Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

Wameidai wapi?
Bwashe hiyo kitu anadaiwagwa nani? Kwanini huyo mtu aliyepaswa kutoa hiyo katiba mpya hajatoaga hadi leo? Sasa atatoa ktka mazingira gani? Mbinu ya kudai ni ipi? Kwenda mahakamani au mikutano hadhara? Achana na propaganda mfu huku ukijua wewe ndo una mitutu na mahakama!
 
Comrade unataka kuwasikia wakidai wakiwa wapi?
 
Ila we jamaa sijui ni mtu jamii au type gani?! Yaani huwa unajaziba tuuuuu katika comments zako, huwa sikuelewi sijui wewe wa wapi?! Jaribu kuwa unavumilia mawazo ya wenzio hata kwa kukaa kimya!
Huwezi na haitatokea upate uwezo wa kunipangia nini nifanye.
Wapangie ndugu zako siyo mimi.
 
Ila we jamaa sijui ni mtu jamii au type gani?! Yaani huwa unajaziba tuuuuu katika comments zako, huwa sikuelewi sijui wewe wa wapi?! Jaribu kuwa unavumilia mawazo ya wenzio hata kwa kukaa kimya!
Na siyo lazima usome comments zangu ikiwa hazikupendezi
 
Ukiacha tu kunywa dawa zako Bwashee basi unaandika upuuzi mwanzo mwisho! Kwanini hupendi kumeza dawa zako na hivyo kulifanya dishi lako liyumbe kiasi hiki!? 😳
 
Ukiacha tu kunywa dawa zako Bwashee basi unaandika upuuzi mwanzo mwisho! Kwanini hupendi kumeza dawa zako na hivyo kulifanya dishi lako liyumbe kiasi hiki!? 😳
Sasa mlitaka Prof Kabudi awaletee katiba mpya pale Ufipa?
 
Hili na mimi limezidi kunishangaza, nilitegemea waje na mitazamo mipana zaidi kuliko kuishia kupambana na kina mama 19......chama kikongwe kama chadema bado kinafanya siasa za matukio?
Chadema ni bure kabisa!

Bwashee ukisoma kitabu cha mzee Mwinyi utagundua kuwa mpinzani ni lazima uwe na uhafifu wa akili.
 
Ila we jamaa sijui ni mtu jamii au type gani?! Yaani huwa unajaziba tuuuuu katika comments zako, huwa sikuelewi sijui wewe wa wapi?! Jaribu kuwa unavumilia mawazo ya wenzio hata kwa kukaa kimya!
Huyo ni mkimbizi kutoka Msumbiji!
 
Chadema wananufaika na katiba iliyoko siyo bure!

Chadema ni CCM B
 
Kunywa dawa zako kabla hujaanza kuongea mwenyewe barabarani na kuokota makopo Bwashee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa mlitaka Prof Kabudi awaletee katiba mpya pale Ufipa?
 
Mahakamani ndio kuna katiba mpya bwashee?
 
Kwani katiba mpya inawahusu chadema tu?wewe haikuhusu acha ujinga wa akili kijana
 
Nimekudharau kuazia leo
 
Huwezi na haitatokea upate uwezo wa kunipangia nini nifanye.
Wapangie ndugu zako siyo mimi.

Ndo jaziba nazokweleza uachane nazo, jifunze somo la Saikolojia litakusaidia mkuu! Mimi sina uwezo wa kukupangia lolote ila naeza kukupa ushauri Na ni hiyari yako kuupokea au kuukataa.
 
Kunywa dawa zako kabla hujaanza kuongea mwenyewe barabarani na kuokota makopo Bwashee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni bora tukajua tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja kuliko kuwa na upinzani wa kisanii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…