Kwanini CCM wamechukizwa na kitendo cha Lissu na Samia kukutana?

Shetani hajawahi kumpenda maraika wa kheri
 
Ma ccm walio wengi ni wajinga kwani wanapigania kujaza matumbo yao tu.
 
Labda hawakubaliani na hoja zilizoshiba za Mh. Tundu Lissu kwa mama. Watake wastake, kafiba mpya ni lazima, tume huru ya uchaguzi ni lazima na 2025 tunakwenda na Mh. Tundu Lissu.
Haya maneno yako ni sumu kwa waramba miguu wa lumumba.
 
Chawa wa ccm wanatumia ile mbinu ya wagawanye ili uwatawale kirahisi.
 
Jana Lissu kakutana na Samia, Watu wale wale wamegeuka Mbogo na kuanza kumsimanga Samia na CHADEMA, Kuna yule RAS wa Mbeya aliyenukuliwa Whatsapp alisema Samia amewakosea pakubwa Sana CCM.
Maadui wakubwa wa nchi hii ni baadhi wana ccm wenye vyeo na madaraka makubwa lkn hawana elimu serikalini.
 
Wanaogopa kumwaga ulaji waliouzoea.
 
uwezo wa akikiccm wengi unaishia jinsi ya kujinufaisha ama kwa vyeo au chumvi na tshirts sio maendeleo na mustakabali wa taifa na watu wake.
 
Mama Samia fungua ukrasa mpya; jiwekee hazina mbinguni hili taifa lilikuwa linapelekwa siko, damu za watu zinalia kwa uchungu.

Hao wana CCM ishi nao ki akili, wengi ni wanafiki watupu.

Kwa hili nakuoongeza, mwanzo mzuri - kuanza upya si dhambi.
 
Ras gani huyo? Kama kweli hadi sasa anafanya nini ofisini?

Kwani mtu akiwa Tiss ndio nini?
 
Wahamie burundi
 
Ccm wapo happy

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wamenuna sababu wanahangaika kupiga propaganda kuwa Lisu anatumiwa na mabeberu wakati mama anaonyesha Lisu ni hazina ya taifa.
 
Jana Lissu kakutana na Samia, Watu wale wale wamegeuka Mbogo na kuanza kumsimanga Samia na CHADEMA, Kuna yule RAS wa Mbeya aliyenukuliwa Whatsapp alisema Samia amewakosea pakubwa Sana CCM.
Wengi kati ya wale waliopata nafasi kibabe wana hofu kuwa kurudi katika mazingira huru itakwa shida. Hivyo wangependa rais aendeleze ubabe na wao waendelee kula. Mama asiwahofie hao walafii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…