WellChadema ni chama makini na mahiri.
Wamepitia machungu mengi na hili ndilo limewapa krediti kuwa pamoja na mateso na vifungo bado wako imara.
Kuhusu vyama vingine ccm haiwezi kuwapa umuhimu sawa na chadema kwasababu wana ndimi mbili.
ACT hawakljulikani wanasimamia nini.
Mbatia alianza usaliti enzi za jiwe.
Cuf tayari waneanza na kampeni Samia ashinde.
CCM ni kama shetani.
Shetani huwa hapambani na wenye dhambi anajua ni watumishi wake bali hupambana na watakatifu na wacha Mungu.
Mshana Jr jr
Mpaka mwezi uliopita Chadema ilikuwa na zaidi ya Wanachama mil 12 , hii ni kwa mujibu wa Chadema digitalchama kikuu cha upizani. Beatrice chama gani kina wanachama zaidi laki moja Tanzania? CUF?, ACT?, Chauma? It is only Chadema with a few millions.
habari njema. Erythrocyte , jaribu kutafuta namna ya kumjibu Slaa maana hili lizee linaonekana kuota mapembe. Mjibuni kama chama kieleweke. FACTS!Mpaka mwezi uliopita Chadema ilikuwa na zaidi ya Wanachama mil 12 , hii ni kwa mujibu wa Chadema digital
Yule apewe chumba ikuluKwani toka Mama amepata Urais Zitto ameenda Ikulu mala ngapi?
Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Akienda Zitto msaliti, Lipumba msaliti ila akienda Mbowe na Mnyika wao ni wapinzani wa maana?
Hii siasa ya wapinzani wa CCM ni ya kipumbavu sijawai kuona akili na mawazo yao ni kuitwa Ikulu tu
Hata CUF ya Lipumba wameenda ikulu wenyewe, hakuwepo wakujichomeka.Hao wengine sio wapinzani ni wenzao wanaojivika upinzani.
Tuliwambia siku ya kukutana na Rais hakuna mtu mwingine atajichomeka mkabisha.
Chadema ndio kiboko yao.
Chama la watu
Sawa kabisaUamuzi wa busara wa Mh.Rais kuzungumza na Wapinzani wake ni Muhimu sana kwa maslahi ya Nchi na wananchi wake
Mahusiano mema ya Mh.Jakaya na Chadema yalisaidia sana utawala wake kuwa rahisi na kumaliza kwa mafanikio
Mh.Mbowe na Chadema yote wanatambua Siasa za masikilizano huimarisha sana chadema kuliko Siasa za nginja nginja
Wahafidhina wa uliokuwa utawala wa kifashist wa shetani mwendazake hampendi kusikia hii.Ikulu kuna juisi na chai
Akienda Zitto msaliti, Lipumba msaliti ila akienda Mbowe na Mnyika wao ni wapinzani wa maana?
Hii siasa ya wapinzani wa CCM ni ya kipumbavu sijawai kuona akili na mawazo yao ni kuitwa Ikulu tu
ACT wako na chama tawala kwa misingi inayotia shaka sana. Mwaka 2005 CUF ilifanya vizuri sana kwenye uchaguzi na kupata kura takriban 800,000 ukanda wa pwani. Mwaka 2010 kura hizo zilihamia ccm katika mazingira ya kutatanisha. Kwa sehemu kubwa hiyo CUF ndiyo imegeuka kuwa ACT na mikakati hiyo tata inaendelea kushamiri. Angalau hivi karibuni NCCR baada ya kushuhudia ni kwa kiasi gani watawala wako tayari kuumiza wanasiasa wa ushindani amejaribu kujirudi na kuungana na Chadema. Hata hivyo yaliyotokea juzi ni dalili kuwa watawala hawalali.Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Zitto anajulikana ni kibaraka tangu enzi za JK. Huyo lipumba ndio kabisa alitumika na ccm kuigawa cuf mpaka maalim na wafuasi wake hasa Zbar wakaamua kuanua tanga na kuhamia kwa Act.Akienda Zitto msaliti, Lipumba msaliti ila akienda Mbowe na Mnyika wao ni wapinzani wa maana?
Hii siasa ya wapinzani wa CCM ni ya kipumbavu sijawai kuona akili na mawazo yao ni kuitwa Ikulu tu