Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hizo ni services.... Kiswahili kina misamiati michache mpaka polisi eti ni Jeshi..Polisi, Magareza, TISS , uhamiaji, zimamoto sio majeshi
Hahaha hiyo defence force ni,au akina nani,nini,wauza mitumba?Bongo hatuna Army/Military, tuna defence forces tu
[emoji1660][emoji1660][emoji1660][emoji1660][emoji1660]Hahaha hiyo defence force ni,au akina nani,nini,wauza mitumba?
Jeshi ni nini?Hizo ni services.... Kiswahili kina misamiati michache mpaka polisi eti ni Jeshi..
Katiba mpya inatakiwa ku-adrees hilo..
Jeshi ni moja tuu... JWTZ
Wewe ndio wasema kidogo sana ila nikwambie linatumika pakubwa sana.Umeliweka vizuri sana!
JESHI linatumika kwa nadra sana tofuti na vile vikosi
Ni lini Hili Jeshi letu ulikotaja Kwa pamoja hapa Tanzania watarusha kifaa kwenda mwezini??Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
MAJESHI; hakuna wengine wanaotumia neno hilo zaidi ya JWTZ. Hakuna majeshi ya polisi, wala ya magereza, wala ya UHAMIAJI; it's only and only JWTZ.Kwanini wasimalizie mkuu wa majeshi ya ulinzi? Kama ilivyo CDF?
CDF - Chief of Defense Forces, maana yake ni Mkuu wa Majeshi ya ulinzi. Kwa asili tunayo majeshi ya ulinzi ya aina tatu; jeshi la ulinzi la nchi kavu ambalo pia lina commands zake, jeshi la ulinzi la anga na commands zake na jsehi la ulinzi la maji na commands zake. Pia kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia kuna aina mpya ya jeshi inayotoa ulinzi wa mifumo ya mawasiliano ya nchi.Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Immigration ina dili vipi raia na mali zake?CDF - Chief of Defense Forces, maana yake ni Mkuu wa Majeshi ya ulinzi. Kwa asili tunayo majeshi ya ulinzi ya aina tatu; jeshi la ulinzi la nchi kavu ambalo pia lina commands zake, jeshi la ulinzi la anga na commands zake na jsehi la ulinzi la maji na commands zake. Pia kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia kuna aina mpya ya jeshi inayotoa ulinzi wa mifumo ya mawasiliano ya nchi.
Majeshi ya polisi, magereza, uhamiaji, wanyamapori n.k siyo ya ulinzi wa nchi bali raia na mali zake, hifadhi za wanyama n.k. Kwa kifupi yanashughulika na maswala ya ndani ya nchi.
MAONI YANGU.
Umeuliza kwa lengo la kujifunza au kuonesha kuwa unao uelewa kuliko maoni yangu?! Kumbuka maoni yanaweza kupingwa kwa maoni. Asante kwa mchango.Immigration ina dili vipi raia na mali zake?
Jeshi ni nini?
Kwa maoni yako: Coastal guard ni nini? Ni jesh au sio?
kumbuka America wana Navy.
Kesheria jeshi ni moja tu. Ni jeshi la wananchiNimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Siki moja alipita Jwtz ni private wa kawaida hana cheo kabisa akapishana na Maofisa magereza wama Nyota 2 wale nadhanii hakuwapigia salute wala nini kapita mkavuu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa walianza kujiongelesha yani hawa Jw wanajiona wao ndo wao kama huyu katupita bila hata kubana mikono acha salute..Watu wengi hawajui JW ni akina nani,TISS ni akina nani,Magereza ni akina nani,Uhamiaji na akina nani,yaani wapowapo,utadhani haya mambo yamejificha sana,siwezi kushangaa kuona mtu anajiunga kwenye majeshi,akiwa na mawazo ya kizamani.
Kutojua vitu vingi,muda mwingine ndo kunafanya baadhi ya watu,wanakua na msongo wa mawazo.
Defence force ni nini?Tanzania tuna defence force tu, sio army Wala military.
Kuna kiwango maalumu Cha kikundi Cha askari kuitwa Army au Military sifa ambayo Tz hatuna shubaamiti.
Jeshi ni moja , JWTZ, au TPDF.Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Huwa hatumalii...anaitwa mkuu wa majeshi la wananchi na kujenga taifa..(jkt)Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Unajua hii sio app ya chumbani, once ukiandika maoni kwenye public forum Ina maana upo tayari kuwa criticized, challenged na kupongezwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umeuliza kwa lengo la kujifunza au kuonesha kuwa unao uelewa kuliko maoni yangu?! Kumbuka maoni yanaweza kupingwa kwa maoni. Asante kwa mchango.
Tutajie hiyo sheria[emoji16][emoji16][emoji16]Kesheria jeshi ni moja tu. Ni jeshi la wananchi
Mengine ni paramilitaries kama police, uhamiaji, maliasil
[emoji23]Hao akina wambura na mzee ni wanamgambo kama wale wa taliban.
MAJESHI; hakuna wengine wanaotumia neno hilo zaidi ya JWTZ. Hakuna majeshi ya polisi, wala ya magereza, wala ya UHAMIAJI; it's only and only JWTZ.
Do you know the meaning of verbosity? Using too many words unnecessarily for something which is clear with a few words. Verbosity is something to avoid not to entertain.
Sijui Mkuu ila mwanajeshi ina-apply kwa JWTZ while askari ni kwa wote. Sio kila askari ni mwanajeshi.Hivi kuna tofauti gani kati ya askari na mwanajeshi? Huwa nasikia wengine wanaita askari wa jeshi la... kwa nini hawasemi mwanajeshi au polisi tu?!