Pre GE2025 Kwanini CCM inalazimisha kuingiza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwenye Siasa? Je, inalipa? Chonde Chonde Rais Samia

Pre GE2025 Kwanini CCM inalazimisha kuingiza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwenye Siasa? Je, inalipa? Chonde Chonde Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nanukuu kutoka kwa Major General XYZ .....Mimi na Mzee Yakubu . Lt general, tulikataa jeshi letu kunajisiwa na wana siasa tangu kipindi yupo mwendazake na tulimwambia pasina kificho. lakini Wakuu wangu wakatuona sisi ni wangengefu watata. Kwenda kustaafu na kuzibwa mdomo kwa kazi za kibalozi, lakini tulikua tunayona haya kwa upeo wa mbali...
Mejor general alionyeshwa kwamba kuna mbwa halafu kuna anayetunza mbwa.
Yeye hakuwa amejua nafasi yake kabla hajaamua kuongea.

ni ccm ndio iliyoamua afike cheo hicho,bila kujua akadhani kafika kwa kupigana vita nyingi😂😂
 
Back
Top Bottom