Kwanini CHADEMA wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

Hizo ni porojo tu ,wao wenyewe walishakanusha hayo madai ,ni porojo za kwenu huko Lumumba.
 
Hao uliowataja kwa majina kwamba walienda kuwasilisha michango kwa makamu as if wao hawajui taratibu.
hayupo miongoni mwao aliethubutu kunyanyua kinywa chake na kunung'unika, kukanusha au kuonyesha tu kua aliichangia chadema kupitia makamu mwenyewekiti wa chama hicho.

kazi ya kufualia ikiwa michango yao imefika chadema ni ya lema na sugu.full stop 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…