Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Legacy ipi?Endelaa kulinda ligase ya diktata uchwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Legacy ipi?Endelaa kulinda ligase ya diktata uchwara
SahihiUkweli ni kwamba bila CHADEMA hakuna jambo la kisiasa hapa Tanzania litakuwa halali.
Walipoanza kukutana kwenye "semina" zao, wakaanza kupiga madongo eti "wamesusa sisi twala", wenzao wanajua nini wanafanya.
Kwa ufupi CHADEMA wamekataa kuwekwa kundi moja na vibaraka.
Baada ya wadau lukuki wa kimataifa kuibana Tanzania katika nyanja mbalimbali, sasa serikali imeona umuhimu wa wapinzani wa kweli kushirikishwa, na sasa tunaona CHADEMA wakiitwa Ikulu kusaidia mustakhabali wa nchi
TOKA MAKTABA :
25 April 2022
TANZANIA KUPIMWA , HIVYO TUME YA UMOJA WA MATAIFA (UN) HAKI ZA BINADAMU YATUA TANZANIA
Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya UN yatua nchini; hiki ndio wanachofanya kufuatilia ahadi ilizotoa Tanzania, pia serikali yabanwa na UN kuwa iwe wazi waTanzania wafahamu serikali yao iliridhia nini ktk masuala 252 iliyosaini na kuikubali kwa niaba ya wananchi
Timu ya umoja wa mataifa inayoshughulikia Haki za Binaadamu na utawala bora imekuja nchini kujadiliana na Tume ya Haki za Binaadamu na utawala bora juu ya masuala mbalimbali yanayohusu haki za binaadamu ikiwemo haki za binaadamu katika wananchi kufahamishwa ni mikataba gani inayohusu haki za binadamu iliyoridhiwa na serikali ya Tanzania iliyoridhia huko Geneva Uswisi Ofisi za Kamishina wa UN wa Haki za Binadamu kama anavyotueleza Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora Nchini Tanzania Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic Review of Saint Vincent and the Grenadines, Papua New Guinea, Tajikistan and Tanzania
🤣🤣🤣kweliBw Mbowe amesema kuwa: "kauli za rais, Mama Samia Suluhu Hassan zinatuchanganya na anapaswa kulijua hili. Anapoongea nia yake ya kuenzi sera, mipango na tabia ya Magufuli, taifa linasinyaa na kuhuzunika
Mangula alikuwa katikati ya washamba wa madaraka... Asingeweza kushauri chochote. Alipojaribu alipewa nyongo ya mamba!!Kinana ana mapungufu lakini ana utu. Sio sawa na Mangula
Duuh. Naskia Nyongo ya Mamba ikimwagwa kwenye Bahari Samaki wote kwishney.Mangula alikuwa katikati ya washamba wa madaraka... Asingeweza kushauri chochote. Alipojaribu alipewa nyongo ya mamba!!
basi ni a few millions...8m Ni few
Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Pona pona yake ni utaalamu wa kule anakotoka... Angeimbiwa parapanda!Duuh. Naskia Nyongo ya Mamba ikimwagwa kwenye Bahari Samaki wote kwishney.
Kuna wajinga wanazipigia debe. Siasa za kubomoleana majengo ya biashara, kuharibiana mashamba, kupigana risasi, kuwekana magerezani kwa kesi uchwara, zilikuwa ni uwendawazimu kama ule wa makaburu dhidi ya weusi kule Afrika Kusini.Ukweli mtupu. Zile siasa za huko nyuma ni hayawani tu anaweza kuzifurahia. Dunia tunapita tutende yanayofaidisha jamii
Huenda walikula njama kwa pamoja kunaniliu kisha wanajifanyia tathimini wenyewe kwanza katika mafanikio kabla ya kukaribisha wageni baada ya mechi kuisha....whenever you spare your rod, you definitely spoil the child from toddler stage to maturity level.Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Vitaungana vyote pale muda wa HAKI na KWELI itakaposhika hatamu, Si vyama vidogo vya upinzani pekee, Bali hata CCM itaficha makucha. Na AMANI itatawala. AmenChadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Siasa sio lazima kupinga hovyo na kuandamana kila kukicha, ustaarabu na busara ndivyo vinavyoziongoza siasa makini zenye muelekeo mwema kwa nchi.Sasa kwa mfano CUF unaweza kukiita chama cha kisiasa tena cha upinzani hali mwenyekiti wake Lipumba anampa mbinu za ushindi mwenyekiti wa chama tawala!? Na wanachama na viingozi wenzake wako kimya tu hawasemi lolote kweli utaamini hicho ni chama cha siasa? Chama kinachoongozwa na Profesa kimekata tamaa kiasi cha mwenyekiti wake kukipa mbinu za ushindi chama shindani kwake hii haiingii akilini kukiita chama cha upinzani. Kwa sasa japo mimi si mwanachama wa chama chochote ninaona only CDM ndo chama kinachopigania kushika dola baada ya CCM. Vingine havijajiandaa kushika dola na vimekata tamaa hata kupigania mazingira bora na ya usawa kisiasa ili viweze kukua.
Zito anaumia sanaChadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Mawazo ya kawaida sana hayo ya huyo muungwana, anawaza kwamba mwanasiasa makini wa upinzani ni yule mwepesi wa kupinga na kususa.Comment makini sana hii. Wewe ni great thinker mkuu[emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Mtajuana wenyewe bwana. Sisi watanzania wa kawaida hayatuhusu.Huenda walikula njama kwa pamoja kunaniliu kisha wanajifanyia tathimini wenyewe kwanza katika mafanikio kabla ya kukaribisha wageni baada ya mechi kuisha....whenever you spare your rod, you definitely spoil the child from toddler stage to maturity level.
Mashambulizi aliyokuwa akikabiliwa JPM wakati wa uhai wake kwa kutumia taarifa sahihi za ndani zilitoka kwa waliomzunguka mwenyewe ama alikuwa anajua au alipumbazwa na utii feki waliouonesha kwake huku wakimtafuna idogo kidogo ila kwa kasi sana kama kansa (cancer is a silent killer disease)
Any politician is a number one adverse criminal killing his own people with the pretext of empathy!!!
Sahihi ndio maana tulishangaa awamu iliyopita ukiwa mpinzani basi ulistahili kutoishi.Mawazo ya kawaida sana hayo ya huyo muungwana, anawaza kwamba mwanasiasa makini wa upinzani ni yule mwepesi wa kupinga na kususa.
Tunakubaliana kutokukubaliana hiyo ni sifa ya chama makini cha siasa, kutofautiana kwetu ndio nguvu yetu inapokuwa.