Kwanini CHADEMA wamemtelekeza Tundu Lissu Gerezani?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti.

Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani mpaka sasa kisayansi alitakiwa awe ameaga dunia kwa kutokula chakula kwa siku nane mfululizo.

Ni utapeli huu ndiyo ulisababisha watanzania wakauawa katika machafuko ya 2025 na sasa hata mashabiki na wanachama wao wanaonekana kuchoshwa kwani kumekua na majibu ya kejeli John Mnyika alipouambia umma kuwa wamuunge Mkono Tundu Lissu kutokula wengi waliona John Mnyika kama Tapeli na Kachanganyikiwa.

Je, Tundu Lissu baada ya kufungwa na Kuachiwa kwa rufaa ataanzisha Chama Chake cha Siasa?
 
Ulitaka na wao waende kwa bwana jela na kukuomba wafungwe pamoja na lisu?
 
Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani mpaka sasa kisayansi alitakiwa awe ameaga dunia kwa kutokula chakula kwa siku nane mfululizo.

Sayansi ya wapi hiyo amaboyo mtu anakufa kwa kutokula kwa siku 8.....!!?

Inaelekea wewe hujawahi kufunga.
 
Sayansi ya wapi hiyo amaboyo mtu anakufa kwa kutokula kwa siku 8.....!!?

Inaelekea wewe hujawahi kufunga.
Ona ulivyo kilaza Kufunga tunakula Daku na Kufuturu , Elewa kutokula siyo Kufunga
 
Declare interest zako kwanza kuwa wewe una chuki na Chadema
 
Wewe ni Fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…