Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

Je unafikiri ni CHADEMA tu ndiyo yenye jukumu la kudai katiba mpya na Time guru ya uchaguzi? Mbona kuna na vyama vingine kaka, au vyenyewe jukumu lao ni lipi?
 
Chadema ni bure kabisa!

Bwashee ukisoma kitabu cha mzee Mwinyi utagundua kuwa mpinzani ni lazima uwe na uhafifu wa akili.

Aisee. Sasa mbona unapoteza muda na nguvu kwa jambo usilo na imani nalo? Btw, CHADEMA hawana monopoly ya upinzani wala mzee Mwinyi sio authority wa upinzani. Hata wewe unaweza kuwa.
 
Tujenge kwanza utamaduni wa kuheshimu katiba iliyopo kabla ya kufanya chochote kwa vile hata ile mpya itahitaji kuheshimika. Vinginevyo ni upotevu wa raslimali fedha kuanzisha kitu kipya wakati kilichopo kinahitaji kuheshimika.
 
yule iblis mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…