kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tumetangazia maandamano twendeni tukapaze sauti!Tanzania yote kuanzia kwa wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji/Mitaa, madiwani, wabunge na Rais, kwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99) wanatokana na Chama cha Mapinduzi...