Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

TLS huu ukubwa wanaojinadi nao ni ukubwa gani? ni watu hawana impact yoyote kwa watu hebu waweke tu hapa vitu vitatu labda waliwahi kufanya vikaleta tija kwa watu. Kimekuwa ni kikundi cha kujificha kuendesha agenda ya kikundi fulani hakuna jingine.
 
Hakuna eneo ambalo CDM haina ushawishi. Kama unataka kuwa na uhakika na nilichoandika wekeni tume huru ya uchaguzi ambayo si ya CCM uone kama saa 3 na nusu asubuhi itafika kabla mtu hajala mweleka majimbo karibia yote plus urais na Miata/vijiji
 
Mbowe ni msomi wa taaluma gani? Au ninayoyasikia kuwa ni DJ yanaukweli?
Hata u dj no usomi kwani we unaelewa usomi kama Nini!!?vyeti pekee havitoshi kuitwa msomi Bali influence Yako kwa jamii ndio usomi wa kweli!!

Usomi wa vyeti ambavyo havionekani kwenye uhalisia vinafanya nini huo sio usomi Bali kumiliki karatasi za matokeo!
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Acha kuizushia TLS uongo kuwa imetekwa na Chadema.

JokaKuu zitto junior
 
Kwa mujibu wa jibu lako hili Hamorapa ni msomi 😀 😀 😀
 
Kwa nini inataka wakurugenzi wa halmashauri tu ndio wasimamie uchaguzi? Kwa nini tume huru imekuwa kigugumizi??
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
CHADEMA ni chama cha wapenda haki na TLS kinatetea haki za raia. Ndio maana vyama hivi viwili vina unasaba wa karibu.
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Francis Stola, Edward Hosea na Fatma Karume walikuwa ni CCM
 
Salute mingi sana Mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…