Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Nadhani ameandika kinyume chake. Si unakumbuka tukiwa primary unapewa neno na mwalimu wa kiinglish anasema andika kinyume cha maneno fulani fulaniAma umepotoka au umepotoshwa na waliokutuma
Ahsante bwashee!we jamaa umeokoka ? khee hongera
Na ndio maana kamwe hamtaletewa katiba mpya kwenye sahani!
Una akili timamu kweli wewe Mzee Mgaya? Hivi unajua nini kinaendelea sasa hivi huko kanda ya Kaskazini? Uwe unajiridha kwanza na vyanzo vyako vya taarifa.Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Watanzania ni binadamu wa kipekee hapa Duniani.Maccm hawana hati miliki ya Nchi wala yeyote yule hana haki miliki. Tuliwaona akina Mubarak wa Misri na jeshi lenye nguvu kuliko lolote lile Afrika lakini siku Wananchi wa kule walipa sema sasa basi LIWALO NA LIWE jeshi halikufua dafu.
Hivyo kwa huu udhalimu na dhuluma zinazoendelea nchini huku cake ya Taifa ikitafunwa na wajanja wachache huku mamilioni yakiishi katika umaskini wa kutisha basi nyie endeleeni tu kuvimbisha vichwa vyenu na kudhani mna hati miliki ya Tanzania.
Kwenye vikao vya ndani?!Una akili timamu kweli wewe Mzee Mgaya? Hivi unajua nini kinaendelea sasa hivi huko kanda ya Kaskazini? Uwe unajiridha kwanza na vyanzo vyako vya taarifa.
Kwani agenda zinaaziaga kwenye vikao vya ulevini? Utakua umeacha kunywa dawa zako wewe.Kwenye vikao vya ndani?!
Watanzania ni binadamu wa kipekee hapa Duniani.
CCM itatawala hadi itakapochoka yenyewe!
Wewe unaamini kuna siku Chadema itatawala nchi hii?Kwa UFINYU wako wa akili.
Wewe unaamini kuna siku Chadema itatawala nchi hii?
Ahsante bwashee!
Ukumbuke Jaji mkuu ni Propesa bwashe! Haya mambo yenu ya sheria hana habari nayo.Mahakamani ndio kuna katiba mpya bwashee?
Hawana fedha za kampeni!Kwani huu uchaguzi mdogo huko Kigoma hawakushiriki kwa sababu gani?
Kuna mawili, hujafanya utafiti au unajitoa ufahamuHawana fedha za kampeni!
Bwashee hapa umeongea ukweli mtupuNilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza CHADEMA wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?
Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Chadema hawana fedha za kampeni!
Hawa wamachame hawaelewagi kabisa bwashee!Bwashee hapa umeongea ukweli mtupu
Washauri wachaga wenzako.