Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Moja ya sababu ni mawakili wengi mashuhuri miaka ya 1992 walijiungana siasa za upinzani mfano marehemu Dr. Lamwai, wakina Marando Srn. na wengineo.

Kwakuwa chadema ilikuja kuwa mbadala wa NCCR Mageuzi basi ikaenda na kizazi cha kina Lisu hadi sasa kumekuwa na mvuto kwa mawakili wengi hasa vijana kuzigeukia siasa za upinzani.

Ni kautamaduni tu kakutaka tuonekane
 

Mkuu CCM upande wa vijijini na Wanawake Huwezi ishinda, hao ndîo wapiga Kura WA CCM.
Kwèñye upande wa Ubunge Kwa Baadhi ya maeneo yanayoelewa Dunia ipowapo na Wapi inaenda NI Sawa ccm haitafurukuta lakini hayo maeneo Hapa nchini hata Robo hayafiki.
 

Kada ya Sheria kwèñye ûtawala na siasa ndîo Nguzo kuu inayoratibu mambo mengine.
Sheria ndîo ûtawala.

Hizo Kada ñyiñgine NI nyeti lakini siô kwèñye Ûtawala.

Rais na Dola wàpo pale Kwa sababu ya Sheria.
Hakuna nchi au Taífa Bila Sheria ila Taífa linaweza kuwepo pasipo Baadhi ya Taaluma

Ndîo maana Taaluma nyingi zimezuka juzijuzi tuu
 

Anhaaa!
Vizuri
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Kinachoishikilia CCM ni ujinga wa watu na nguvu ya dola tu! Watu wengi nchini ni wajinga mno na huko ndio CCM hufanikiwa. Pia watu wengi hata kama hawaipendi CCM hulazimishwa kwa fedha au kutishiwa kufukuzwa kazi au biashara zao kufungwa kama hawaisapoti CCM.

Lakini penye mazingira huru na uelewa kama TLS basi CCM hawana nguvu na CDM huwa washindi.
 

Unamaoni gàni kuhusu mustakabali na athari za wanasheria kutokuwa upande sa Chama kinachounda serikali yàani CCM?
Je kûna uhûsiano wowote na kushindwa Kwa serikali katika Baadhi ya Kesi za ndàni na kimataifa?
 

Unàtaka kusema Wanasheria hawaogopi vitisho vya CCM?
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Siyo ushawishi tu bali ni ukweli usiopingika iko siku hii nchi itatawaliwa na wanasheria.
 
Yaani watu 4,000 wa TLS wawe na uamuzi wa watu zaidi ya 65m?
TLS ipo na wanachama zaidi ya 12,000

Wale waliopiga kura hapo ni wale waliolipiwa nauli na NGO.
Kwakuwa Mawakili hawana source ya income ya uhakika!! More than 80% ni maskini wa kutupwa

Mawakili hawanatofauti na wasanii wa bongo flava kwenye kipato
 
Kama pamoja na mawakili kulipiwa nauli lakini bado wakamchagua Mwambukusi asiyependwa na serkali basi ni hatua nzuri.
 
Ni kawaida ya chadema kuwa na ushawishi hasa inapotokea sintofahamu ila tatizo hawana consistency baada ya tukio kupita nguvu ya ushawishi huwa inakua haipo, Arusha 2010-15 kwanzia wazee hadi wajukuu ilikua ni chadema ila kwa sasa ile nguvu waliyokua nayo hawana tena
 

Mbona wabunge, Mawaziri, Rais hawafiki hawafiki elfu Tano na wanaamulia Watu 65M?
 
Wale walio huru hawaogopi, wale walioajiriwa na serikali huogopa vitisho vya CCM lakini hao private advocates hawaogopi CCM kwani ni vigumu kwa CCM kuwatarget.
Lakini tumeona hata wale walioajiriwa na serikali wanajiamini kuliko watumishi wa kada zingine na wana uwezo wa kutetea wanachokiamini nenda kwa walimu sasa ni waoga wanaogopa hata maveo
 
Kama pamoja na mawakili kulipiwa nauli lakini bado wakamchagua Mwambukusi asiyependwa na serkali basi ni hatua nzuri.
Unajibu vitu bila hata ya kuelewa ujajibu nini. Ngoja nikuelimishe.

1. Wakili hana source ya income ya uhakika. Anachotegemea ni huo muhuri aliokabidhiwa ale kupitia huo. Umekubali hili

2. NGOs Nyingi ambazo zipo against na Serikali zilitoa pesa kwaajili ya kuwasafirisha mawakili na kuwapatia posho. Ushahidi tunao. Hii ni kwasababu mawakili ni maskini wa kutupwa

3. TLS ipo na Wanachama zaidi ya 12,000 waliopiga kura hawafiki hata 4,000 huoni kuwa TLS ni chama mfu?

4. TLS haina nguvu kama inavyopigiwa kelele CWT ipo na sustainable income na assets kuliko TLS.

5. Wakili hana tofauti na msanii wa bongo flava. Njaa ni kali sana.
 

NI kwèli Kabisa. Kutokuwa na consistency ndàni ya CHADEMA kunakotokana na sababu mbalimbali kumeifanya CHADEMA íwe inapoteza Imani Kwa wananchi.
2015 mambo meñgi ndàni ya CHADEMA yalibadilika hasa Sera Yao ya kupigana kufa kupona na ufisadi.

Kununuliwa na kununulika Kwa Baadhi ya viongozi wa CHADEMA kumepoteza mpaka Ile akiba ndogo ya matumaini ya wananchi wengi.

Wananchi wengi Hawana Imani na CHADEMA. Hawajui NI nani Kesho atahamia CCM, unamwamini Kafulila na Msigwa Kesho kutwa unasikia wamekimbia Chama.
Haishangazi ukiamka Kesho ukasikia Lema, au Lisu, au Heche au Mbowe amehamia CCM.

CHADEMA wanayohaja ya kuliangalia hili
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.

Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…