Jizi na lipendwa rushwa limepostWanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?
Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?
Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?
Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?
Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?
Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒

jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman na itapendeza zaidi,Onyesha Uzi wako wowote unaokemea mauaji au ufisadi ndani ya CCM
Unaota kibanzi kwenye jicho la mwenzako, wakati lako Lina boriti ndani yakeWanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?
Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?
Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?
Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Jizi na lipenda rushwa jingine limepostWaliowapa jina la 'nyumbu' waliona mbali sana!
Wewe ni lini ulikemea ufisadi, wizi, utekaji, na maovu lukuki ndani ya Mbogamboga??Kwanini Chadema wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?
kwahiyo gentleman,Huu ndio ufisadi wa kukemewa
Nyinyi ccm nilini mliwahi kukemea ufisadi unaofanyika kwa mujibu wa ripoti ya CAG?Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?
Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?
Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?
Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ushamkimbizaOnyesha Uzi wako wowote unaokemea mauaji au ufisadi ndani ya CCM
Nyie mnao tawala mmeaminiwa na nani?kwahiyo gentleman,
tuhuma za ufisadi ndani ya chadema iwe funika kombe mwanaharamu apite right?
sasa kama ni hivyo,
wataaminika kweli kwa wananchi, ikiwa ufisadi kwao ni funika kombe mwanaharamu apite?
Maneno ya Jakaya nayakumbuka snaa kuwa ndani ya ccm hawaachiani glass mezaniMachawa mnahangaika kama nguruwe yupo mwezini anataka kupandwa......
Pambaneni huko kwenye chama chenu moto unawaka.... bosi na msaidizi wake hawakai chungu kimoja