuhu kweli alilewa pamoja na mkewe alafu Ham kuona mama yake yupo kihasara akamuingilia hivyo hapo ndipo ALIFUNUA UCHI WA BABA YAKE hivyo wakifunika UCHI itakuwa kinyume chake labda walienda kumzuia HAM kuendelea kufanya kitendo hicho kwa Mama yao so kwakuzuia WAMEFUNIKA UCHI WA BABA YAO ndio maana wakabarikiwa
Najaribu kufikiri tu ngoja wataalam watakuja nisahihisha