Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wasukuma hawapo Mwanza? Kwanini uwatukane wasukuma?
Kwanini utumie neno au jina la kabila. Kwani hakuna jina lingine? Ndio maana ninauliza kwanini wanawatusi watu wa kanda ya ziwa ambao ni zaidi ya 30% ya population ya Tanzania? Lengo ni kutugawa au lengo ni lipi?Narudia tena, sukuma gang sio kabila, bali ni kundi haramu liliondesha ukatilili wa wapinzani wao wa kisiasa. Na wengi waliojihusisha na kundi hilo haramu walikuwa ni viongozi toka kanda ya ziwa. Na walishiriki uovu ule ili kujipatia mapato kwa njia haramu na ya vitisho. Labda useme wasukuma wote walishiriki uhayawani alioendesha Magufuli kwenye nchi hii. Isitoshe hata huyo Magufuli hakuwa msukuma, bali alijinasibisha na kabila hilo ili kujipatia mtaji wa kisiasa wa bei rahisi.
Na ni kwanini wafuasi wa CHADEMA waendelea kuwasakama kila mtu anayetoka kanda ya ziwa anatukanwa na kunyanyaswa ki mtandao?Narudia tena, sukuma gang sio kabila, bali ni kundi haramu liliondesha ukatilili wa wapinzani wao wa kisiasa. Na wengi waliojihusisha na kundi hilo haramu walikuwa ni viongozi toka kanda ya ziwa. Na walishiriki uovu ule ili kujipatia mapato kwa njia haramu na ya vitisho. Labda useme wasukuma wote walishiriki uhayawani alioendesha Magufuli kwenye nchi hii. Isitoshe hata huyo Magufuli hakuwa msukuma, bali alijinasibisha na kabila hilo ili kujipatia mtaji wa kisiasa wa bei rahisi.
Kwanini utumie neno au jina la kabila. Kwani hakuna jina lingine? Ndio maana ninauliza kwanini wanawatusi watu wa kanda ya ziwa ambao ni zaidi ya 30% ya population ya Tanzania? Lengo ni kutugawa au lengo ni lipi?
Vijana wa CHADEMA wanaendelea kuwatuma vijana kuwachafua watu wa kanda ya ziwa.Rudi shule ukajifunze propaganda, hii ni ya kizee mno. CDM wako hapo Mwanza na watapiga show ya kibabe. Hutaki kaite sukuma gang wenzake mnywe sumu.
Sio kwamba hilo jina litasimama, hilo jina liko hapo hapo na hakuna kitu chochote utakachofanya wewe na sukuma gang wenzio. Ukatili uliondeshwa magufuli dhidi ya wapinzani wake kisiasa uko wazi, labda useme na kabila la wasukuma nali lilishiriki unyama ule. Na ukitaka kueneza hiyo propaganda chukua gari la matangazo uzunguke mji mzima wa Mwanza, kisha useme wasukuma wanaitwa sukuma gang na CDM. Lakini Jmos utaona nyomi la ukweli. Jiandae kumeza chuma, kisha unye Boga.Na ni kwanini wafuasi wa CHADEMA waendelea kuwasakama kila mtu anayetoka kanda ya ziwa anatukanwa na kunyanyaswa ki mtandao?
View attachment 2486088
Ogopa teknolojia mzee. Unawatukana watu kwa lengo la kuwagawa kikabila? Unawatukana na kuwaita Sukuma gang!!!Sio kwamba hilo jina litasimama, hilo jina liko hapo hapo na hakuna kitu chochote utakachofanya wewe na sukuma gang wenzio. Ukatili uliondeshwa magufuli dhidi ya wapinzani wake kisiasa uko wazi, labda useme na kabila la wasukuma nali lilishiriki unyama ule. Na ukitaka kueneza hiyo propaganda chukua gari la matangazo uzunguke mji mzima wa Mwanza, kisha useme wasukuma wanaitwa sukuma gang na CDM. Lakini Jmos utaona nyomi la ukweli. Jiandae kumeza chuma, kisha unye Boga.
Awajitambi itawagalimuDunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.
Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.
Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?
Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017
Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Usiwahusishe wasukuma na mambo ya kipuuzi,Sio kwamba hilo jina litasimama, hilo jina liko hapo hapo na hakuna kitu chochote utakachofanya wewe na sukuma gang wenzio. Ukatili uliondeshwa magufuli dhidi ya wapinzani wake kisiasa uko wazi, labda useme na kabila la wasukuma nali lilishiriki unyama ule. Na ukitaka kueneza hiyo propaganda chukua gari la matangazo uzunguke mji mzima wa Mwanza, kisha useme wasukuma wanaitwa sukuma gang na CDM. Lakini Jmos utaona nyomi la ukweli. Jiandae kumeza chuma, kisha unye Boga.
Na ni kwanini wafuasi wa CHADEMA waendelea kuwasakama kila mtu anayetoka kanda ya ziwa anatukanwa na kunyanyaswa ki mtandao?
View attachment 2486088
Awajitambi itawagalimu, watu wa mwanza itabidi tuwatafakali kabda ya kuwapokeaAwajitambi itawagalimu
Hautafanikiwa kwa kuwagawa watanzania kikabila. Mnatakiwa mtueleze kwanini mnawaita kanda ya ziwa Sukuma Gang?Kama ulishiriki kwenye ukatili wa Magufuli, hatujali unatokea kanda ya ziwa, ya kusini, kaskazini nk, uwe msukuma, mjaluo, mpare, mzaramo nk, ww ni sukuma gang fullstop.
Usiweke hapa mitandaoni maana haionekani vizuri, nenda uwanja wa furahisha ukaweke hii post, au kahawa vipeperushi mzima wa Mwanza waone huu ujumbe wako. Lakini Jmos utacheka kichina.Ogopa teknolojia mzee. Unawatukana watu kwa lengo la kuwagawa kikabila? Unawatukana na kuwaita Sukuma gang!!!
Sisi watanzania ni wamoja. Hatutaki mambo ya ubaguzi
View attachment 2486099
Usiwahusishe wasukuma na mambo ya kipuuzi,
Magu hakuwa msukuma.
Sisi ni WATANZANIA,
chama makini hujenga hoja Si kuwaweka watu ktk makundi.
Ninataka jibu lengo lenu la kuwaita kanda ya ziwa sukuma gang ni nini?Usiweke hapa mitandaoni maana haionekani vizuri, nenda uwanja wa furahisha ukaweke hii post, au kahawa vipeperushi mzima wa Mwanza waone huu ujumbe wako. Lakini Jmos utacheka kichina.