Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

Maccm hawana hati miliki ya Nchi wala yeyote yule hana haki miliki. Tuliwaona akina Mubarak wa Misri na jeshi lenye nguvu kuliko lolote lile Afrika lakini siku Wananchi wa kule walipa sema sasa basi LIWALO NA LIWE jeshi halikufua dafu.
Hivyo kwa huu udhalimu na dhuluma zinazoendelea nchini huku cake ya Taifa ikitafunwa na wajanja wachache huku mamilioni yakiishi katika umaskini wa kutisha basi nyie endeleeni tu kuvimbisha vichwa vyenu na kudhani mna hati miliki ya Tanzania.
Na ndio maana kamwe hamtaletewa katiba mpya kwenye sahani!
 
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.

Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.

Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?

Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Una akili timamu kweli wewe Mzee Mgaya? Hivi unajua nini kinaendelea sasa hivi huko kanda ya Kaskazini? Uwe unajiridha kwanza na vyanzo vyako vya taarifa.
 
Maccm hawana hati miliki ya Nchi wala yeyote yule hana haki miliki. Tuliwaona akina Mubarak wa Misri na jeshi lenye nguvu kuliko lolote lile Afrika lakini siku Wananchi wa kule walipa sema sasa basi LIWALO NA LIWE jeshi halikufua dafu.
Hivyo kwa huu udhalimu na dhuluma zinazoendelea nchini huku cake ya Taifa ikitafunwa na wajanja wachache huku mamilioni yakiishi katika umaskini wa kutisha basi nyie endeleeni tu kuvimbisha vichwa vyenu na kudhani mna hati miliki ya Tanzania.
Watanzania ni binadamu wa kipekee hapa Duniani.

CCM itatawala hadi itakapochoka yenyewe!
 
Kwani huu uchaguzi mdogo huko Kigoma hawakushiriki kwa sababu gani?
 
Hawana fedha za kampeni!
Kuna mawili, hujafanya utafiti au unajitoa ufahamu

1622057605810.png
 
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.

Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.

Ndio nauliza CHADEMA wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?

Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Bwashee hapa umeongea ukweli mtupu
Washauri wachaga wenzako.
 
Back
Top Bottom