Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

[emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha mnachekesha sana aisee!

Mtu anawashauri cha kufanya wewe unakuja na jiwe. Huyu jiwe inaonekana aliwavuruga sana nyie watu ndio sababu sasa hivi mmeamua kuiunga mkono ccm ya Samia. Na 2025 tunategemea mtakuwa nasi pamoja kumpigia kampeni mama yetu
 
Na sasa wamejiingiza kichwakichwa kwa mzee wa msoga waliyemuita dhaifu.

Lazima awashughulikie kisayansi!
 
Hahahahahahaha upinzani wa kisanii hauwezi kukuogopesha kuwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi Bwashee! Muziki wa Chadema pale Lumumba wanaujua. Eti Chadema ilishajifia chuma chetu kimeimaliza Chadema 🤣🤣🤣🤣🤣 meza dawa Bwashee acha longo longo!
Ni bora tukajua tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja kuliko kuwa na upinzani wa kisanii!
 
Kwani katiba mpya inawahusu chadema tu?wewe haikuhusu acha ujinga wa akili kijana
Yeye ni ccm na haoni umuhimu wa katiba maana iliyopo inawatosha. Sasa ameshauri nyie bavicha mnaosema ina mapungufu
 
Mzee baba we unaitaka kwani?

Ova
 
Chadema hii inayodhibitiwa na Daktari Mahera peke yake na kusambaratika?!!
 
Thubutuni kuweka Katiba mpya ya rasimu ya Tume ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi hapo ndiyo mtakwenda kaburini na kupotea kabisa katika anga za kisiasa nchini. Chadema imo mioyoni mwa Watanzania. Chadema si chama cha hovyo hovyo kama ACT wasaliti au ADC.

Chadema hii inayodhibitiwa na Daktari Mahera peke yake na kusambaratika?!!
 
Sawa mzee mgaya
Hahahaaaa........!

Mwenyekiti wa NEC anateuliwa na mwenyekiti wa CCM.

Mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na mwenyekiti wa CCM.

Wasimamizi wote wa uchaguzi anateuliwa na mwenyekiti wa CCM

Msajili wa vyama vya siasa anateuliwa na mwenyekiti wa CCM

Sasa kuna upinzani hapo?
 
Na ndio maana kamwe hamtaletewa katiba mpya kwenye sahani!
 
Kwa sasa tupo na mama bega kwa bega... Hebu mtuache maana hata nyinyi mlitusumbua sana kipindi cha chifu wenu
 

we jamaa umeokoka ? khee hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…