King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kama una ushahidi peleka ofisi ya katibu mkuu bwashee.Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?
Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?
Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?
Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu samahani naomba hati chafu za Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali aliyotoa dhidi ya Chadema.Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa?
Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na ya familia yake?
Au chadema wanapenda viongozi mafisadi na kwamba hao ndio majasiri?
Kwanini viongozi wa chadema taifa wanaona haya na wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?
Watawezaje sasa kuaminika na kuungwa mkono na wananchi hali ya kua wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya chama chao?π
Mungu Ibariki Tanzania
embu andikia uzi maalumu jukwaani na itapendeza zaidi ndugu mdau wa JF.Mkuu samahani naomba hati chafu za Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali aliyotoa dhidi ya Chadema.
Gentleman,Kuna hoja gani hapa zaidi ya upumbavu unaandika hapa
mbona January 2025 heche na lisu walikemea pesa chafu kuingizwa chadema hq na hawakufukuzwa na katibu mkuu alikua huyu huyu?Kuvuliwa uongozi ni jambo la kawaida tu, ujasikia kikao cha nec cha jana kimeondoka na mzee mongela?
Siasa za kupenyeza mamuluki kwenye vyama pinzani nafikiri ni siasa ambazo zimepitwa na wakati au kununua watu kwenye vyama vya upinzani hizi ni Siasa za zamani mbona hatuoni wananchi kulalamikia chadema zaidi ya propaganda maviGentleman,
kuna viongozi wa chadema wa wilaya mbalimbali walifutwa kazi kwa kukemea ufisadi ndani ya chadema,
Je, hii inamaanisha,
ukali wa viongozi wa chadema taifa uko katika kuwashughulikia wanao kemea ufisadi ndani ya chadema na mafisadi wenyewe?
mbona January 2025 heche na lisu walikemea pesa chafu kuingizwa chadema hq na hawakufukuzwa na katibu mkuu alikua huyu huyu?
leo 2026 kimebadilika nini kwa viongozi wengine wa chadema kukemea ufisadi chadema hq na mara moja kufutwa kazi?
hizo ni porojo gentleman, january 2025 nani alikua jela ?2025 walikuwa na boss mwenye tuhuma za ugaidi, na alikaa jela kwa kesi ya aina hiyo,
So no wonder ugaidi wake ulikuwa wa kuingiza pesa chafu
Ndio maana hata serikali walimkamata
So yes by then
Ila kwa sasa chadema hawana hiyo ela
Hzo waliandikiwa scripts na Habibu Mchange ambaye ni KILAZA kabisa ,alisema kwamba Mnyika mwaka 2015 aliacha kugombea ubunge kisa tu Lowassa alikaribishwa CDM.unadhani wale viongozi wa chadema walifutwa uongozini baada ya kujaribu kukeme ufisadi wa viongozi wakuu hawana ushahidi gentleman?
hizo ni porojo gentleman, january 2025 nani alikua jela ?
kwahiyo Lema na Sugu walipowapeleka marafiki zao kwa makamu mwenyekiti wa chadema ili kuwasilisha mamilioni ya michango yao kwajili ya chadema kupitia makamu mwenyekiti ilikua ni script?Hzo waliandikiwa scripts na Habibu Mchange ambaye ni KILAZA kabisa ,alisema kwamba Mnyika mwaka 2015 aliacha kugombea ubunge kisa tu Lowassa alikaribishwa CDM.
alikua Mbowe π
hiyo ungeiandikia uzi mahususi jukwaani ingependeza zaidi gentleman bila kuhamisha mjadala uliopo π
ufisadi ni ufisadi tu gentleman hakunaga haja ya kutafuta namna ya kupooza ufisadi na kujaribu kuutakatifuza π