Kwanini CCM wamechukizwa na kitendo cha Lissu na Samia kukutana?

Nani kachukizwa na kitendo cha upatanishi na kujenga umoja wa kitaifa?

Actually tumefurahi kuwa wale wapambe wa mwendazake ndani wa vyombo vya dola, walioitengeneza kesi feki ya ugaidi wameanza kuaibika hadharani.
CCM tumefurahia.
 
Mchawi hana sababu hata kdg, wenye roho za hivyo ndio mashetani yenyewe yakiwa na maumbo ya binadamu!
 
Nani kachukizwa na kitendo cha upatanishi na kujenga umoja wa kitaifa?

Actually tumefurahi kuwa wale wapambe wa mwendazake ndani wa vyombo vya dola, walioitengeneza kesi feki ya ugaidi wameanza kuaibika hadharani.
CCM tumefurahia.
CCM? Real?
 
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"
 
CCM wananufaika sn na migogoro ndani ya nchi
 
Kwahio?
 
Mama Samia fungua ukrasa mpya; jiwekee hazina mbinguni hili taifa lilikuwa linapelekwa siko, damu za watu zinalia kwa uchungu.

Hao wana CCM ishi nao ki akili, wengi ni wanafiki watupu.

Kwa hili nakuoongeza, mwanzo mzuri - kuanza upya si dhambi.
 
 
Wanavyotukana wanajitambulisha kwamba wao ni CCM?
 
Anayefurahia ugomvi wa wawili huyo ni shetani.
CCM washabiki wake wengi ni wafuasi wa shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…