Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Tunashirikiana na makabila yote bila kujali ni wasukuma, waha au wangoni. Lakini sio sukuma gang.
Mtakoma. Mnawabagua wasukuma. Subirini kuanzia leo mtaona namna gani wasukuma wananguvu hapa Tanzania.
 
Wewe ni pimbi, huwezi kulazimisha kuficha nyeti za kuku uvumapo upepo eti wasiuone
Unachokisema hapani unalazimisha kuficha ukweli ambao mara nyingi mmekuwa mkionywa na kushupaza"

Mmelazimika kuwagawa wasukuma na chama chenu halafu leo unasema skg sio kabila kwa kuwa mnaenda kufanya mkutano kwao

Unasema haya uili uwavutie?
 
 
Ona unaendeleza ukabila tu. Na kuleta kejeli. Kwahiyo chato haifai kuwepo Tanzania? Kwanini unaleta siasa za kibaguzi? Hivi nyie CHADEMA mtaacha lini ubaguzi? Unataka kuanza kuwabagua watanzania?
Chadema ni genge la wafu wahuni walioshindikana kwa wazazi wao na ndiyo maana wana maneno machafu wasemapo
 
Mwambie tuu kwamba hiyo brand haiwezi kufa 🀣🀣
 
Jibu ni simple tuu, Mwendazake alikuwa anajinasibisha na Kabila la Wasukuma na mara kadhaa alikuwa akihutubia Kwa kilugha Mikutano ya huko na in fact Wasukuma walikuwa wanajivunia mtu wao huyo..

So alivyo rest huko aliko wale wafuasi wake regardless of their residing areas wakawa wanatambulika Kwa jina Hilo so humu mitandaoni litaendelea kubakia hivyo ila hadharani hawawezi liongea.

Sukuma gang Haina tofauti na Mwendazake 😁😁😁😁..

Mwisho mtu yeyote mwenye itikadi za Mwendazake atakuwa refered to as Sukuma gang,usijifanye huelewi.
 
Mhuni atatukanwa tu. Sukuma gang haimaanishi wasukuma wote... Bali kundi la washenzi wachache washabiki wa unyama na Kila aina ya ufedhuli !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…