Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hayo mambo ya Sukuma Gang na Msoga Gang ni vita yenu wenyewe huko CCM msitake kuihusisha Chadema kwenye maujinga yenu. Tuliwaambia mkishamaliza wapinzani mtaanza kuumana wenyewe kwa wenyeweDunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.
Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang...
Wewe hata mumeo akishindwa kukufikisha kileleni lawama kwa Chadema.Hebu angalia huku. Wanaoeneza suala hili ni wafuasi wa CHADEMA. hawa watu wana nini jamani?
View attachment 2486055
View attachment 2486060
Jiandaeni KUFUNGASHA huko Majimboni wenyewe WANARUDIDunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.
Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang...
Wengi wanoshabikia ubaguzi huu ni wafuasi au wakeleketwa wa CHADEMA. Je, wanataka kutugawa watanzania?
Ona hapa chini Wote hawa ni wafuasi wa CHADEMA. Hivi ni kwanini?
View attachment 2486046
Uliwakusanya CHADEMA wote wakakuita mwana sukuma gang?Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.
Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang...
Hoja hamna.Sasa mmeamua kuja kimgongomgongo!Tunaumia sana ninyi CHADEMA mnapotaka kutugawa watanzania
View attachment 2486075
Kwahiyo wasukuma hawapo Mwanza? Kwanini uwatukane wasukuma?Naona unaongea na kujijibu mwenyewe. Sukuma gang sio kabila kama wañaccm mliochoka mnavyotaka tuamini. Sukuma gang ni viongozi wote walioshirikiana na Magufuli kufanyia wapinzani wao wa kisiasa ukatili wa wazi. Wengi wa viongozi hao waliojinasibu na ukatilili wa Magufuli walikuwa ni kutoka kanda ya ziwa, na walashiriki uovu ule katika kile kinachoitwa ni zamu yetu kula nchi. Kwahiyo usitake kuchanganya watu wa kanda ya ziwa, na kundi haramu la sukuma gang lililokuwa chini ya Magufuli.