johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wameidai wapi?Kwani ni lini CHADEMA waliacha kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
Likitoka tusi jipya namba D nitalitumia kwako kabla ya kwa mtu yeyote!Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Huyo mleta uzi ni zaidi ya poyoyo tuLikitoka tusi jipya namba D nitalitumia kwako kabla ya kwa mtu yeyote!
Ni mara ngapi Chadema wanazungumzia katiba mpya we pimbi?
Ubongo mdogo kuliko wa samaki, haujai hata kijiko.
Huyo alipotoka tangu tumboni kwa mama yake maana hajawahi kuchangia jambo jema juu ya mustakabali wa nchi yetu.Ama umepotoka au umepotoshwa na waliokutuma
Atakuwa kampenda kaka wa Chadema, ngoja atiwe mimba akili itamkaa sawa, eti kwanini Chadema hawadai katiba na tume huru ya uchaguzi, johnthebaptist akadai mama yako, maana naye ni mdanganyika kama weweWewe chumia tumbo wa lumumba kwani ukidai wewe kuna ubaya gani?
Umuhimu wa cdm ndiyo umeanza kuuona leo hii?
Mbona huulizi kwanini ACT na CUF au TADEA ?
Umemaliza kaziAtakuwa kampenda kaka wa Chadema, ngoja atiwe mimba akili itamkaa sawa, eti kwanini Chadema hawadai katiba na tume huru ya uchaguzi, johnthebaptist akadai mama yako, maana naye ni mdanganyika kama wewe
Bwashee huu ni wimbo wao mda mref sana na ww binafsi unajua, labda tu useme kwann wanadai katiba mpya na tume huru wakiwa maofisini mwaoNilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanadai kupitia jf na twitter!Wameidai wapi?
Kamuulize mwendazake ilikuwaje walipokutana nae pale KirumbaWameidai wapi?
Hivi mkuu CCM walikufanyaga nini ?? Nakujua ulikuwa CCM kindakindaki.Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Mpaka akili ziwakae sawa sijui ni lini. Unajua kama kuna mtu amekuweka kwenye pua zake, hifadhi yako ni ndani ya pua zake, akikupenga iko shida kubwa, akili inavurugika. Kufa kwa Jiwe ni kuwa mmepengwa kutoka kwenye pua zake . Ona unayoandika sasa! kma vile huna akili kabisa. CDM isidai katiba? tume huru? johnthebaptist mmepengwa kweli kweli! Salary SlipNilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Vilaza hao achanana nao!!Mpaka akili ziwakae sawa sijui ni lini. Unajua kama kuna mtu amekuweka kwenye pua zake, hifadhi yako ni ndani ya pua zake, akikupenga iko shida kubwa, akili inavurugika. Kufa kwa Jiwe ni kuwa mmepengwa kutoka kwenye pua zake . Ona unayoandika sasa! kma vile huna akili kabisa. CDM isidai katiba? tume huru? johnthebaptist mmepengwa kweli kweli! Salary Slip
Wewe chumia tumbo wa lumumba kwani ukidai wewe kuna ubaya gani?
Umuhimu wa cdm ndiyo umeanza kuuona leo hii?
Mbona huulizi kwanini ACT na CUF au TADEA ?
Hili na mimi limezidi kunishangaza, nilitegemea waje na mitazamo mipana zaidi kuliko kuishia kupambana na kina mama 19......chama kikongwe kama chadema bado kinafanya siasa za matukio?Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.