johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza CHADEMA wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!