Pre GE2025 Kwanini CCM inalazimisha kuingiza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwenye Siasa? Je, inalipa? Chonde Chonde Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani JWTZ limegeuka kuwa jeshi la kwanza Afrika kugeuzwa kampuni ya kusafisha uchafu jijini ikiwamo vinyesi, kuzoa taka, kuzibua vyoo na maji taka. Nadhani ili kuongeza mapato wapewe na kandarasi kutuhudumia kwa pesa vyoo vyetu vikiziba maana CCM inataka kuwapa uzoefu.
Ukiona mtu anajisaidia mtaroni muache tuu usafi utafanyika kwa AMRI YA RC DAR

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Salaam

Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.
View attachment 2870873
Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi.

Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa. Lakini kuwatumia Wanajeshi ni kuwaonea.
View attachment 2870872
Hii itafanya Jeshi lijue Tanzania mambo yanaenda ovyo ovyo.

Je, Jeshi likifanya kazi Ovyo ovyo Samia atasalimika?

Tuwaache Jeshi letu la Wananchi lilinde mipaka yetu.
View attachment 2870871
Ni aibu kwa Serikali kuu kutumia Jeshi kuzima Siasa za chama Pinzani cha CCM.

UJINGA NI KUFIKIRI WANAJESHI WOTE NI CCM.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA HAWAJAFUNDISHWA SIASA. NI KWELI NI WATII NA WATATII MTAKACHOWAAMBIA LAKINI UTII WAO MSIUCHUKULIE KAMA NI WAOGA AU HAWANA UWEZO WAKIFANYA CHOCHOTE.
View attachment 2870867
Majukumu ya Msingi ya JWTZ

1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
View attachment 2870865
4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.

5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
View attachment 2870869
6. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
View attachment 2870868
7. Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
View attachment 2870866
Nawaomba Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi (Kamandi ya MMJ), Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Wanamaji, Jeshi la Kujenga Taifa, Kamandi ya Jeshi la Akiba. Msiingize watoto wetu kwenye huu Mchezo mchafu wa Uroho wa madaraka. Wanajeshi wamefundishwa Bunduki na Silaha za Kivita sio kuhangaika na Demokrasia ndani ya Nchi.

Asante

Nawaomba Wakubwa wa Komandi Mchukue mfanye kitu kwaajili ya wananchi sio wanasiasa. Sijawakataza kutomtii Amri Jeshi Mkuu ila wahusika wamshauri Huyu Mwenyekiti wa CCM
View attachment 2870870
ONYO: WATANZANIA TUHESHIMU NA KUENDELEA KULIAMINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
[/QUOTE

Hapo umenena ,Chalamila kapuyanga
 
Nanukuu kutoka kwa Major General XYZ .....Mimi na Mzee Yakubu . Lt general, tulikataa jeshi letu kunajisiwa na wana siasa tangu kipindi yupo mwendazake na tulimwambia pasina kificho. lakini Wakuu wangu wakatuona sisi ni wangengefu watata. Kwenda kustaafu na kuzibwa mdomo kwa kazi za kibalozi, lakini tulikua tunayona haya kwa upeo wa mbali...
Duh wakiona una misimamo wanakupa ubalozi 😀😀😀
 
Yaani JWTZ limegeuka kuwa jeshi la kwanza Afrika kugeuzwa kampuni ya kusafisha uchafu jijini ikiwamo vinyesi, kuzoa taka, kuzibua vyoo na maji taka. Nadhani ili kuongeza mapato wapewe na kandarasi kutuhudumia kwa pesa vyoo vyetu vikiziba maana CCM inataka kuwapa uzoefu.
Ukiona mtu anajisaidia mtaroni muache tuu usafi utafanyika kwa AMRI YA RC DAR

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Heshima ya JWTZ tunayoijua halafu inaagizwa na mwanasiasa kusafisha uchafu! Kwani kampuni binafsi zinazolipwa na serikali mfano Kajenjere nk haziwezi kusafisha?
 
Hii ikamewe kabisa kabisa tutababisha uvunjifu wa amani kisa tu kulinda maslahi ya makundi fulani. Wanasiasa washindane kisiasa na siyo kimabavu, Kwa mtanzania it doesn't make any difference Rais kuwa CCM ama upinzani we are all Tanzanians. Siwapendi CHADEMA lakini Haina maana hisia zangu ziwanyome haki zao za msingi
Why now?...

Jeshi kutumika kisiasa ndio kupoje ?....je ikitokea mwanajeshi akapewa Ukuu wa mkoa au eneo fulani la kiraia akiwa bado hajastaafu ndio kutumika kisiasa huko ?

JokaKuu zitto junior
 
Salaam

Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.
View attachment 2870873
Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi.

Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa. Lakini kuwatumia Wanajeshi ni kuwaonea.
View attachment 2870872
Hii itafanya Jeshi lijue Tanzania mambo yanaenda ovyo ovyo.

Je, Jeshi likifanya kazi Ovyo ovyo Samia atasalimika?

Tuwaache Jeshi letu la Wananchi lilinde mipaka yetu.
View attachment 2870871
Ni aibu kwa Serikali kuu kutumia Jeshi kuzima Siasa za chama Pinzani cha CCM.

UJINGA NI KUFIKIRI WANAJESHI WOTE NI CCM.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA HAWAJAFUNDISHWA SIASA. NI KWELI NI WATII NA WATATII MTAKACHOWAAMBIA LAKINI UTII WAO MSIUCHUKULIE KAMA NI WAOGA AU HAWANA UWEZO WAKIFANYA CHOCHOTE.
View attachment 2870867
Majukumu ya Msingi ya JWTZ

1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
View attachment 2870865
4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.

5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
View attachment 2870869
6. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
View attachment 2870868
7. Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
View attachment 2870866
Nawaomba Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi (Kamandi ya MMJ), Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Wanamaji, Jeshi la Kujenga Taifa, Kamandi ya Jeshi la Akiba. Msiingize watoto wetu kwenye huu Mchezo mchafu wa Uroho wa madaraka. Wanajeshi wamefundishwa Bunduki na Silaha za Kivita sio kuhangaika na Demokrasia ndani ya Nchi.

Asante

Nawaomba Wakubwa wa Komandi Mchukue mfanye kitu kwaajili ya wananchi sio wanasiasa. Sijawakataza kutomtii Amri Jeshi Mkuu ila wahusika wamshauri Huyu Mwenyekiti wa CCM
View attachment 2870870
ONYO: WATANZANIA TUHESHIMU NA KUENDELEA KULIAMINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Utatu mtakatifu wa CCM,NEC na vyombo vya usalama!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kati ya wote mliyochangia humu kuna ambaye amekusudia kweli kwenda kuandamana au wote tutafuatilia maandamano tukiwa JF?
 
Salaam

Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.
View attachment 2870873
Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi.

Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa. Lakini kuwatumia Wanajeshi ni kuwaonea.
View attachment 2870872
Hii itafanya Jeshi lijue Tanzania mambo yanaenda ovyo ovyo.

Je, Jeshi likifanya kazi Ovyo ovyo Samia atasalimika?

Tuwaache Jeshi letu la Wananchi lilinde mipaka yetu.
View attachment 2870871
Ni aibu kwa Serikali kuu kutumia Jeshi kuzima Siasa za chama Pinzani cha CCM.

UJINGA NI KUFIKIRI WANAJESHI WOTE NI CCM.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA HAWAJAFUNDISHWA SIASA. NI KWELI NI WATII NA WATATII MTAKACHOWAAMBIA LAKINI UTII WAO MSIUCHUKULIE KAMA NI WAOGA AU HAWANA UWEZO WAKIFANYA CHOCHOTE.
View attachment 2870867
Majukumu ya Msingi ya JWTZ

1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
View attachment 2870865
4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.

5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
View attachment 2870869
6. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
View attachment 2870868
7. Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
View attachment 2870866
Nawaomba Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi (Kamandi ya MMJ), Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Wanamaji, Jeshi la Kujenga Taifa, Kamandi ya Jeshi la Akiba. Msiingize watoto wetu kwenye huu Mchezo mchafu wa Uroho wa madaraka. Wanajeshi wamefundishwa Bunduki na Silaha za Kivita sio kuhangaika na Demokrasia ndani ya Nchi.

Asante

Nawaomba Wakubwa wa Komandi Mchukue mfanye kitu kwaajili ya wananchi sio wanasiasa. Sijawakataza kutomtii Amri Jeshi Mkuu ila wahusika wamshauri Huyu Mwenyekiti wa CCM
View attachment 2870870
ONYO: WATANZANIA TUHESHIMU NA KUENDELEA KULIAMINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Tatizo la bakabaka wetu nao hawana akili wataingia mtego kwakua hawajielewi sifa zimewajaa ila mwisho unakaribia kwenye picha walivyo serious utadhani kweli kumbe mandezi tu
 
Hii ikemewe kabisa kabisa tutasababisha uvunjifu wa amani kisa tu kulinda maslahi ya makundi fulani. Wanasiasa washindane kisiasa na siyo kimabavu, Kwa mtanzania it doesn't make any difference Rais kuwa CCM ama upinzani we are all Tanzanians. Siwapendi CHADEMA lakini haina maana hisia zangu ziwanyime haki zao za msingi
Aisee ccm imeonesha udhaifu wa wazi wazi.

Hata aibu sasa hawana tena.
 
Back
Top Bottom