Kwanini CHADEMA wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Inashangaza ila hili jambo litawatafuna hapo baadae

Wanajenga msingi mbovu sana.
Kweli Nyani haoni kundule, yaani mafisadi,majizi,majangili yalivyojazana mbogamboga I leo mnapata wapi ujasili wa kuhoji mambo ya cdm?
 
hiyo ungeiandikia uzi maalumu jukwaani ingemake sense sana gentleman.

why chadema wanaona aibu kukemea ufisadi kwa maoni yako huru gentleman?, usiogope sema tu
Kwa fedha gani zilizopo cdm?
 
Unaota kibanzi kwenye jicho la mwenzako, wakati lako Lina boriti ndani yake
EPA, Escrow,Bwawa la mwalimu Nyerere,Kolimba mkamkolimba(Rip), Wewe nawe!
Gentleman,
nenda moja kwa moja kutoa maoni yako dhidi ya hoja mahususi mezani kabla hujaeleza porojo zingine ingependeza zaidi
 
Machawa mnahangaika kama nguruwe yupo mwezini anataka kupandwa......

Pambaneni huko kwenye chama chenu moto unawaka.... bosi na msaidizi wake hawakai chungu kimoja
Gentleman,
huna haja ya kuweweseka mbona rahisi tu?

jikite kwenye kutoa maoni yako huru bila mihemko dhidi ya hoja mahususi mezani kabla ya kutoa makasiriko yako jukwaani na itapendeza zaidi nadhani
 
kwahiyo gentleman,
tuhuma za ufisadi ndani ya chadema iwe funika kombe mwanaharamu apite right?

sasa kama ni hivyo,
wataaminika kweli kwa wananchi, ikiwa ufisadi kwao ni funika kombe mwanaharamu apite?

Ufisadi kwa ela gani?

Hawana ruzuku
Hawana misaada

Sasa ufisadi wa kitu gani?

Labda ufisadi wa kuuza kombati
 
Kweli Nyani haoni kundule, yaani mafisadi,majizi,majangili yalivyojazana mbogamboga I leo mnapata wapi ujasili wa kuhoji mambo ya cdm?
Mtakuja kupigwa na itawauma ila kutokana na misingi mibovu mtashindwa kuwajibishana.
 
Kwa fedha gani zilizopo cdm?
kwani alizofisidi anaetuhumiwa ni kiasi gani gentleman?

maana mpaka viongozi wanavuliwa uongozi kwasababu wamejaribu kuhoji ufisadi huo kuna kitu kikubwa kimeliwa hapo
 
Ufisadi kwa ela gani?

Hawana ruzuku
Hawana misaada

Sasa ufisadi wa kitu gani?

Labda ufisadi wa kuuza kombati
kwanini sasa viongozi waliohoji huo ufisadi ndani ya chadema wanavuliwa uongozi ikiwa ni pesa kidogo tu zimeliwa na anaetuhumiwa?
 
Gentleman,
nenda moja kwa moja kutoa maoni yako dhidi ya hoja mahususi mezani kabla hujaeleza porojo zingine ingependeza zaidi
Manake wote wameoza, mboga mboga ndie kinara,uliko Wewe tlahtlah na Mwashambwa,Dr wa manesi,Samia again2025nk,Acha tonetone washing, Heche na TAL na chedema ndio habari ya mjini na vijijini, mboga mboga imebaki,zilipendwa!
 
kwani alizofisidi anaetuhumiwa ni kiasi gani gentleman?

maana mpaka viongozi wanavuliwa uongozi kwasababu wamejaribu kuhoji ufisadi huo kuna kitu kikubwa kimeliwa hapo
Tunahitaji kwanza mtupatie mrejesho wa ripoti ya CAG
 
Jua limezama,CCM hawaamini
Shule za Kata walianzisha,vijana wameelimika,
Vyuo vikuu wamefika, Ajira Hakuna
Wamehamia CHADEMA vijana Serikali inawaita Magaidi!
Vyuo wamemaliza,wamehamia CHADEMA!
Mikopo Kwa vijana imetangazwa,Hakuna kijana aliyenufaika,wameishiwa kuwa bodaboda na kuwapa cheo fake,eti Afisa ushafirishaji!Kaa Kwa kutumia tlahtlah!
 
kwanini sasa viongozi waliohoji huo ufisadi ndani ya chadema wanavuliwa uongozi ikiwa ni pesa kidogo tu zimeliwa na anaetuhumiwa?

Kuvuliwa uongozi ni jambo la kawaida tu, ujasikia kikao cha nec cha jana kimeondoka na mzee mongela?
 
Kuna hoja gani hapa zaidi ya upumbavu unaandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…