Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kuna mambo yanafikirisha mno na hakika MUNGU siku zote hakawii kumuonyesha mtu adui yake halisi.
Siku chache tu zilizopita CCM walikua mstari wa mbele kuwalaumu CHADEMA kuwa sio wasikivu, wamegoma kuonana na Rais Kwenye ule Mkutano fake, sijui blah blah kibao.
Jana Lissu kakutana na Samia, Watu wale wale wamegeuka Mbogo na kuanza kumsimanga Samia na CHADEMA, Kuna yule RAS wa Mbeya aliyenukuliwa Whatsapp alisema Samia amewakosea pakubwa Sana CCM.
Kwanza RAS sio cheo Cha kisiasa na hakutakiwa kuonyesha mahaba makubwa kiasi kile ila pia niliwaza kuwa CCM wangetoa statement kwa Mwenyekiti wao kufanya jambo la busara kwa mustakabali wa Taifa, kwa bahati mbaya sana, tangu jana ni matusi na kashfa dhidi ya Samia, Lissu na CHADEMA kiasi kwamba unaogopa...
Kuna Nini nyuma ya pazia kwa CCM dhidi ya dhihaka hizi kwa Samia, Lissu na CHADEMA?
Time will tell