Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Hautafanikiwa kwa kuwagawa watanzania kikabila. Mnatakiwa mtueleze kwanini mnawaita kanda ya ziwa Sukuma Gang?
Wote hawa hapa ni wafuasi wa CHADEMA

View attachment 2486112

Wenzako wameshakimbia hapa jukwaani ,naona ww umekuja kujaribu kuleta propaganda mfu ukutegemea utamtisha mtu. Pita na kipaza sauti hapo Mwanza waambie huu utoto wako, lakini jumamosi utafurahia show.
 
Boss unajichanganya na mimi nini?
Tuwe waungwana,

Tuwe mfano kuhakikisha ushawishi wetu unawaleta Watanzania pamoja.

Kwani tukiamua kuacha a na siasa za makundi ya kikabila, ukanda au udini itatugharimu nini?

CCM na CDM waache mambo hayo.

Ndugu TINDO naamini tunaweza kuacha siasa hizi.
 
Wenzako wameshakimbia hapa jukwaani ,naona ww umekuja kujaribu kuleta propaganda mfu ukutegemea utamtisha mtu. Pita na kipaza sauti hapo Mwanza waambie huu utoto wako, lakini jumamosi utafurahia show.
Wenzangu akina nani? Nimekuuliza kwanini ninyi CHADEMA mnawagawa watanzania kikabila?
1674040201912.png
 
Kanda ya ziwa gani ww kenge jike, hiyo kanda ya ziwa CDM watapiga show, na kundi haramu la sukuma gang wataendelea kupewa kubwa yao. Hutaki jinyonge.
Je, Sukuma maana yake ni nini hapa Tanzania?
 
Wenzako wameshakimbia hapa jukwaani ,naona ww umekuja kujaribu kuleta propaganda mfu ukutegemea utamtisha mtu. Pita na kipaza sauti hapo Mwanza waambie huu utoto wako, lakini jumamosi utafurahia show.
Maandalizi ya mkutano yanaendelea vizuri mza,

Kuna info za kuaminika kuwa mkutano wa huko mza utafana.
 
Kanda ya ziwa gani ww kenge jike, hiyo kanda ya ziwa CDM watapiga show, na kundi haramu la sukuma gang wataendelea kupewa kubwa yao. Hutaki jinyonge.
Ukinipatia maana ya Sukuma kisha nitakuuliza maana ya gang.

The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population.
 
Tunaumiwa sana sisi kanda ya ziwa kutukana na kusakamwa kila kukicha na CHADEMA. Kwani sisi kanda ya ziwa siyo watanzania?

1674040601875.png
 
Tuwe waungwana,

Tuwe mfano kuhakikisha ushawishi wetu unawaleta Watanzania pamoja.

Kwani tukiamua kuacha a na siasa za makundi ya kikabila, ukanda au udini itatugharimu nini?

CCM na CDM waache mambo hayo.

Ndugu TINDO naamini tunaweza kuacha siasa hizi.

Naona kama umeshanasa kwenye propaganda mfu ya ukabila. Ni wapi CDM wana tatizo na kabila lolote? Boss nilikuwa nakuona muelewa kumbe unaweza kuchotwa kirahisi na hawa mafala wa CCM. Yaani toka hiz propaganda za kufala zianze hapa jukwaani hujajua ni vikundi vya propaganda za kizee vya CCM wanajaribu kuwatisha CDM?

Na ww umeingia kichwa kichwa ukiona kama CDM wana la kujibu kwenye propaganda mfu. Jinoe vizuri usichukuliwe kirahisi na propaganda mfu boss. CCM wameshapanic wanajua hiyo mikutano itawaacha pabaya, kwani wanajua ushindi waliojipa 2020 haukuwa halali. Hapa unachezewa mind game na ww unacheza ngoma yao!
 
Je, huyu siyo kijana wa CHADEMA?
1674040690236.png
 
Ukinijibu hapo juu nijibu tena na hapa:-

1674040798010.png
 
Maandalizi ya mkutano yanaendelea vizuri mza,

Kuna info za kuaminika kuwa mkutano wa huko mza utafana.

Sio kitu cha kuuliza, kila kitu kiko vizuri, na hilo nyomi la jmos watajua hawajui. Hawa wanaotaka kulinasibisha kabila la wasukuma na ukatili wa Magufuli, waambie wajitokeza hiyo jumamosi washuhudie jambo wasilotaka kuliona.

Cha muhimu ni wazungumzaji kwenye huo mkutano wa CDM wajue namna ya kushusha NONDO za uhakika. Wasipandishe vijana wenye mihemko, wakaongea maneno ya kizushi kisha CCM wakapata mwanya.
 
Sukumagang ni kikundi cha wahuni flani toia kanda ya wenye nia ya kuendesha nchi kwa manufaa yao binafsi uku wakitumia kigezo cha ukanda
 
Sio kitu cha kuuliza, kila kitu kiko vizuri, na hilo nyomi la jmos watajua hawajui. Hawa wanaotaka kulinasibisha kabila la wasukuma na ukatili wa Magufuli, waambie wajitokeza hiyo jumamosi washuhudie jambo wasilotaka kuliona.

Cha muhimu ni wazungumzaji kwenye huo mkutano wa CDM wajue namna ya kushusha NONDO za uhakika. Wasipandishe vijana wenye mihemko, wakaongea maneno ya kizushi kisha CCM wakapata mwanya.
Ona sasa. Ulivyomweupe kichwani. Unaendelea kutukana na kutusi mtu ambaye hayupo duniani. Nimekuuliza kwanini
Unawatukana wasukuma? Sukuma Gang maana yake ni nini? Kwanini utumie jina la kabila la wasukuma? Ulikosa jina lingine?
Lazima unyooshe maelezo. Sisi watanzania siyo wajinga.
 
Back
Top Bottom