Nanukuu kutoka kwa Major General XYZ .....Mimi na Mzee Yakubu . Lt general, tulikataa jeshi letu kunajisiwa na wana siasa tangu kipindi yupo mwendazake na tulimwambia pasina kificho. lakini Wakuu wangu wakatuona sisi ni wangengefu watata. Kwenda kustaafu na kuzibwa mdomo kwa kazi za kibalozi, lakini tulikua tunayona haya kwa upeo wa mbali...