Sibishi kuhusu mass production, sina shida na qualityTukija kwenye indistrial application it different. Wateja wanataka kitu wenye uhakika nacho.
Viwanda ni muhim aisee, mass producing that tena yenye quality si sawa na kutengenezea uwani
wale Matsushita Electric walikuwa ni wawekezaji kutoka Japan na si 100% watanzaniaMzee baba hakuna kitu chochote kigumu hapo...
Unafahamu kulikiwa na kiwanda cha National na Panasonic Tanzania na kilikiwa kinaunda redio ambazo zina electronic boards + components kama charger ya simu tu...
Kusumbuliwa na mbu kunahusiana nini na viwandaSibishi kuhusu mass production, sina shida na quality
So far mmefanikiwa kujenga viwanda vya chawa, wezi, mafisadi, wauaji, wanasiasa, n.k
Huwezi kukimbilia kwenye mega industries kisha ukawategemea wageni wafanye kila kitu, wajenge, wafanye erection, installation kisha commissioning halafu uwaombe wapeleke watu wako nje kwa mafunzo ya mwezi 1 ili waweze ku-operate kiwanda, only to find out wameenda nje kutalii na kupata Per Diem ili waje wanunue Subaru.
Huwezi kuruka steji, kama unadhani unahitaji mass production, anza na agricultural sector, weka machineries huko;
- zalisha mazao ya kutosha
- weka akiba ya chakula, export chakula(inflation inakuwa contained pole pole)
- tumia forex zipatikanazo kupeleka watu shule za ujuzi nje, kwa level mbalimbali
- fanya industrialization when you have everything in place.
Ila mpaka ufike huko, how do you survive now now?
Maendeleo ni ku-successfully combat/tackle challenges around you.
- Unasumbuliwa na mbu, unatafuta tiba ya malaria?
- Una shida ya barabara, unanunua 4x4 by far?
- unasumbuliwa na dawa za kulevya, unaanzisha Rehab centers?
- watoto wanafeli kwenye masomo yao, una-standardize matokeo.
Hii ndio unayoiita mass production sio?
wale Matsushita Electric walikuwa ni wawekezaji kutoka Japan na si 100% watanzania
Zanzibar wanahitaji smelter? Je, hawafai kuwa na viwanda vya electronics components?Marekani aliwaza hivyo hivyo kuja kushtuka smelter zake zinapumulia mashine, akaanza kununua chuma nje sababu ni bei rahisi kuliko Marekani mara viwanda vya magari vikaanza amishia uzishaji abroad huna smelter tena huku miji ya Midwest hali mbaya angalia mji kama Gary indiana ni symbol ya kufa kwa smelter za chuma marekani anakuja kushtuka anakimbilia tarrifs
Metaphors...nimenyoosha mikono!Kusumbuliwa na mbu kunahusiana nini na viwanda
Viwanda ambavyo vinatumia bauxite, iron ore, native copper, silicon hizo zote ni metal zinauhusiano gani na kilimo
Ni kweli,ila bilautegemezi wa watu wenye technology, watanzana kusimama wenyewe bado sana tusijidanganyeLakini kiwanda si kilikuwepo Tanzania, na products zake zilitumika hapa hapa Tanzania kwa redio na batteries...
Hata China aliwategemea wazungu ndo akayapata maendeleo ukiwa na jeuri utaishia kuwa kama Cuba au Korea kaskaziniNi kweli,ila bilautegemezi wa watu wenye technology, watanzana kusimama wenyewe bado sana tusijidanganye