SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ila na wewe unakonipeleka siko kabisa, mimi ni Lake ZoneHahaha.... nimekuelewa bwashee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila na wewe unakonipeleka siko kabisa, mimi ni Lake ZoneHahaha.... nimekuelewa bwashee
Mbona ijumaa tunasali naye msikitini!Hata Jaji Mkuu wa Tanznia anaitwa Ibrahim HamisJuma ni Msabato
Mlete huyo mzanzibar mkiristo mwenye vigezo aliyekatwa jina kwa sababu ya Ukiristo wakeLets call a spade a spade.
Kilichofanyika ni upendeleo wa dhahiri.
Huwezi nilazimisha niamini hakuna mtanganyika mkristo mwenye sifa za kugombea nafasi ya mwenyekiti UVCCM Taifa katika watu milioni 60 waliopo Tanganyika.
Hao uliowataja wote hawawezi kwenda kinyume na matakwa ya mkubwa wao.
Kilichofanyika ni kibaya na kisirudiwe tena.
Tena umechelewa kweli kubomolewa, Mimi nasema uendelee kubomolewa tu maana hakuna namna!Tunabomoa mfumo Kristu,Kama Mwenyekiti na Makamu wake ni Waislamu,Kuna shida gani kuteua ndugu zao katika Imani.
Wala usiumize kichwa,View attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
Mwendazake aliunda baraza la mawaziri la zaidi ya watu 20 akaweka waislamu watatu tu. Na wakiristo wenzake wakamtetea eti hatuangalii dini ya mtu kwenye kuteua, bali tunateua wenye vigezo!Hakuna kiongozi alitisha kwa udini kama mwendazake,aliwajaza wakristo tupu nafasi nyeti zote.Waislamu walijaribu kuhoji wakaambiwa hawana elimu sasa ndugu zetu akina baba paroko mtulie nanyi vilevile hamjasoma, pelekeni watoto wenu shule.