Kwanini CCM imejitenga na msiba wa Profesa Sarungi??

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.

Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?
 
Huyu mzanzibari aanajifanya muumini wa 4R ni kwann chuki zake kwa Maria Sarungi anazielekeza kwa prof. Sarungi RIP?

Huyu mama asituletee utamaduni wa nchini kwao Zanzibar wa kwamba mtu akikosana na jirani yake hata msibani anasusa. 2025 huyu mama hatoboi kwa ubaguzi huu.
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
 
mbona sijaona viongozi wa chadema wakishiriki huu msiba nao wanachuki na sarungi? acha ujinga huo
 
20250307_134835.jpg

20250307_135141.jpg
 
Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.

Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?

Huyu mzanzibari aanajifanya muumini wa 4R ni kwann chuki zake kwa Maria Sarungi anazielekeza kwa prof. Sarungi RIP?

Huyu mama asituletee utamaduni wa nchini kwao Zanzibar wa kwamba mtu akikosana na jirani yake hata msibani anasusa. 2025 huyu mama hatoboi kwa ubaguzi huu.
Hivi kuna ushahidi imara kuwa hatuongozwi kwa remote?Mr Polepole aliwahi kufundisha kuhusu copy government ambapo wanaofanya maamuzi si wenye madaraka hayo.
Tumeona kwenye kusimikana kwao(siyo uchaguzi ule)jinsi remote ilivyoongoza shughuli ile kwa mabavu.
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Unataka kusema Akifa Karume Serikali haitahusika sababu Fatma na Balozi Ally Karume wanaipinga serikali? Tena familia ya Karume ina wapinga serikali wawili
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Kwahiyo Abdul ni rais wa Tanzania! Vichwa vya watu havirithiki.
 
Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.

Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?

Huyu mzanzibari aanajifanya muumini wa 4R ni kwann chuki zake kwa Maria Sarungi anazielekeza kwa prof. Sarungi RIP?

Huyu mama asituletee utamaduni wa nchini kwao Zanzibar wa kwamba mtu akikosana na jirani yake hata msibani anasusa. 2025 huyu mama hatoboi kwa ubaguzi huu.
Halafu watu wapo mwezi mtukufu. Yaani mama hata ka tweet tu hakuna. Watanganyika tunatakiwa kuungana pamoja kumuenzi mzee wetu . Wazanzibari hawako na sisi
 
Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.

Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?

Huyu mzanzibari aanajifanya muumini wa 4R ni kwann chuki zake kwa Maria Sarungi anazielekeza kwa prof. Sarungi RIP?

Huyu mama asituletee utamaduni wa nchini kwao Zanzibar wa kwamba mtu akikosana na jirani yake hata msibani anasusa. 2025 huyu mama hatoboi kwa ubaguzi huu.
MARIA ANAMPIGA SPANA sAMIA, VERY SIMPLE!
 
Back
Top Bottom